BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Kwa hili wimbi la hawa vichogo wanaomaliza fom foo, kuna haja ya mkakati madhubuti.
Nikiwaangalia hawa naona kabisa ni kama maboksi matupu ambayo yako rada katika uzalishaji wa watoto wasio na baba.
Akili yangu inaniambia, kizazi cha GEN Z ni kizazi kisicho bunifu na chenye akili duni sana.
Ni kizazi cha akili za mwendokasi, hata mashuleni wanafeli sana na kuzungusha maduara kuliko wakati wowote ule tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Muda wote wameng'aka na kuchachawa, wanawaza uzinzi, ulevi, na uharibifu.
Ona kama hawa, eti wako rada!