Kwanini mwanaharakati Maria Hazungumzii sakata la mafaili ya Epstein?

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Wadau wa mtandaoni wanajiuliza sana kuhusu ukimya wa wanaharakati wa kijamii na kisiasa.

Je kwanini mwanaharakati huyu hazungumzii kuhusu files za Jeffrey Epstein??
 
Wadau wa mtandaoni wanajiuliza sana kuhusu ukimya wa wanaharakati wa kijamii na kisiasa.Je kwa nini mwanaharakati huyu hazungumzii kuhusu files za Jeffrey Epstein??
Swala la Epstein linahusu ufuska, halihusu siasa. Je, wewe ungependa tupoteze muda wetu kuzungumzia ufuska uliotendeka majuu? Kwanini tusizungumzie ufuska unaotendeka kwenye mikutano na makongamano ya CCM unaofanyika mtaani mwetu.
 
Wadau wa mtandaoni wanajiuliza sana kuhusu ukimya wa wanaharakati wa kijamii na kisiasa.

Je kwanini mwanaharakati huyu hazungumzii kuhusu files za Jeffrey Epstein??
Azungumzie ili iweje?

Jina lake limeonekana huko au kuna watu taz majina yao yako huko?
 
Swala la Epstein linahusu ufuska, halihusu siasa. Je, wewe ungependa tupoteze muda wetu kuzungumzia ufuska uliotendeka majuu? Kwanini tusizungumzie ufuska unaotendeka kwenye mikutano na makongamano ya CCM unaofanyika mtaani mwetu.
Akili yako ni fupi mno kwenye hili.
Suala hili linahusu biashara haramu ya utumwa
 
Bunge letu lichunguze sakata hili kuwatambua wanaharakati waliohusika na madhila haya ya neo-slavery trade
 
Bado wanapekuwa kuona labda lipo la Vasco Da Gama wasababishe internet izimwe kwa muda.
 
Swala la Epstein linahusu ufuska, halihusu siasa. Je, wewe ungependa tupoteze muda wetu kuzungumzia ufuska uliotendeka majuu? Kwanini tusizungumzie ufuska unaotendeka kwenye mikutano na makongamano ya CCM unaofanyika mtaani mwetu.

Ndio maana Maria hawezi kupoteza muda kuzungumzia mambo yasiyotuletea tija katika mustakabali wa maendeleo ya nchi yetu!! Maria anashuhulika na kuwaadabisha wahuni.
 
Wadau wa mtandaoni wanajiuliza sana kuhusu ukimya wa wanaharakati wa kijamii na kisiasa.

Je kwanini mwanaharakati huyu hazungumzii kuhusu files za Jeffrey Epstein??
Ufuska unaofanywa kwenye mikesha ya mbio za Mwenge wa "Uhuru" pamoja na kwenye mikutano yote ya ccm Tanzania ni mkubwa mara 1000 zaidi ya hiyo kashfa ya ufuska ya Epstein.

Kwa hiyo ni bora kujikita kwenye kujadili mwenge na ccm
 
Back
Top Bottom