Kontena na Divisheni Ziro limetua mtaani: Mama Gwajima ingilia kati

Kontena na Divisheni Ziro limetua mtaani: Mama Gwajima ingilia kati

Mimi nimeshazika sana. Vijana wa Miaka 18-28 wengi kinachowaua ni ajali. Ila ukisikia mtu nzima wa Miaka 45 na kuendelea kafariki huo ni ukimwi. Na mara nyingi ni wale waliokwenye ndoa. Unakuta anaanza kutangulia mume kufa Kisha mke anafuata. Usione huko makanisani watu wanashuka kwenye magari Yao wakiwa na furaha. Wengi wao ni waathirika

Ukitaka takwimu halisi za walioathirika wewe nenda makanisani tu huko wamejaa kama njugu.
Sawa
 
Hao ni wanachuo?
Ndio mana napinga kuwakejeli hawa watoto, kwani sija ona kosa baya kwao, ni utoto tu mbona tulikaa kimya wana chuo walipo kalia chupa uchi udom miaka hiyo waacheni hao watoto tusiwatabirie mabaya kisa hofu za KUPOTEZA wame zenu nao wamesha soma akili za waume zenu ndio mana wameongea vile
 
Eti hawana maadili. Najiuliza wao maadili walikuwa nayo? Humu Kuna mizee ya hovyo sana.
Achana nayo sijaona kosa la hao watoto, hawaja chezea uchi hawaja tukana, ni hofu tu ya hawa mshangazi kuibiwa wame sababu wame ZAO hawajatulia ni magubegube, na hawa wazee wengine wanatafuta sababu tu kufanya ufuska wao
 
Mitaa imewalea hizo gang signs wanazoonyesha ni sawa sawa na wale machafuchafu wa south Africa ni namba hizo wenyewe wanaziita… Sio rahisi ukute aina hii ya watoto Private schools 🏫
 
Walimu wanafundisha tu kufaulu kuhusu MALEZI WAZAZI KAZI KWENU… Yote tumeyataka wenyewe na sasa tunavuna tulichopanda , kama unataka maadili peleka mtoto shule ya KANISA, SEMINARI ya Katoliki au hizo za kiislamu tofauti na hapo?
 
Kwa hili wimbi la hawa vichogo wanaomaliza fom foo, kuna haja ya mkakati madhubuti.

Nikiwaangalia hawa naona kabisa ni kama maboksi matupu ambayo yako rada katika uzalishaji wa watoto wasio na baba.

Akili yangu inaniambia, kizazi cha GEN Z ni kizazi kisicho bunifu na chenye akili duni sana.

Ni kizazi cha akili za mwendokasi, hata mashuleni wanafeli sana na kuzungusha maduara kuliko wakati wowote ule tangu kuumbwa kwa ulimwengu.

Muda wote wameng'aka na kuchachawa, wanawaza uzinzi, ulevi, na uharibifu.

Ona kama hawa, eti wako rada!

View attachment 3697680
Wakipata ziro wewe inakuhusu nini,acha watoto waenjoy maisha yao
 
Dunia ya leo kusoma hii elimu ya mkoloni tuliyozoea ni kupoteza muda tuu, AI itafanya kila kitu kinachohitaji intelligence (akili) na hata kazi za kutumia nguvu ni swala la muda tuu robots zinakuja, dunia mnayoijua leo in five years itakuwa tofauti sana, endeleeni kulala
 
Achana nayo sijaona kosa la hao watoto, hawaja chezea uchi hawaja tukana, ni hofu tu ya hawa mshangazi kuibiwa wame sababu wame ZAO hawajatulia ni magubegube, na hawa wazee wengine wanatafuta sababu tu kufanya ufuska wao
Hivi we unaweza kushiriki katika kukomboa kizazi kweli? Au kwasababu dada yako hayupo kwenye hizo video unahisi wanawake wanawaza kuibiwa mabwana tu na sio kufanya mambo ya kimaendeleo?
 
