Mange Kimambi kuja na Podcast yake ya siasa kacheza kama Pele.

Ameona fursa ya kupiga hela ya wapenda udaku.

Anazidi kutanua goli la biashara, alipiga na app ya udaku, kapiga na tuhela hela vya wadau kwa kuwazuga ana nunua Habari kutoka vyanzo sahihi, anapiga hela Instagram na sasa ana geukia YouTube kuendelea kuneemeka kwa kuwa uzia umbea wadanganyika mitandaoni
Avatar yako inajieleza
 
Wewe ukitoa uchawa ambao ni kirusi kwa taifa, umelisaidia nini taifa kwa shughuli zako binafsi?
 
Back
Top Bottom