Habar wakuu, mimi ni mgen kidogo kwenye matumiz ya app ya spotify
Ninachofaham ni ku search nyimbo na kuiskiliza , mbaya zaidi ninapochagua nyimbo unakuta nikii play ina play nyimbo nyingine
Ukiachana na hiyo kuna kitu kingine nimekutana nacho kinaitwa podcast sasa naomba nifahamishwe nini...
Habari, nina mpango wa kuanzisha podcast. Naomba ushauri wowote utakaonisaidia kufikia amza yangu hii.
Najua nahitaji vitu vya kurekodia, ni vitu gani basic natakiwa kuwa navyo na gharama zake zipo namna gani? Wapi naweza kupublish na kupata wasikilizaji wengi wa Tanzania? Platform hizo...
Asalaam Alaikum!
Binafsi nimeanza kusikiliza Podcasts mwaka 2020 baada ya Mr. Strive Masiyiwa (Bilionea mwenye asili ya Zimbabwe) kuweka mapendekezo ya vitu anavyoshauri wajasiriamali wafanye; kimojawapo ni kuhakikisha unapata taarifa na maarifa kuhusu namna watu wengine wanavyoendesha biashara...
Microphone for live streaming, video / Audio conferencing, podcasting, etc
New condenser microphone
Noise/ echo cancellation
YouTube, Skype, zoom meetings, podcast, etc
Just plug & play
OFFER: 99,000 /-
COD: Dar es Salaam/Kibaha but we can ship to all regions.
Call: +255 658 700 510
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.