Watanzania wafika ubalozi wa Marekani kumshitaki Mange Kimambi

Watanzania wafika katika Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuwasilisha malalamiko dhidi ya mwanaharakati Mange Kimambi, anayeishi Marekani, wakimtuhumu kwa madai ya kuwadhalilisha viongozi mbalimbali, akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan.

Barua hiyo ya malalamiko ilikabidhiwa kwa mlinzi wa usalama wa ubalozi, anayetajwa kwa jina la Patrick Mandiba. Wananchi hao wameeleza matumaini yao kuwa barua hiyo itawafikia walengwa na kufanyiwa kazi.

"Nimefurahi sana nimekuwa ndio niliyepeleka barua nimekabidhi nimepokelewa na mtu wa usalama anaitwa Patrick Mandiba. Naamini atatufikishia barua yetu. Ah naamini ujumbe wetu utafika."

"Anachokifanya Mange ni udhalilishaji. Ifike mahali iwe mwisho. Ifike mahali isiendelee. Mange yanasababisha tunaishi kwenye mazingira ambayo sasa hivi ni magumu kusema kweli... mazingira ya wasiwasi mazingira huelewi lini utachafua hali ya hewa..."

Kumposti Samia kwenye mitandao ni sawa na kumposti Asha alikowahi kumposti... kama first citizen kapostiwa maana yake mamangu hayuko salama, mamako hayuko salama, mama zetu hawako salama... Enough is enough."

"Tumeandika petition mbili moja iko Marekani... We want people who speak. Mange anasema yeye ni voice for the voiceless. No anawadhalilisha hao voiceless."

"Lengo leo lilikuwa kupeleka ujumbe ubalozi wa Marekani... kufikisha ujumbe wetu wa kustopisha hivi vitu ambavyo Mange anafanya kwenye mitandao... Udhalilishaji ndio tulioandika... hamdhalilishi mwanamke pekee yake anawazalisha hadi wanaume..."

"Jamani tupinge hivi vitu kwa sababu hii cyber bullying ni kitu kibaya sana... kuna watu wanafikia maamuzi ya kujiua kwa sababu ya vitu kama hivi... Mila zetu watanzania sio mila zetu kabisa."
Yale maandamano yenu ya "wakatoliki" yaliishia wapi?
 
Ubalozi ni mahakama siku hizi??

Vipi ile kesi ya Johari aliyokua anajipiga kifua kuwa ataifungua na Mange lazima akamatwe na kurudishwa Tanzania iliishia wapi?
 
Huyo mwanamke shetani anayo hali mbaya sana. Samia ni mtu wa kupenda masifa kila mara, hata kama ni ya kununua.
Anapoona anavurugwa kiasi hiki na akina Mange na mitandaoni kote; na hasa hasa sasa hivi hata huko mitaani; hali hiyo inampa wakati mgumu sana.

Hivi Samia sifa zote anazomwagiwa na hawa akina Lucas/Tlaatlaah hazitoshi kumpa furaha moyoni mwake hadi ahangaike na akina Mange?

Hao akina Tlaatlaaaa na Lucas na wengine anajua kabisa kuwa wanampa sifa feki kama kura alizopata.
 
Eti Watanzania, je nikiwemo? Nchi hii kila mtu anakuwa msemaji wa mwenzake bila ya kutumwa
 
Watanzania wafika katika Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuwasilisha malalamiko dhidi ya mwanaharakati Mange Kimambi, anayeishi Marekani, wakimtuhumu kwa madai ya kuwadhalilisha viongozi mbalimbali, akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan.

Barua hiyo ya malalamiko ilikabidhiwa kwa mlinzi wa usalama wa ubalozi, anayetajwa kwa jina la Patrick Mandiba. Wananchi hao wameeleza matumaini yao kuwa barua hiyo itawafikia walengwa na kufanyiwa kazi.

"Nimefurahi sana nimekuwa ndio niliyepeleka barua nimekabidhi nimepokelewa na mtu wa usalama anaitwa Patrick Mandiba. Naamini atatufikishia barua yetu. Ah naamini ujumbe wetu utafika."

"Anachokifanya Mange ni udhalilishaji. Ifike mahali iwe mwisho. Ifike mahali isiendelee. Mange yanasababisha tunaishi kwenye mazingira ambayo sasa hivi ni magumu kusema kweli... mazingira ya wasiwasi mazingira huelewi lini utachafua hali ya hewa..."

Kumposti Samia kwenye mitandao ni sawa na kumposti Asha alikowahi kumposti... kama first citizen kapostiwa maana yake mamangu hayuko salama, mamako hayuko salama, mama zetu hawako salama... Enough is enough."

"Tumeandika petition mbili moja iko Marekani... We want people who speak. Mange anasema yeye ni voice for the voiceless. No anawadhalilisha hao voiceless."

"Lengo leo lilikuwa kupeleka ujumbe ubalozi wa Marekani... kufikisha ujumbe wetu wa kustopisha hivi vitu ambavyo Mange anafanya kwenye mitandao... Udhalilishaji ndio tulioandika... hamdhalilishi mwanamke pekee yake anawazalisha hadi wanaume..."

