kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. Loading failed

    TRA kuna fani hazipo kwenye job careers yenu nini mustakabali wake kwa wasomi wa Tanzania

    Ndugu .. Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo, Kuna fani hazipo kwenye job careers ya TRA. Mustakabali wake ni upi zimekaaje na kwanini hazipo ,je fani zinazotolewa na vyuo vya Tanzania hazijulikani zote. Je, mamlaka mnatusaidiaje wasomi ili fani zetu zote ziwepo kwenye career ya TRA ili...
  2. Magical power

    Hakuna Urafiki Kati ya Mwanamke na Mwanaume..

    Hakuna Urafiki Kati ya Mwanamke na Mwanaume.. Kama Mwanamke Wako Ana Rafiki Wa Kiume, Achana Naye.. Wanawake Kuna Kipindi Wanakua Wadhaifu na Wanalijua ili.. Siku Ukimkorofisha Anajua Ni Sehemu Gani Atapata Faraja. Atakazwa Tu. Huu Ndo Ukweli Wazee..
  3. 6 Pack

    Hili ndio suluhisho la mgogoro wa Congo na Rwanda, kati ya Kagame na Tshisekedi

    Kuna machaguo mawili ambayo wahusika wenyewe watatakiwa kuchagua. Na ikishindikana kuchagua kwa maana wote wawili kutochagua chaguo lolote, au kila mmoja kuchagua tofauti na mwenzake, basi itapigwa kura ambapo viongozi wataoongoza mkutano huo ndio watapiga kura kuchagua chaguo moja ambalo...
  4. stabilityman

    UTOFAUTI KATI YA MASTER BEDROOM NA SELF BEDROOM

    UTOFAUTI KATI YA MASTER BEDROOM NA SELF BEDROOM. SELF BEDROOM Ina ukubwa ambao unaruhusu:- ✴️Kitanda cha futi 5 kuingia ✴️Meza moja na kiti kimoja au Viwili ✴️ Kabati la nguo Pia inakuwa na Choo chenye shower na system ya Choo Tu, na haina dressing room. Ukubwa wake Mdogo ni square metres 15...
  5. pantheraleo

    Dodoma: NEMC Kanda ya kati, kufanyia kazi Malalamiko kuhusu athari za sauti. Imekagua na kutembelea miradi 603 ya uwekezaji

    Dodoma: BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Kanda ya Kati kwa kipindi cha Julai, 2024 hadi Januari, 2025, limekagua na kutembelea miradi 603 ya uwekezaji katika Mikoa ya Dodoma, Iringa na Singida ikiwa ni asilimia 75 ya makadirio kwa mwaka 2024/25. Kaimu Meneja wa NEMC...
  6. Magical power

    Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma

    Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma jeshi la wananchi JWTZ limepoteza Askari wawili huku M23 wakishindwa kusonga mbele kutokana na mashambulizi mazito ya JWTZ yakiendelea idadi ya Askar wa M23 waliofaliki katika mashambulizi hayo imewekwa...
  7. chizcom

    Athari za Mfumo wa Kichama kwa Idara za Usalama na Ulinzi Kabla na Baada ya Uhuru

    Kutoana na kutoka ukoloni mpaka kuwa watawala kuna utofauti kati ya idara za usalama na ulinzi kabla na baada ya uhuru, hasa katika muktadha wa Afrika na mataifa mengine yaliyojitawala kutoka kwa wakoloni. Kabla ya uhuru, idara za usalama na ulinzi mara nyingi zilikuwa zikitumika kama vyombo...
  8. Beira Boy

    Waziri unayehusika na vijana, BAGAMOYO haina vijana wote mateja ingilia kati

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA Ukweli usemwe na uwekwe wazi Wazazi wa bagamoyo malezi yamewashinda Bas serikali jitaidini kuingilia kati hili suala Vijana wanatekea wote ni mateja wote walevi Inasikitisha sana SAYUNI BOY
  9. The Burning Spear

    Makazi Mapya Kwa watu wenye vipato vya Kati Dar/Pwani

    Ndugu wanajamvi. Kwa kasi yanukuaji wa jiji la Dar.es salaam ni dhahiri kwamba Mila basada ya Mila kumi.panaibuka makazi mengine ya kishua ukiachana na Yale ya uswazi anbayo yanakera sana na Hakuna ustarabu. Baadhi ya maakazi ya watu wa kipato cha kati na kishua ya hivi karibuni Ambayo Kwa...
  10. D

    Hivi nani gaidi kati Israel na M23 au Wanamgambo wa kule Gaza?

