Yupo Wap Mwanaharakati Fatuma Karume ( Shangazi)?

Gilbert A Massawe

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Posts
6,359
Reaction score
5,329
Huyu Dada alisifika sana kuwa mpigania Haki, Uhuru leo hii asikiki tena.

Mwenye kufahamu Alipo Huyu Bibie Atujuze.

Kuna nyakati wafuasi wa Chama Fulani walimtikuza sana na kumpambania Kuwa Kiongozi wa Chama cha Wanasheria TLS.

NB: Sio Kila Mwanaharakati Upigania Uhuru, Haki , Demokrasia wengine wanapigania Ugali wao , Ugali wa Maboss zao, Marafiki zao.

Msalimieni sana Fatma Karume Rais Mstaafu wa TLS.
 
Mkuu umeamua kuja kumfungulia Uzi huku?
 
kumbe hata huyu Shangazi Mzungu koko Maria nae akitupiwa ugali mdomo utajaaa kimyaa.

Hahaha

Wanaharakati😂🖕
Ndivyo ilivyo hauoni hata maccm leo wanajitenga na Nchimbi na wote wanapongeza kufukuzwa kwake ila subiri aje raisi mwingine halafu amrejeshe Nchimbi kwenye mfumo uone watu haohao watakavyopongeza na kulaani kabisa kilichokatokea cha kufukuzwa
 
Hawa activists wote sio wakuwaamini wapo kwa interest zao fu
Siasa na uanaharakati ni usenge tu wote hao wana interest zao

Inasikitisha vijana wanapoteza maisha kutetea ugali wa matepeli wachache, daah so sad!

Moja ya watu wa kuwaepuka Tanzania ni wanasiasa na wanaharakati. Rudi Oct 29 utaelewa

Wewe umekufa kama mzoga mwenzako yupo State anakupost ili wadhamini wamwekee mpunga
 
Amekuachia hiyo nafasi wewe sasa ili iwe zamu yako kuipigania hiyo haki,
Unataka haki yako ila unataka ipiganiwe na mtu mwingine?
 
Huyu Dada alisifika sana kuwa mpigania Haki, Uhuru leo hii asikiki tena.

Mwenye kufahamu Alipo Huyu Bibie Atujuze.

Kuna nyakati wafuasi wa Chama Fulani walimtikuza sana na kumpambania Kuwa Kiongozi wa Chama cha Wanasheria TLS.

NB: Sio Kila Mwanaharakati Upigania Uhuru, Haki , Demokrasia wengine wanapigania Ugali wao , Ugali wa Maboss zao, Marafiki zao.

Msalimieni sana Fatma Karume Rais Mstaafu wa TLS.
Fatma ameamua kuachana mambo haya, ameamua kutafuta akhera yake. Ameamua kutubu na kuaza maisha mapys ambayo ndio maisha bora na yaliyo mazuri. Sote tunatakiwa tuwe hivyo. Amerudi hijja na ameamua kuachana na mambo ya siasa ambayo ameiona yanamuweka mbali na Muumba wake
 
Hakuna Muumba ni uongo wa kidini tu
 
Aliacha kupiga kelele baada ya yule mzanzibar kuanza kujenga kwao....
Zanzibar inajengwa Kila siku,haoni sababu ya kushinda anapiga kelele
 
Huyu Dada alisifika sana kuwa mpigania Haki, Uhuru leo hii asikiki tena.

Mwenye kufahamu Alipo Huyu Bibie Atujuze.

Kuna nyakati wafuasi wa Chama Fulani walimtikuza sana na kumpambania Kuwa Kiongozi wa Chama cha Wanasheria TLS.

NB: Sio Kila Mwanaharakati Upigania Uhuru, Haki , Demokrasia wengine wanapigania Ugali wao , Ugali wa Maboss zao, Marafiki zao.

Msalimieni sana Fatma Karume Rais Mstaafu wa TLS.
Yuko kwao Zenji, yeye uanaharakati wake ni pale Rais akiwa Mtanganyika na hasa akiwa Mgalatia ndiyo utamsikia kama alivyo Zitto Kabwe, yeye ni Mzanzibari zaidi na siyo Mtanzania.
 
Back
Top Bottom