Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
HARAKATI siku zote huwa zina lengo la kupambania yale ambayo tunadhani hayako sawa kwenye jamii na yale ambayo tunadhani yalitakiwa kufanywa kwa mtazamo mwingine kabisa na huwa zinakuwa na lengo la kuikumbusha serikali au watawala juu ya mambo fulani fulani.
HARAKATI haiwezi kugeuzwa kuwa ni kazi ya mtu kuifanya na kujikimu kimaisha kwa kuwa itafika muda huna cha kufanya harakati unaishia sasa kufanya mambo ya hovyo hovyo na yasiyo ya tija kwa watanzania na jamii na kuonekana kituko.
HARAKATI zinapogeuzwa kuwa kazi ya kujikimu kimaisha ndiyo sasa inatokea nchi au taifa linazalisha watu wajinga kama Maria ambao wanaamini wao tu ndiyo wana haki na uwezi wa kuongelea mambo na wengine hawana mamlaka na uwezo wala haki hiyo.
WANAHARAKATI wa aina hii ni hatari sana kwa kuwa lengo lao linakuwa ni kutumikia na kutumwa na vibaraka wa nje ya Tanzania kufanya wanayoyafanya na huwa lengo lao linakuwa kuvuruga utulivu na amani kwa kisingizi cha haki za binadamu.
AINA hii ya harakati ndiyo mlizoziona 29 Oktoba 2025 ambapo wahuni na criminals walijifanya kuandamana na kuchoma moto maduka ya watu ,vituo vya mafuta na kupora mali za watu na kukata watu vidole waliokuwa wametoka kupiga kura. LAKINI huwezi kusikia hawa wanaojiita wanaharakati wanaongelea mambo haya na hawawezi kuongelea kama ule ulikuwa uhalifu wao wanaona kuwa wale vibaka walikuwa na haki ya kuchoma vituo vya mafuta na mali za watu.
AINA hii ya wanaharakati ndiyo ambao huwezi ukawakuta wanaongelea hata siku moja kauli za kinara wao Chiba aliyesema 'watachochea uasi" na "wanalazimika kutafuta mabunduki" na ushahidi wa video upo lakini huwezi kuwasikia wanaongele hiyo kitu kabisa wanabakia tu kusema Chiba kashtakiwa kwa kesi ya kutunga! Waulize hizi kauli walizisikia au la? Hawawezi kukupa majibu !
WANAHARAKATI wa hivi huwezi kuwasikia wakivumilia kuona kuna watu wengine ambao siyo vibaraka wao kama CNN na Larry wanatoa documentary ya nini kilitokea 20 Oktoba 2025.. Hawawezi kuwa na uvumilivu kwa kuwa tayari wameshakuwa vibaraka wa nchi zinazowapa hela kufadhili vurugu wanakuwa wakali vibaya sana kusikia kuwa wengine wanataka kuongea mambo tofauti na kile wanachokitaka..
JIULIZE ilipokuwa inatoka documentary yao ya uongo na kweli ya CNN na porojo zao za sijui makabuni ya halaiki kwa Kondo kwa nini walishabikia sana? Kwa nini walii promote sana? Jibu ni rahisi sana ,ilikuwa inafanya mambo kwa maslahi ya wanaowafadhili kufanya haya... SASA inapotokea kuna kitu kingine kinafanyika tofauti na matakwa yao ndiyo hizi kelele unazisikia sasa yaani wanahangaika kama wamekatwa vichwa na maneno ni mengi sana!
WANAHARAKATI vibaraka utawaona kwenye mienendo yao! WAlishabikia sana mambo ya bunge la Ulaya kujadili mambo ya Tanzania sijui vikwazo blah blah.. kwa kelele zilezile wanapayuko tena kinachofanywa na bunge sijui seneti ya Marekani.. Kitu wanashindwa kujua ni kuwa Tanzania haijawahi kuishi na kufanya mambo yake kwa msaada wa Marekani.. Tanzania ni nchi huru na Marekani ni mbia kwenye mahusiano na hakuna cha maana sana ambacho Tanzania inapata. Kama Marekani hawana umuhimu na Tanzania si waondoke wanang'ang'ana nini? WAondoke kama ni rahisi hivyo ambavyo mavichwa maji hawa wanaharakati wanafikiri..
WAMAREKANI wangekuwa wanawaona watu wa maana sana wangeshawapa ukimbizi kwao muda mrefu sana LAKINI kwa kuwa hamna umuhimu huo ndiyo maana mmelundikana Nairobi mnaishi maisha ya kuungaunga na kujaza fomu kila miezi 3 kupewa $750 kwa akili ya kujikimu ! Mbona hampelekwi Marekani kama nyie ni watu muhimu sana kwa wamarekani?
WAHAHARAKATI wanatakiwa kujifunza kuwa tulipokuwa tunasema tutaitetea hii nchi kwa wivu mkubwa sana inawezekana walikuwa hawaelewi tunaongelea nini ndiyo maana sasa hivi wameshasahau ripoti ya Jaji Chande tuko tunawahenyesha na mambo ya documentary halafu next week tutawa keep busy na ziara ya Rais Russia
MTAFANYA TUNACHOTAKA halafu ikifika 2030 mtasema mmeibiwa kura