Na,madaftari ya watoto wetu yana rangi moja yenye picha ya kasuku.Hawana chupa za maji ya kunywa.Wao hujitega bombani kunywa maji kama rain gutters!Wazazi wa mabasi ya njano utawajua TU,kwetu sisi wanalinda ufagio na kidumu cha maji kuliko hivyo
Mtoto anaenda shule kama anaenda vitani Kandahar 🤣Wazazi wa mabasi ya njano utawajua TU,kwetu sisi wanalinda ufagio na kidumu cha maji kuliko hivyo