maadili yameporomoka sanaKwa hili wimbi la hawa vichogo wanaomaliza fom foo, kuna haja ya mkakati madhubuti.
Nikiwaangalia hawa naona kabisa ni kama maboksi matupu ambayo yako rada katika uzalishaji wa watoto wasio na baba.
Akili yangu inaniambia, kizazi cha GEN Z ni kizazi kisicho bunifu na chenye akili duni sana.
Ni kizazi cha akili za mwendokasi, hata mashuleni wanafeli sana na kuzungusha maduara kuliko wakati wowote ule tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Muda wote wameng'aka na kuchachawa, wanawaza uzinzi, ulevi, na uharibifu.
Ona kama hawa, eti wako rada!
View attachment 3697680
Umepanic ni ngumu kunielewa, majuzi ya zamani ni tofauti na ya sasa, zamani hakikua na TikTok, insta, nk leo vipo na vinapatikana kwa urahisi, unajilinganishaje Jana na leo mkuu?Ni kukosa akili tu kwani siye katika ukuwaji wetu nani katufunza kutotetereshwa na mitandao? Tabia ya mtu ni kama ngozi, ukizingua umezingua, sisi hatukuwa na watu w akubalme hata kitokee nini, nyie madogo mmekuja tofauti uzungu mwingi na kujifanya mnasababishiwa matatizo! Wewe umeona mwenzio kajipost shoga nawe utaenda kuwa shoga kisa post za tiktok? Tumia akili achana na defence mechanism eti nyie ndio mnawaharibu! Wewe unampa simu mwanao ya nini? Fatilia mtoto wako na sites anazozjiunga, madogo kibao wanajiunga kwenye groups za shoga kuna kampeni mmewafanyia na kuwapa links?
Too late! Na kama hao madogo wanaishi kwa kuangalia wengine wanafanya nini, mzazi hakuwajibika vzr kwa malezi! Again stop blaming people on social media! Mbona we hutembei na wanaume wenzio au huigizi porn unataka kuniambia hujawahi kukutana na hivyo vitu?
Unaongea ujinga pro!🚮
Hapana nawatetea nikisikiliza na kukumbuka ulivo kua inanambia kuhusu vigezo vya kumpata mwanao ndio matokeo yake haya, kua mpole, what goes around comes aroundHao ni wasichana wasiokuwa na maadili hata kidogo.
mazingira na malezi yasiyojali mipka imewafanya wawe na ujasiri wa kuropoka hivyo
My dia pamoja na yote mimi similiki mtoto dizaini hiyo.........Hapana nawatetea nikisikiliza na kukumbuka ulivo kua inanambia kuhusu vigezo vya kumpata mwanao ndio matokeo yake haya, kua mpole, what goes around comes around
Naona umeamua kujijibu!Umepanic ni ngumu kunielewa, majuzi ya zamani ni tofauti na ya sasa, zamani hakikua na TikTok, insta, nk leo vipo na vinapatikana kwa urahisi, unajilinganishaje Jana na leo mkuu?
Basi hongera, hao watoto ni matokeo ya wazazi au walez,My dia pamoja na yote mimi similiki mtoto dizaini hiyo.........
We tuchat tu hapa jf lakini nje mimi ni mwingine kabisa.
Sawa mkuuNaona umeamua kujijibu!
Wewe unaona tiktok tupo sisi au gen z wenyewe kwa wenyewe?
Kama sisi tunawaharibu kwa tiktok sasa hivi zamani tuliharibiwa na nini?
Tumia akili vizuri.