Watanzania wafika ubalozi wa Marekani kumshitaki Mange Kimambi

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Watanzania wafika katika Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuwasilisha malalamiko dhidi ya mwanaharakati Mange Kimambi, anayeishi Marekani, wakimtuhumu kwa madai ya kuwadhalilisha viongozi mbalimbali, akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan.

Barua hiyo ya malalamiko ilikabidhiwa kwa mlinzi wa usalama wa ubalozi, anayetajwa kwa jina la Patrick Mandiba. Wananchi hao wameeleza matumaini yao kuwa barua hiyo itawafikia walengwa na kufanyiwa kazi.

"Nimefurahi sana nimekuwa ndio niliyepeleka barua nimekabidhi nimepokelewa na mtu wa usalama anaitwa Patrick Mandiba. Naamini atatufikishia barua yetu. Ah naamini ujumbe wetu utafika."

"Anachokifanya Mange ni udhalilishaji. Ifike mahali iwe mwisho. Ifike mahali isiendelee. Mange yanasababisha tunaishi kwenye mazingira ambayo sasa hivi ni magumu kusema kweli... mazingira ya wasiwasi mazingira huelewi lini utachafua hali ya hewa..."

Kumposti Samia kwenye mitandao ni sawa na kumposti Asha alikowahi kumposti... kama first citizen kapostiwa maana yake mamangu hayuko salama, mamako hayuko salama, mama zetu hawako salama... Enough is enough."

"Tumeandika petition mbili moja iko Marekani... We want people who speak. Mange anasema yeye ni voice for the voiceless. No anawadhalilisha hao voiceless."

"Lengo leo lilikuwa kupeleka ujumbe ubalozi wa Marekani... kufikisha ujumbe wetu wa kustopisha hivi vitu ambavyo Mange anafanya kwenye mitandao... Udhalilishaji ndio tulioandika... hamdhalilishi mwanamke pekee yake anawazalisha hadi wanaume..."

"Jamani tupinge hivi vitu kwa sababu hii cyber bullying ni kitu kibaya sana... kuna watu wanafikia maamuzi ya kujiua kwa sababu ya vitu kama hivi... Mila zetu watanzania sio mila zetu kabisa."
 
Mange soon anakuwa kama kale kasomar ka -Congress

USSR
 
What a movie -Muache kumshitaki Recho Dangwa,mmshitaki Mange kwa udhalilishaji?
 
Kuzaliwa mtanzania ndio shida yenyewe! IQ ya mbuzi ndio maana hatuna faida duniani zaidi ya kuzalisha mav.i tu ya kuongeza mbolea udongoni! Ndio maana kila rasilimali tushawapa waarabu na vibaraka wao watutawale tena
 
Watanzania wafika katika Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuwasilisha malalamiko dhidi ya mwanaharakati Mange Kimambi, anayeishi Marekani, wakimtuhumu kwa madai ya kuwadhalilisha viongozi mbalimbali, akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan.

Barua hiyo ya malalamiko ilikabidhiwa kwa mlinzi wa usalama wa ubalozi, anayetajwa kwa jina la Patrick Mandiba. Wananchi hao wameeleza matumaini yao kuwa barua hiyo itawafikia walengwa na kufanyiwa kazi.

"Nimefurahi sana nimekuwa ndio niliyepeleka barua nimekabidhi nimepokelewa na mtu wa usalama anaitwa Patrick Mandiba. Naamini atatufikishia barua yetu. Ah naamini ujumbe wetu utafika."

"Anachokifanya Mange ni udhalilishaji. Ifike mahali iwe mwisho. Ifike mahali isiendelee. Mange yanasababisha tunaishi kwenye mazingira ambayo sasa hivi ni magumu kusema kweli... mazingira ya wasiwasi mazingira huelewi lini utachafua hali ya hewa..."

Kumposti Samia kwenye mitandao ni sawa na kumposti Asha alikowahi kumposti... kama first citizen kapostiwa maana yake mamangu hayuko salama, mamako hayuko salama, mama zetu hawako salama... Enough is enough."

"Tumeandika petition mbili moja iko Marekani... We want people who speak. Mange anasema yeye ni voice for the voiceless. No anawadhalilisha hao voiceless."

"Lengo leo lilikuwa kupeleka ujumbe ubalozi wa Marekani... kufikisha ujumbe wetu wa kustopisha hivi vitu ambavyo Mange anafanya kwenye mitandao... Udhalilishaji ndio tulioandika... hamdhalilishi mwanamke pekee yake anawazalisha hadi wanaume..."

"Jamani tupinge hivi vitu kwa sababu hii cyber bullying ni kitu kibaya sana... kuna watu wanafikia maamuzi ya kujiua kwa sababu ya vitu kama hivi... Mila zetu watanzania sio mila zetu kabisa."
Hao wanaoongozwa na kamanda Lucas Mwashambwa!
 
