Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Hivi ukiwa mwana harakati hutakiwi kupata hela ?
Aah wapi chapombe huyo kama dingi wake, ngoja awamu ya saba aje Rais Mtanganyika tena awe Mgalatia utamsikia akianza kufurikuta sasa mdomo umejaa mafuta anabunya tartiiib.Fatma ameamua kuachana mambo haya, ameamua kutafuta akhera yake. Ameamua kutubu na kuaza maisha mapys ambayo ndio maisha bora na yaliyo mazuri. Sote tunatakiwa tuwe hivyo. Amerudi hijja na ameamua kuachana na mambo ya siasa ambayo ameiona yanamuweka mbali na Muumba wake
Ktk uislam hata ukiwa mlevi baadae ukarudi kwa Allah hakuna kosa. Yeye ameamua hivi sasa kumrudi kwa muumba wake, anatafuta akhera yake, amewaacha wengine ktk social media wakumbatie dunia yaoAah wapi chapombe huyo kama dingi wake, ngoja awamu ya saba aje Rais Mtanganyika tena awe Mgalatia utamsikia akianza kufurikuta sasa mdomo umejaa mafuta anabunya tartiiib.
Huyo mpaka kesho anapiga kilevi na kale katabia kengine pia hajaacha.Ktk uislam hata ukiwa mlevi baadae ukarudi kwa Allah hakuna kosa. Yeye ameamua hivi sasa kumrudi kwa muumba wake, anatafuta akhera yake, amewaacha wengine ktk social media wakumbatie dunia yao
Hata nyie mlioumbwa mtaondoka Tu na wala sio kwa idhaa ya huyo aliyewaumba Hana Uwezo huo wa kuwalinda msifeKwa hivyo wewe umejiumba? Kama umejiumba basi fanya usiondoke ktk dunia hii
Kwamba Fatma Karume ana njaa ya fedha siyo?kumbe hata huyu Shangazi Mzungu koko Maria nae akitupiwa ugali mdomo utajaaa kimyaa.
Hahaha
Wanaharakati😂🖕
Vipi Niffer? Hahaha miezi michache iliyopita humuhumu ulimsifu kwa kuvaa hijab. Sasa hivi kiko wapi? Halafu fatma karume alivaa vile tu alipoenda msibani.Fatma ameamua kuachana mambo haya, ameamua kutafuta akhera yake. Ameamua kutubu na kuaza maisha mapys ambayo ndio maisha bora na yaliyo mazuri. Sote tunatakiwa tuwe hivyo. Amerudi hijja na ameamua kuachana na mambo ya siasa ambayo ameiona yanamuweka mbali na Muumba wake
Mbombo Ngafu.Kwamba Fatma Karume ana njaa ya fedha siyo?
Mtu ambaye babu yake amekuwa Rais wa Zanzibar kisha baba yake naye akawa Rais wa Zanzibar halafu tuseme amepewa fedha ndiyo akanyamaza?
Kwani mtu akiamua kuwa kimya kwa kipindi fulani kwasababu zake binafsi lazima afungamanishwe na kulamba asali?
Fatma amekulia Ikulu karibu nusu ya maisha yake kufikia sasa.
Huyo Malaria ni zuzu, mpuuze mkuu.Vipi Niffer? Hahaha miezi michache iliyopita humuhumu ulimsifu kwa kuvaa hijab. Sasa hivi kiko wapi? Halafu fatma karume alivaa vile tu alipoenda msibani.
Hebu tutupie picha zake akiwa Hijja!
Alimnyoosha kiaje dearest sis 🤔Mi fatma alinifurahisha tu pale alipomnyoosha mumewe.
Duh!..Mi fatma alinifurahisha tu pale alipomnyoosha mumewe.
Umeifunga mada.Huyu mbibi aliacha uanaharakati wake uchwara baada ya kuona mzanzibari mwenzake aliyerithi madaraka anainufaisha zanzibar yao kwa mali za Tanganyika.Huyo bibi msenge tu.Anafurahia tanganyika kukaushwa damu na huyo jimama wenzake.