Mwenye namba ya Waziri Doroth Gwajima pls anisaidie
Yupo live kabisa! Ni wewe tu kuingia akupandishe!
094C0E09-4CD5-4E69-AA85-9938C0D60A78.jpeg
 
Mimi nimeshazika sana. Vijana wa Miaka 18-28 wengi kinachowaua ni ajali. Ila ukisikia mtu nzima wa Miaka 45 na kuendelea kafariki huo ni ukimwi. Na mara nyingi ni wale waliokwenye ndoa. Unakuta anaanza kutangulia mume kufa Kisha mke anafuata. Usione huko makanisani watu wanashuka kwenye magari Yao wakiwa na furaha. Wengi wao ni waathirika

Ukitaka takwimu halisi za walioathirika wewe nenda makanisani tu huko wamejaa kama njugu.
Kama wapo 45+ na walizaa watoto kwenye their 20s hao watoto si ndiyo hawa hapa wanaojitapa kuja kubeba mabwana za watu?

Huwa nafanya mazoezi usiku hii Morogoro rd ukifika usawa wa Mbezi kuanzia stand nakutana na watoto au sijui niite wavulana na wasichana wanabadilishana mate kama hawana akili nzuri so ni dhahiri huwa wanachomekana kama kuna mwenye moto ni hatari kubwa.
 
Hivi we unaweza kushiriki katika kukomboa kizazi kweli? Au kwasababu dada yako hayupo kwenye hizo video unahisi wanawake wanawaza kuibiwa mabwana tu na sio kufanya mambo ya kimaendeleo?
Waanzilishi wa hayo mambo ni wakina nani? Hivi mnadhani nyie wakina dada mnge kua mmenyooka hawa wange pinda, hawa wanajifunza kwenu, anzeni nyyie kua mfano Bora kwanza, kipindi mnajirekodi TikTok mkijisifu kula nauli na kuwachuna wanaume hamkujua mnaharibi wadogo zenu, sikilizia maneno wanayo sema ni Yale mnayo sema nyie TikTok tukipiga kelele mnatuita wanaume masikini, what goes around comes around, tusha Chelewa, badilikeni nyie kwanza hawa watabadilika ila nisikufiche hawa watoto kusema ficheni bwana zenu Ina maana wao wana akili kutuzidi washa soma mchezo kuwa watoto wa 2000 wako foam wanItumia hiyo nafasi sababu hata wanaume wenyewe ni walafi hawariziki Binti akikuheshimu hawezi kujipitisha nakuongea ujinga lakini wao washa soma mchezo.
 
Waanzilishi wa hayo mambo ni wakina nani? Hivi mnadhani nyie wakina dada mnge kua mmenyooka hawa wange pinda, hawa wanajifunza kwenu, anzeni nyyie kua mfano Bora kwanza, kipindi mnajirekodi TikTok mkijisifu kula nauli na kuwachuna wanaume hamkujua mnaharibi wadogo zenu, sikilizia maneno wanayo sema ni Yale mnayo sema nyie TikTok tukipiga kelele mnatuita wanaume masikini, what goes around comes around, tusha Chelewa,
Ni kukosa akili tu kwani siye katika ukuwaji wetu nani katufunza kutotetereshwa na mitandao? Tabia ya mtu ni kama ngozi, ukizingua umezingua, sisi hatukuwa na watu wa kublame hata kitokee nini, nyie madogo mmekuja tofauti uzungu mwingi na kujifanya mnasababishiwa matatizo! Wewe umeona mwenzio kajipost shoga nawe utaenda kuwa shoga kisa post za tiktok? Tumia akili achana na defence mechanism eti nyie ndio mnawaharibu! Wewe unampa simu mwanao ya nini? Fatilia mtoto wako na sites anazozjiunga, madogo kibao wanajiunga kwenye groups za shoga kuna kampeni mmewafanyia na kuwapa links?
badilikeni nyie kwanza hawa watabadilika ila nisikufiche hawa watoto kusema ficheni bwana zenu Ina maana wao wana akili kutuzidi washa soma mchezo kuwa watoto wa 2000 wako foam wanItumia hiyo nafasi sababu hata wanaume wenyewe ni walafi hawariziki Binti akikuheshimu hawezi kujipitisha nakuongea ujinga lakini wao washa soma mchezo.
Too late! Na kama hao madogo wanaishi kwa kuangalia wengine wanafanya nini, mzazi hakuwajibika vzr kwa malezi! Again stop blaming people on social media! Mbona we hutembei na wanaume wenzio au huigizi porn unataka kuniambia hujawahi kukutana na hivyo vitu?

Unaongea ujinga pro!🚮
 
Back
Top Bottom