Barnabas Nyalusi: Gen Z wanaaminishwa kuwa Mwanaharakati ni vibaya

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mjumbe wa Baraza la Uongozi Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS), Barnabas Nyalusi, ameeleza jinsi dhana ya uanaharakati inavyopotoshwa na kukandamizwa nchini, akibainisha kuwa vijana wengi wa kizazi cha Gen Z wameaminishwa kwamba kuwa mwanaharakati ni jambo baya, hali inayowajengea hofu kubwa ya kushirikiana au kujihusisha na watu wanaopigania haki za kijamii. Kutokana na shinikizo hili la kisaikolojia na kimfumo, uanaharakati sasa umegeuzwa kuwa tishio badala ya chombo cha kuleta mabadiliko chanya.

Akizungumza katika Jukwaa la Demokrasia lililofanyika leo Julai 9, 2026 , Nyalusi Nyalusi ametoa wito wa kubadili mfumo wa uongozi ili ulenge uwajibikaji kwa jamii badala ya uroho wa madaraka akieeleza watu waacha profession zao kama Daktari anayetegemewa kutoa huduma hospitali na Professor anayetegemewa Chuoni anagombea Ubunge.

Sasa kama serikali yenyewe ndiyo iko mstari wa mbele kuwatia hofu Gen Z, ni nani atakuwa na uthubutu wa kuwa mwanaharakati?
 
Mjumbe wa Baraza la Uongozi Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS), Barnabas Nyalusi, ameeleza jinsi dhana ya uanaharakati inavyopotoshwa na kukandamizwa nchini, akibainisha kuwa vijana wengi wa kizazi cha Gen Z wameaminishwa kwamba kuwa mwanaharakati ni jambo baya, hali inayowajengea hofu kubwa ya kushirikiana au kujihusisha na watu wanaopigania haki za kijamii. Kutokana na shinikizo hili la kisaikolojia na kimfumo, uanaharakati sasa umegeuzwa kuwa tishio badala ya chombo cha kuleta mabadiliko chanya.

Akizungumza katika Jukwaa la Demokrasia lililofanyika leo Julai 9, 2026 , Nyalusi Nyalusi ametoa wito wa kubadili mfumo wa uongozi ili ulenge uwajibikaji kwa jamii badala ya uroho wa madaraka akieeleza watu waacha profession zao kama Daktari anayetegemewa kutoa huduma hospitali na Professor anayetegemewa Chuoni anagombea Ubunge.

Uzuri GeZ ni waelewa watawadanganya chawa pekee tena wasio GeZ
 
Screenshot_20260710-075429~2.png
 
Nobody wakes up wishing they could be an activist — having to endanger your life and fight for everything all the time. Everybody, young and old, wants to live a life of dignity and to be safe. For the powers that be, you cannot keep on gaslighting an entire nation — we know where all of the problems are — fix it — or let someone else do it but you cannot expect people to accept living lives whereby they are constantly in pain, constantly suffering, constantly being abused, constantly being treated like they do not matter. And on the other side of things, you cannot keep calling people to the streets to protest when you know the powers that be in Tanzania have no qualms whatsoever about killing — it is irresponsible and dangerous — a third way has to be found .
 
Back
Top Bottom