Mange Kimambi kuja na Podcast yake ya siasa kacheza kama Pele.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Huyu dada ana akili kubwa sana ya kuwashughulisha watawala. Huu mpango wake wa kuja na Podcast ya siasa ni mapinduzi makubwa sana ukizingatia hakuna Podcast yoyote ya kisiasa ya Kitanzania mpaka sasa.
 
Ameona fursa ya kupiga hela ya wapenda udaku.

Anazidi kutanua goli la biashara, alipiga na app ya udaku, kapiga na tuhela hela vya wadau kwa kuwazuga ana nunua Habari kutoka vyanzo sahihi, anapiga hela Instagram na sasa ana geukia YouTube kuendelea kuneemeka kwa kuwa uzia umbea wadanganyika mitandaoni
 
Mbona Niffer na miss wenu Jihan wamepiga pesa za Watanganyika? Mange akipiga pesa ndio inawauma!😁
 
Huyu dada ana akili kubwa sana ya kuwashughulisha watawala. Huu mpango wake wa kuja na Podcast ya siasa ni mapinduzi makubwa sana ukizingatia hakuna Podcast yoyote ya kisiasa ya Kitanzania mpaka sasa.
ok. :1Head:
 
Ameona fursa ya kupiga hela ya wapenda udaku.

Anazidi kutanua goli la biashara, alipiga na app ya udaku, kapiga na tuhela hela vya wadau kwa kuwazuga ana nunua Habari kutoka vyanzo sahihi, anapiga hela Instagram na sasa ana geukia YouTube kuendelea kuneemeka kwa kuwa uzia umbea wadanganyika mitandaoni
Bora anapiga hela kutumia maarifa yake... Sio ccm inatumia nguvu kuiba Mali za Tanganyika!!. Ukiletewa Wanu/ Makonda na mange Kikambi utatamani nani awe Waziri?.
 
Ameona fursa ya kupiga hela ya wapenda udaku.

Anazidi kutanua goli la biashara, alipiga na app ya udaku, kapiga na tuhela hela vya wadau kwa kuwazuga ana nunua Habari kutoka vyanzo sahihi, anapiga hela Instagram na sasa ana geukia YouTube kuendelea kuneemeka kwa kuwa uzia umbea wadanganyika mitandaoni

Hana tofauti na watu ambao wanachukua ela za barabara na barabara hamna,

Hana tofauti na watu waliochukua ela za El Nino

Hana tofauti na wale waliojenga daraja la bilion 21

So kila mtu atafute njia ya kupiga ela
 
Ana tofauti kwa sababu yeye hawalazimishi watu wampe pesa, CCM wanachakua pesa zetu kwa nguvu kupitia kodi.
 
Ameona fursa ya kupiga hela ya wapenda udaku.

Anazidi kutanua goli la biashara, alipiga na app ya udaku, kapiga na tuhela hela vya wadau kwa kuwazuga ana nunua Habari kutoka vyanzo sahihi, anapiga hela Instagram na sasa ana geukia YouTube kuendelea kuneemeka kwa kuwa uzia umbea wadanganyika mitandaoni
Kwenye siasa za nchi yangu nipo tayari Mange apige pesa zangu vile anavyotaka.
 
Back
Top Bottom