Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.
Leo nimeenda dukani kununua Galaxy A35 yenye storage ya 256 GB na kwa bahati mbaya sikuipata.
Katika kuangaza macho nikaiona iphone 12 pro used ina battery health ya 86%. Nikavutiwa kuikagua na kweli bado ina vitu kadhaa vinavyovutia ila sikushawishika kuinunua hiyo pamoja na kuwa na bei sawa...
Kuna Timu moja nina uhakika wangekumbana na hili Rungu la CAF kama Wangesema wachangishane ili wakalipe Faini huko CAF kwa Mashabiki wao walivyo Masikini na Wabahili (Malugume) nina uhakika hadi hivi sasa wangekuwa na ama Shilingi Mia Tano (Jero) ya Sarafu au Elfu Moja (Buku) ya Karatasi.
Waziri Simbachawene unapaswa uone aibu, unatangaza nafasi 14,000 tu za Walimu wakati waombaji wapo Walimu 200,000? Huoni haya, hawa 186,000 wataenda wapi? YAANI MNACHUKUA ASILIMIA 7 TU YA WALIOOMBA? Wengine wataenda wapi?
Hii kada mwajiri mkubwa ni Serikali, pamoja na wizara ya afya, hao...
Kudadadeki zenu mlitaka mumpeleke Namungo kwa Mkopo kisha baadae mumuache Kiujanja Ujanja (Juu kwa Juu) kama mnavyowafanyie Wengine Bandeko Nangai (Mkongomani) akawashtukia
Na sasa kawaambieni tena kwa Amri kuwa tekelezeni yaliyomo katika Mkataba wenu nae ndani ya Siku Tano (5) zijazo na...
Ndugu wanaMMU, naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda.
Baada ya kuona idadi ya single mothers inazidi kuongezeka kila kukicha, nimeshawishika kufungua uzi maalumu kwa ajili yao ili kwa pamoja tuweze kutoa mawazo jinsi ya kuwasaidia na kuwashauri. Hii itasaidia...
1. Mke anayekaa nyumbani: Huyu anajitolea muda wake wote kuhudumia familia, kulea watoto, na kuhakikisha nyumba iko sawa kila siku.
2. Mke mwajiriwa: Huyu anafanya kazi na anaingiza kipato cha kusaidia familia. Anaendelea na ndoto zake za kikazi lakini pia anajaribu kusawazisha kazi na maisha...
Wakuu salam,
Wakati huko mitandaoni watu wanataka kuuwana na kuchukia wengine, siku zote wanasiasa ni wale wale
Kwa miaka takribani 30 sasa, Chadema inaenda ku set a very new political pathway kwa vyama vyote vya upinzani kufuata..
Nawashangaa sana vijana wanaopasuana kwa matusi mitandaoni...
Vyuo vingi vya Kati vya Afya na Sayansi Shirikishi kuna ukiukwaji mkubwa wa haki za wanafunzi, wapo wanaofelishwa makusudi katika mitihani yao ya practical.
Walimu wanatumia nafasi hiyo hasa kwa wanafunzi waliotofautiana nao au waliowatongoza wakawakataa, matatizo binafsi ya Walimu na bifu kwa...
1. Mwanamke ambaye ninamzidi miaka 3, ni mwanachuo wa Bachelor, ni Mhehe kwa kabila, anapenda kusifiwa ndo furaha yake, anaishi na wazazi wake wote wawili na ndugu wengine kama kaka zake, dada zake na wadogo zake, ananipenda sana na anapenda WhatsApp video call tukiwa mbali naye.
2. Ni mwanamke...
Central African Republic Sports Minister presented this new motorbike to coach Sébastien Ngato for guiding them through to the 2024 CHAN tournament.
This is the most expensive bike in the country and it’s a nice way to reward the coach for his efforts.
Embu ona!
CHADEMA unapozungumzia watu wenye ushawishi, utamtaja Lisu, Heche, Lema, Mbowe na Sugu. Msigwa kama Msigwa angekuwa hajahama CHADEMA angekuwa kwenye top 6 ya viongozi wenye ushawishi CHADEMA.
Wajumbe wengi wa kanda ya Kati hawawezi kuacha kumsikiliza Lisu ndugu Yao ati wamsikilize...
Ni wakati ambao wasanii tena hawakutegemea hard copies ili kuuza albamu, kaseti zilikuwa zimepigwa chini, Computer zimeingia mtaani watu wana bani CD tu. Yani muziki wa bongo ulikuwa katika dillema, yani jamaa walibaki kama show off tu
Ni wakati ambo wasanii waliingia kwenye game kipindi hicho...
Nilipata bahati ya kufanya mafunzo ya vitendo (field) Halmashauri ya Jiji la Mwanza mwaka 2012, ambapo nilikutana na Muisraeli aliyekuwa sehemu ya exchange program kati ya halmashauri yake na Jiji la Mwanza.
Alionyesha mshangao mkubwa jinsi halmashauri zetu zinavyoshindwa kupanua vyanzo vya...
Mwaka 2024 ni mwaka ambao umeshuhudia mafanikio makubwa kwenye ushirikiano na maendeleo baina ya China na Afrika, hasa China na Tanzania. Mafanikio haya yanatokana na mambo ya msingi yaliyowekwa na viongozi waasisi na kuendelezwa na viongozi wa sasa pamoja na sera nzuri ya mambo ya nje ya China...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.