Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Sasa Libe mimi ananihusu nini?Kama ya Libe tu

kama shobo anayoifanya kimamviHii ni shobo tupu.
Kitima yupo kimya siku hiziIle ya ubalozi wa Vatican imefikia wapi?
Ukiniuliza nikutajie huyo mzungumzaji wa kundi hilo sitapata shida sana kukutajia: Lucas MshambaWatanzania wafika katika Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuwasilisha malalamiko dhidi ya mwanaharakati Mange Kimambi,
Huyo mwanamke shetani anayo hali mbaya sana. Samia ni mtu wa kupenda masifa kila mara, hata kama ni ya kununua.Ya Vatican yaliishia wapi.
Nimeamini Mange ni kiboko cha Samia hadi katuma watu wamsemee. Big up Mange.
Leo sijaelewa maana yako ya kutafuta na kuleta bandiko kama hili humu JF, mkuu 'Bagamoyo', tofauti na nilivyoelewa juhudi zako za muda mrefu za kufanya hivi.UVCCM waoga sana, wenzao wa PLU wanatokeza na mabango bila uwoga, kutetea mtawala wao wa Uganda sasa kama mtawala wa Tanzania aliyejiweka ikulu kwa asilimia 98% nini kinawafanya waende kwa kificho ?
Whataboutism.kama shobo anayoifanya kimamvi
Wanafikiri wamarekani hawana akili kama ccmWatanzania wafika katika Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuwasilisha malalamiko dhidi ya mwanaharakati Mange Kimambi, anayeishi Marekani, wakimtuhumu kwa madai ya kuwadhalilisha viongozi mbalimbali, akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan.
Barua hiyo ya malalamiko ilikabidhiwa kwa mlinzi wa usalama wa ubalozi, anayetajwa kwa jina la Patrick Mandiba. Wananchi hao wameeleza matumaini yao kuwa barua hiyo itawafikia walengwa na kufanyiwa kazi.
"Nimefurahi sana nimekuwa ndio niliyepeleka barua nimekabidhi nimepokelewa na mtu wa usalama anaitwa Patrick Mandiba. Naamini atatufikishia barua yetu. Ah naamini ujumbe wetu utafika."
"Anachokifanya Mange ni udhalilishaji. Ifike mahali iwe mwisho. Ifike mahali isiendelee. Mange yanasababisha tunaishi kwenye mazingira ambayo sasa hivi ni magumu kusema kweli... mazingira ya wasiwasi mazingira huelewi lini utachafua hali ya hewa..."
Kumposti Samia kwenye mitandao ni sawa na kumposti Asha alikowahi kumposti... kama first citizen kapostiwa maana yake mamangu hayuko salama, mamako hayuko salama, mama zetu hawako salama... Enough is enough."
"Tumeandika petition mbili moja iko Marekani... We want people who speak. Mange anasema yeye ni voice for the voiceless. No anawadhalilisha hao voiceless."
"Lengo leo lilikuwa kupeleka ujumbe ubalozi wa Marekani... kufikisha ujumbe wetu wa kustopisha hivi vitu ambavyo Mange anafanya kwenye mitandao... Udhalilishaji ndio tulioandika... hamdhalilishi mwanamke pekee yake anawazalisha hadi wanaume..."
"Jamani tupinge hivi vitu kwa sababu hii cyber bullying ni kitu kibaya sana... kuna watu wanafikia maamuzi ya kujiua kwa sababu ya vitu kama hivi... Mila zetu watanzania sio mila zetu kabisa."
Watanzania wafika katika Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuwasilisha malalamiko dhidi ya mwanaharakati Mange Kimambi, anayeishi Marekani, wakimtuhumu kwa madai ya kuwadhalilisha viongozi mbalimbali, akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan.
Barua hiyo ya malalamiko ilikabidhiwa kwa mlinzi wa usalama wa ubalozi, anayetajwa kwa jina la Patrick Mandiba. Wananchi hao wameeleza matumaini yao kuwa barua hiyo itawafikia walengwa na kufanyiwa kazi.