    Kwa maoni yangu Islael ndo magaidi mana walivamia nchi ya watu na wanaendeleza ugaidi. Ee Mungu wahurumie na waokoe wapalestina. Mimi mkatoliki mwaminifu.
  11. K

    Kipi bora kati ya hivi?

    Kipi bora kati ya kuajiriwa na hawa viumbe watatu?yani yupi ana afadhali? 1.Mchina 2.Mhindi 3.Mswahili
  12. Magical power

    Jicho la tatu ni chakra ya sita kati ya chakra saba katika mwili wa binadamu

    Jicho la tatu ni chakra ya sita kati ya chakra saba katika mwili wa binadamu Ukiweza kufika kituo hiki cha Nishati basi utakuwa na uwezo mkubwa wa kiroho na kupata maono na utambuzi wa mambo mbalimbali Kujifunza zaidi namna ya kufungua vituo hivi vya Nishati basi kalibu sana.
  13. 3

    Ipi ni bora katika kujiajiri na kutengeneza pesa nyingi kati ya software developer na Cyber security

    Habari zenu ndugu polen na majukumu mimi niliuw na penda kujua kati ya software developer na Cyber security ipi inaweza kukutengenezea utajiri mkubwa kwa Tanzania hapa
  14. M

    Hivi kuna uhusiano gani kati ya Usukuma na ushamba?

    Inawezekana Kila mtu ni mshamba lakini ushamba tunakuwa nao kwa muda, ila kwa upande wa wasukuma ushamba ni kitu hakiwatoki nimekuja kubali msukuma hata angezaliwa New York city still angebaki na viashiria fulani kuonyesha kuwa ni mshamba. Nimejifunza haya baada ya interaction na wasukuma...
  15. J

    Kati ya Press hizi mbili za Wenyeviti wa Chadema kundi lipi ni la kweli?

    ..Press conference ya kwanza hii hapa. https://www.youtube.com/watch?v=lFV-oPTTN28 ..Press conference ya pili hii hapa. https://www.youtube.com/watch?v=Eidcj4OZ5AI CC Erythrocyte , Tindo, brazaj, Fundi Mchundo
  16. P

    DODOMA: CHADEMA Mkoa wa Dodoma wamkataa kata kata Mbowe wasema Kwa sasa ni Lissu Wanakuwa ni Mkoa wa 20 kutoa azimio hilo kati ya Mikoa 31

    https://www.youtube.com/live/3eUZr56l98U?si=Ri2UPJYSDc5O1vN2 Tuache Kudanganyana Mbowe hawezi kushinda huu Uchaguzi tuweni wa kweli na Mungu atatubariki Mbowe hatakiwi kabisa. Mjumbe hata kama utapewa pesa toka CCM ili umchague Mbowe usifanye hivyo utakiua chama.
  17. GENTAMYCINE

    Nina Timu yangu Mtaani nataka kuichagulia Kauli Mbiu moja kati ya hizi Tatu zifuatazo....

    1. Gusa Achia urudi Bongo 2. Gusa Achia urejee NBC 3. Gusa Achia ule wa Chuya Nitajie moja tu ambayo itapendeza hasa.
  18. Scars

    Machache niliyoyaona kwenye mechi kati ya Yanga na Mc Alger

  19. Allen Kilewella

    CHADEMA imeipasua CCM kati kwa kati

    Pamoja na CCM kuwa chama dhaifu kinachotegemea dola na uhalifu kufanya siasa zake, lakini tena bado CHADEMA imekipasua chama hicho kati kwa kati. Mwaka 1995 wakati NCCR - Mageuzi kilipokuwa maarufu na kila mtu akiamini kwamba chama hicho kitakuja kuwa kikubwa na imara kwenye siasa za Tanzania ...
  20. Shooter Again

    Klabu ya simba inachofanya ni utapeli serikali iingilie kati wajinga wanaibiwa

    Viongozi wa hii taasisi wameanzisha kampeni ya utapeli ambayo sisi kama raia wema tunaomba serikali yetu tukufu iingilie kati sababu raia masikini wanakamuliwa bila kujitambua yaani wanampa tajiri pesa unaambiwa wanachangisha milion 100 ila je inayozidi inaenda wapi kama sio Kwa matapeli ambao...
Back
Top Bottom