https://youtube.com/shorts/Om6-i2nIOu0?si=iTlHgXvXon-PhACc
‼️UPDATES KESI YA MAOMBI YA HABEAS CORPUS KWA AJILI YA TWAHA MWAIPAYA‼️
📍Kutoka Mahakama Kuu ya Kenya;
Ameanza Wakili wa Mkuu wa Serikali 🇰🇪, Marwa, ameieleza Mahakama kuwa wanaendelea na jitihada za kumtafuta Twaha Mwaipaya na kwamba...
Katika mapambano ya kitabaka harakati ndio kichocheo kikubwa sana cha mageuzi katika jamii.
Kusema kweli hata chama cha siasa ni lazima kinuse fukuto la wana harakati na kuweka mikakati ya kubeba sauti za wanaharakati ili kisijepigwa na dhoruba ya mabadiliko ya lazima.
Kihistoria tunafahamu...
Miaka ya 2010s nikiwa chuo fulani mkoani Morogoro, darasani tulikuwa wanafunzi zaidi ya 200, kulikuwa na. Freshers pamoja wanafunzi waliotoka makazini wanajiendeleza kimasomo miongoni mwao kulikuwa na askari jeshi lakini hakuna hata mmoja aliyeweza kuukataa unyanyasaji wa yule lecturer mtukutu...
Huyu dada ana akili kubwa sana ya kuwashughulisha watawala. Huu mpango wake wa kuja na Podcast ya siasa ni mapinduzi makubwa sana ukizingatia hakuna Podcast yoyote ya kisiasa ya Kitanzania mpaka sasa.
Mwanaharakati na mtetezi wa haki za binadamu Collins Otieno amepatikana baada ya kuripotiwa kutoweka.
Kwa mujibu wa mtetezi wa haki za binadamu Hussein Khalid, Otieno alipatikana mapema Jumamosi asubuhi kando ya barabara ya Thika akiwa katika hali dhaifu na mwenye majeraha.
Khalid alisema Otieno...
Huyu Dada alisifika sana kuwa mpigania Haki, Uhuru leo hii asikiki tena.
Mwenye kufahamu Alipo Huyu Bibie Atujuze.
Kuna nyakati wafuasi wa Chama Fulani walimtikuza sana na kumpambania Kuwa Kiongozi wa Chama cha Wanasheria TLS.
NB: Sio Kila Mwanaharakati Upigania Uhuru, Haki , Demokrasia...
Picha za kwanza za Denise Dusauchoy akiwa nchini ya ulinzi #Kinshasa -Kongo
Huyu alikamatiwa akiwa uwanja ndege katika Kilimanjaro tarehe 30 Agosti kufuatia hati ya kukamatwa kwake iliyotolewa serikali ya Kongo
Denise Dusauchoy Mukendi mwanaharakati kupitia mitandao ya kijamii alikuwa...
Wizara ya Sheria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imetoa taarifa rasmi ikithibitisha kukamatwa kwa Denise Dusauchoy nchini Tanzania tarehe 30 Agosti 2026 kupitia ushirikiano wa kisheria wa kimataifa.
Muhtasari wa Taarifa Rasmi ya Wizara:
Eneo na Tarehe: Mtuhumiwa alikamatwa tarehe...
Kulikuwa na mvutano nje ya Jogoo House, Nairobi, Jumatatu, Agosti 17, 2026, baada ya wanaharakati kuandamana wakimtaka Inspekta Jenerali wa Polisi, Douglas Kanja, ajiuzulu.
Waandamanaji hao, wakiongozwa na mwanaharakati Julius Kamau, walifika katika lango la Jogoo House wakitaka uwajibikaji...
Busara zenu na uungwana wenu ndio uliotuwezesha kupata uhuru, nyie mlimuona ni mwanaharakati wa kudai uhuru wa nchi yake na si gaidi na hamkuona sababu ya kumvamia kwenye kakibanda kake ka pale Mwitongo Butiama na Magomeni Mikumi ili auawe, heko kwa hilo.
Mwanaharakati maarufu katika kusaidia watu wanaoishi kwenye mazingira magumu, Malisa GJ, anadaiwa kutelekeza wanae watatu aliozaa na mkewe wa ndoa Doreen. Kwa mujibu wa Doreen waliyeachana zaidi ya miaka 3 na Malisa GJ hajawahi kupeleka matumizi wala kutaka kuwaona.
GJ ni maarufu kuchangisha...
Katika kila jamii duniani, maendeleo na mabadiliko makubwa hayaji bila watu wenye ujasiri wa kuuliza maswali, kusimamia haki, na kupigania kile wanachoamini kinaweza kuleta maisha bora kwa wengine. Watu hawa huitwa wanaharakati.
Mwanaharakati ni mtu anayejitolea kusimamia, kutetea au kupigania...
Mjumbe wa Baraza la Uongozi Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS), Barnabas Nyalusi, ameeleza jinsi dhana ya uanaharakati inavyopotoshwa na kukandamizwa nchini, akibainisha kuwa vijana wengi wa kizazi cha Gen Z wameaminishwa kwamba kuwa mwanaharakati ni...
Kuna haka ka Tabia ka kubeza nguvu na sacrifice za watu! Hasa jasho kwenye vyama! Naona CHADEMA mmeanza kujisahau kisa tu mtu mmoja ambaye anataka ambition zake zitimie
Mimi ni CCM mfu niwe wazi, ila Ninapenda kuona CHADEMA ikiendelea kuimarika zaidi na zaidi kwa kuwa ndo chama mbadala, achana...
HARAKATI siku zote huwa zina lengo la kupambania yale ambayo tunadhani hayako sawa kwenye jamii na yale ambayo tunadhani yalitakiwa kufanywa kwa mtazamo mwingine kabisa na huwa zinakuwa na lengo la kuikumbusha serikali au watawala juu ya mambo fulani fulani.
HARAKATI haiwezi kugeuzwa kuwa ni...
Kuna Mwanaharakati maarufu Mtanzania anayeishi Marekani anaongeaga sana kwa fujo na kufokafoka Rugemarila ama kaka Ruge kwenye mtandao wa kijamii wa club house na tiktok anadai Mafwele katishia hatakubali kwenda chini pekee yake atamwaga ugali na mboga. Jamaa anadai kapenyezewa hii habari na...
Nairobi. Dereva raia wa Kenya, Nelson Wanjohi Kirika mkazi wa Kenya anayeishi nchini Afrika Kusini Edward Mwangi Mwai na Aziz Hama raia wa Tanzania, leo Machi 6 wamefikishwa mahakamani jijini Nairobi kwa tuhuma za kumteka nyara Mtanzania, Mshabaha Mshabaha Hamza na kumsababishia majeraha mabaya...
Wadau wa mtandaoni wanajiuliza sana kuhusu ukimya wa wanaharakati wa kijamii na kisiasa.
Je kwanini mwanaharakati huyu hazungumzii kuhusu files za Jeffrey Epstein??
Mimi ni mzalendo sijiiti mwanaharakati ninaumia na mambo yaliyopo maana yake unakuta katika nchi ya Tanzania walioajiriwa serikalini wanajikuta mabosi wa wananchi"
Hayo ameyasema Clemence Mwandambo wakati akihojiwa na Jambo TV akieleza kuwa moja ya mambo ambayo yamekuwa yakimuumiza ni waajiriwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.