"Nimefurahi sana nimekuwa ndio niliyepeleka barua nimekabidhi nimepokelewa na mtu wa usalama anaitwa Patrick Mandiba. Naamini atatufikishia barua yetu. Ah naamini ujumbe wetu utafika."
"Anachokifanya Mange ni udhalilishaji. Ifike mahali iwe mwisho. Ifike mahali isiendelee. Mange yanasababisha tunaishi kwenye mazingira ambayo sasa hivi ni magumu kusema kweli... mazingira ya wasiwasi mazingira huelewi lini utachafua hali ya hewa..."
Kumposti Samia kwenye mitandao ni sawa na kumposti Asha alikowahi kumposti... kama first citizen kapostiwa maana yake mamangu hayuko salama, mamako hayuko salama, mama zetu hawako salama... Enough is enough."
"Tumeandika petition mbili moja iko Marekani... We want people who speak. Mange anasema yeye ni voice for the voiceless. No anawadhalilisha hao voiceless."
"Lengo leo lilikuwa kupeleka ujumbe ubalozi wa Marekani... kufikisha ujumbe wetu wa kustopisha hivi vitu ambavyo Mange anafanya kwenye mitandao... Udhalilishaji ndio tulioandika... hamdhalilishi mwanamke pekee yake anawazalisha hadi wanaume..."
"Jamani tupinge hivi vitu kwa sababu hii cyber bullying ni kitu kibaya sana... kuna watu wanafikia maamuzi ya kujiua kwa sababu ya vitu kama hivi... Mila zetu watanzania sio mila zetu kabisa."
The very same CHAWA ambao huwa wanasema kuwa vijimaneno vya Mange havina relevance na pia havina impact, what are they cooking up?Watanzania wafika katika Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuwasilisha malalamiko dhidi ya mwanaharakati Mange Kimambi, anayeishi Marekani, wakimtuhumu kwa madai ya kuwadhalilisha viongozi mbalimbali, akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan.
Barua hiyo ya malalamiko ilikabidhiwa kwa mlinzi wa usalama wa ubalozi, anayetajwa kwa jina la Patrick Mandiba. Wananchi hao wameeleza matumaini yao kuwa barua hiyo itawafikia walengwa na kufanyiwa kazi.
"Nimefurahi sana nimekuwa ndio niliyepeleka barua nimekabidhi nimepokelewa na mtu wa usalama anaitwa Patrick Mandiba. Naamini atatufikishia barua yetu. Ah naamini ujumbe wetu utafika."
"Anachokifanya Mange ni udhalilishaji. Ifike mahali iwe mwisho. Ifike mahali isiendelee. Mange yanasababisha tunaishi kwenye mazingira ambayo sasa hivi ni magumu kusema kweli... mazingira ya wasiwasi mazingira huelewi lini utachafua hali ya hewa..."
Kumposti Samia kwenye mitandao ni sawa na kumposti Asha alikowahi kumposti... kama first citizen kapostiwa maana yake mamangu hayuko salama, mamako hayuko salama, mama zetu hawako salama... Enough is enough."
"Tumeandika petition mbili moja iko Marekani... We want people who speak. Mange anasema yeye ni voice for the voiceless. No anawadhalilisha hao voiceless."
"Lengo leo lilikuwa kupeleka ujumbe ubalozi wa Marekani... kufikisha ujumbe wetu wa kustopisha hivi vitu ambavyo Mange anafanya kwenye mitandao... Udhalilishaji ndio tulioandika... hamdhalilishi mwanamke pekee yake anawazalisha hadi wanaume..."
"Jamani tupinge hivi vitu kwa sababu hii cyber bullying ni kitu kibaya sana... kuna watu wanafikia maamuzi ya kujiua kwa sababu ya vitu kama hivi... Mila zetu watanzania sio mila zetu kabisa."
Barua hiyo ya malalamiko ilikabidhiwa kwa mlinzi wa usalama wa ubalozi, anayetajwa kwa jina la Patrick Mandiba
Aliyekabidhiwa ametajwa jina.Wananchi hao wameeleza matumaini yao kuwa barua hiyo itawafikia walengwa na kufanyiwa kazi.
Usiseme 'watanzania' sema MACHAWA wa samuya...ni kama wale wakatoliki fake