DRC yathibitisha Tanzania kumkamata Mwanaharakati Denise Dusauchoy na kutoa shukrani

Makumbele

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2009
Posts
312
Reaction score
1,433
Wizara ya Sheria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imetoa taarifa rasmi ikithibitisha kukamatwa kwa Denise Dusauchoy nchini Tanzania tarehe 30 Agosti 2026 kupitia ushirikiano wa kisheria wa kimataifa.

Muhtasari wa Taarifa Rasmi ya Wizara:

BaruaDRC.jpg

  • Eneo na Tarehe: Mtuhumiwa alikamatwa tarehe 30 Agosti 2026 nchini Tanzania na mamlaka za usalama za Tanzania.
  • Sababu ya Kukamatwa: Kukamatwa kwake kunafuatia hati ya ukamataji (mandat d'arrêt) iliyotolewa na vyombo vya sheria vya DRC kulingana na misingi ya ushirikiano wa kisheria wa kimataifa.
  • Uchunguzi Unaondelea: Hatua hii ni muendelezo wa mashitaka ya jinai yanayochunguzwa na DRC. Mnamo Oktoba na Novemba 2025, Mwendesha Mashtaka Mkuu wa DRC alikuwa amepeleka maombi ya ushirikiano wa kisheria (commissions rogatoires) nchini Ubelgiji kuhusiana na upelelezi unaomkabili Denise Dusauchoy na wenzake.
  • Pongezi kwa Tanzania: Serikali ya DRC imeipongeza na kuishukuru nchi ya Tanzania kwa ushirikiano wa haraka na ufanisi mkubwa katika kufanikisha oparesheni hiyo kwa kuzingatia misingi ya sheria.
  • Haki ya Mtuhumiwa: Wizara imefafanua kuwa kukamatwa huku ni sehemu tu ya taratibu za kisheria, na kwamba mtuhumiwa anaendelea kuchukuliwa hana hatia (presumption of innocence) hadi pale mahakama itakapotoa uamuzi wa mwisho.
Kihistoria, Tanzania imekuwa na taswira ya kipekee kama ngome na kimbilio salama la wanaharakati, wakimbizi wa kisiasa na wapigania uhuru katika Ukanda wa Maziwa Makuu na Afrika kwa ujumla. Hata hivyo, tukio hili la hivi karibuni la kukamatwa kwa Denise Dusauchoy linaipa nchi taswira ya tofauti na ya ajabu katika ukanda huu.

Hatua hii inaashiria mabadiliko ya kimkakati ambapo Tanzania inaonekana kuweka pembeni utradhi wake wa zamani wa kutoa hifadhi ya kisiasa na badala yake kujiweka kama mshirika wa karibu wa kiusalama na kisheria wa serikali zilizopo madarakani; jambo linaloibua mjadala mzito kuhusu nafasi ya nchi hiyo kama hifadhi salama kwa wanaharakati na wakosoaji wa kisiasa wanaokimbia nchi zao.

Je, unautazamaje ushirikiano huu wa kisheria na kiusalama kati ya Tanzania na DRC katika kukabiliana na watuhumiwa wa makosa ya jinai? Ni majuzi tulimwona Rais wa DRC akija Tanzania, ilikuwa sehemu ya mikakati?
 
View attachment 3660986

Mpuuzi mkubwa huyi. Unajua kuwa Dictators work together. Na huyu alikuwa lofa, unajua kabisa kuwa tanzania ni worst of them all in haki za binadamu in Africa , Sasa unakuja kwenye jahanamu. Pumbavu
 
Tanzania ilikuwa inatoa hifadhi kwa wazalendo, wapigania uhuru, sio magaidi kama huyo dada
 
Muda ukifika, DRC mmkamate mhaini wetu mara moja pindi CCI itakapotoa warant ya kukamatwa kwake.
 
Back
Top Bottom