"Jamani tupinge hivi vitu kwa sababu hii cyber bullying ni kitu kibaya sana... kuna watu wanafikia maamuzi ya kujiua kwa sababu ya vitu kama hivi... Mila zetu watanzania sio mila zetu kabisa."
Walikumbuka kuvaa vijora? Tupiamo kaclip tafadhali.
 
Mange ni moja la kutisha..!!
Go Mange
Endelea kuwapelekea moto
 
Waligoma kupigwa picha.
Kazi ni kipimo cha utu
Sio kweli. Siku hizi, na kwa Teknolojia iliyopo, hakuna hiari - hata ukikata gogo au "kukoroma au kunguruma" picha na vid clip vyaweza kuchukuliwa vitachukuliwa tuu; mbona walipo vaa vijora walipigwa picha? au hao ni kundi lingine tena -tuambie boss.
 
Watanzania wafika katika Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuwasilisha malalamiko dhidi ya mwanaharakati Mange Kimambi, anayeishi Marekani, wakimtuhumu kwa madai ya kuwadhalilisha viongozi mbalimbali, akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan.

Barua hiyo ya malalamiko ilikabidhiwa kwa mlinzi wa usalama wa ubalozi, anayetajwa kwa jina la Patrick Mandiba. Wananchi hao wameeleza matumaini yao kuwa barua hiyo itawafikia walengwa na kufanyiwa kazi.

"Nimefurahi sana nimekuwa ndio niliyepeleka barua nimekabidhi nimepokelewa na mtu wa usalama anaitwa Patrick Mandiba. Naamini atatufikishia barua yetu. Ah naamini ujumbe wetu utafika."

"Anachokifanya Mange ni udhalilishaji. Ifike mahali iwe mwisho. Ifike mahali isiendelee. Mange yanasababisha tunaishi kwenye mazingira ambayo sasa hivi ni magumu kusema kweli... mazingira ya wasiwasi mazingira huelewi lini utachafua hali ya hewa..."

Kumposti Samia kwenye mitandao ni sawa na kumposti Asha alikowahi kumposti... kama first citizen kapostiwa maana yake mamangu hayuko salama, mamako hayuko salama, mama zetu hawako salama... Enough is enough."

"Tumeandika petition mbili moja iko Marekani... We want people who speak. Mange anasema yeye ni voice for the voiceless. No anawadhalilisha hao voiceless."

"Lengo leo lilikuwa kupeleka ujumbe ubalozi wa Marekani... kufikisha ujumbe wetu wa kustopisha hivi vitu ambavyo Mange anafanya kwenye mitandao... Udhalilishaji ndio tulioandika... hamdhalilishi mwanamke pekee yake anawazalisha hadi wanaume..."

"Jamani tupinge hivi vitu kwa sababu hii cyber bullying ni kitu kibaya sana... kuna watu wanafikia maamuzi ya kujiua kwa sababu ya vitu kama hivi... Mila zetu watanzania sio mila zetu kabisa."
Walioandamana kwenda kumshitaki Padre Kitima kwa papa waliishia wapi?.
Watu wajinga sana aisee.
 
Huyu ajuza anatumia kila mbinu apendwe ye angetulia tu anywe urojo asepe zake
 
Watanzania wafika katika Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuwasilisha malalamiko dhidi ya mwanaharakati Mange Kimambi, anayeishi Marekani, wakimtuhumu kwa madai ya kuwadhalilisha viongozi mbalimbali, akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan.

Barua hiyo ya malalamiko ilikabidhiwa kwa mlinzi wa usalama wa ubalozi, anayetajwa kwa jina la Patrick Mandiba. Wananchi hao wameeleza matumaini yao kuwa barua hiyo itawafikia walengwa na kufanyiwa kazi.

"Nimefurahi sana nimekuwa ndio niliyepeleka barua nimekabidhi nimepokelewa na mtu wa usalama anaitwa Patrick Mandiba. Naamini atatufikishia barua yetu. Ah naamini ujumbe wetu utafika."

"Anachokifanya Mange ni udhalilishaji. Ifike mahali iwe mwisho. Ifike mahali isiendelee. Mange yanasababisha tunaishi kwenye mazingira ambayo sasa hivi ni magumu kusema kweli... mazingira ya wasiwasi mazingira huelewi lini utachafua hali ya hewa..."

Kumposti Samia kwenye mitandao ni sawa na kumposti Asha alikowahi kumposti... kama first citizen kapostiwa maana yake mamangu hayuko salama, mamako hayuko salama, mama zetu hawako salama... Enough is enough."

"Tumeandika petition mbili moja iko Marekani... We want people who speak. Mange anasema yeye ni voice for the voiceless. No anawadhalilisha hao voiceless."

"Lengo leo lilikuwa kupeleka ujumbe ubalozi wa Marekani... kufikisha ujumbe wetu wa kustopisha hivi vitu ambavyo Mange anafanya kwenye mitandao... Udhalilishaji ndio tulioandika... hamdhalilishi mwanamke pekee yake anawazalisha hadi wanaume..."

"Jamani tupinge hivi vitu kwa sababu hii cyber bullying ni kitu kibaya sana... kuna watu wanafikia maamuzi ya kujiua kwa sababu ya vitu kama hivi... Mila zetu watanzania sio mila zetu kabisa."
Barua nyingine pelekeni kwa Japanese embassy ili yule naye ikibidi aletwe hapa!
 
Back
Top Bottom