UVCCM waoga sana, wenzao wa PLU wanatokeza na mabango bila uwoga, kutetea mtawala wao wa Uganda sasa kama mtawala wa Tanzania aliyejiweka ikulu kwa asilimia 98% nini kinawafanya waende kwa kificho ?

Sep 18, 2026
Thousands of PLU supporters Demonstrating At The Turkish Embassy On Gen .Muhoozi Orders

View: https://m.youtube.com/watch?v=BNLZCnqOijI

PLU Yafanya Maandamano Makubwa katika Ubalozi wa Uturuki

PLU Yafanya Maandamano Makubwa katika Ubalozi wa Uturuki​

Maandamano yalianza katika Lugogo Cricket Oval jijini Kampala kabla ya wafuasi kuendelea katika mitaa ya Kololo hadi kwenye ofisi ya kidiplomasia ya Uturuki kwenye Barabara ya Elgon Terrace. Washiriki walibeba rangi za PLU, mabango na jumbe zinazoelezea wasiwasi uliopelekea PLU kufanya maandamano hayo.

KAMPALA — Mamia ya wafuasi wa Patriotic League of Uganda PLU siku ya Ijumaa waliandamana kutoka Lugogo Cricket Oval hadi Ubalozi wa Uturuki huko Kololo huku PLU ikisisitiza rasmi ombi lake la kumrudisha Fred Kajubi Lumbuye nchini Uganda.

6b4abff5e8c680e4.webp

Wakiongozwa na Katibu Mkuu wa PLU Mhe. Twalla Fadil, maandamano hayo yalipitia Kololo hadi kwenye misheni ya kidiplomasia ya Uturuki kwenye Barabara ya Elgon Terrace, huku wafuasi wakiwa wamebeba rangi za PLU, mabango na jumbe zinazotaka hatua zichukuliwe kuhusu suala la Lumbuye. Maandamano hayo yalifuata agizo la awali kutoka kwa Mwenyekiti wa PLU Jenerali Muhoozi Kainerugaba.

Msimamo wa PLU ni kwamba Lumbuye anapaswa kurudi Uganda na kujibu madai ya jinai dhidi yake kupitia mfumo wa kisheria wa nchi hiyo. Mamlaka ya Uganda hapo awali yamemtuhumu kwa makosa ikiwemo uchochezi na uhalifu unaohusiana na mtandao.

Harakati hiyo pia ilizua wasiwasi kuhusu ripoti kwamba mawakili wa Lumbuye walikuwa wamemwomba hifadhi huko Türkiye, wakisisitiza kwamba mchakato huo haupaswi kutumiwa kumzuia kujibu madai hayo mbele ya mamlaka za Uganda.

Akihutubia wafuasi nje ya ubalozi, Rt. Hon. Fadil aliweka wazi kwamba wasiwasi wa PLU ulikuwa ni kushughulikia suala hilo na sio watu wa Uturuki. Aliangazia uhusiano wa kidiplomasia, biashara na uwekezaji wa muda mrefu kati ya Uganda na Türkiye na akatoa wito wa heshima ya pande zote kwa uhuru na taasisi za Uganda.

Ubalozi wa Uturuki ulibaki umefungwa siku ya maandamano baada ya kutangaza kufungwa kwa tahadhari siku moja mapema kutokana na shughuli iliyopangwa karibu na majengo yake.

b2f868898a65a2c0.webp

Wafanyakazi wa usalama waliandamana na maandamano hayo na kudhibiti njia ya kuingia ndani ya ubalozi. Kulikuwa na makabiliano mafupi kati ya baadhi ya waandamanaji na polisi karibu na misheni, lakini uhamasishaji uliendelea kupitia Kampala huku PLU ikiwasilisha msimamo wake kuhusu suala la Lumbuye.

Wawakilishi wa Ubalozi hawakukubali ombi la PLU kwenye lango na walishauri kwamba suala hilo lifuatiliwe kupitia njia rasmi za kidiplomasia. Rt. Hon. Fadil alisema PLU itapeleka suala hilo mbele kupitia Wizara ya Mambo ya Nje.

5b6c1fd1edc8f922.webp

Maandamano hayo yalifuatia wiki kadhaa za uhamasishaji na mipango kupitia miundo ya PLU, ikiwa ni pamoja na mkutano wa kimkakati katika Sekretarieti ya Kitaifa huko Naguru mapema mwezi Septemba ili kuratibu shughuli ya Septemba 18.

Maandamano ya Ijumaa yaliashiria kilele cha uhamasishaji huo, huku PLU ikipeleka ombi lake moja kwa moja kwa ujumbe wa kidiplomasia wa Uturuki na kuweka suala la Lumbuye kwenye ajenda
 
Back
Top Bottom