Kama unaendana na hizi sifa wahi hii nafasi kabla wenzako hawajaichukua

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,517
Reaction score
3,316
Mimi ni sijui kijana au mzee nina umri wa miaka 29. Natafuta mwanamke ambaye atakuwa rafiki yangu na kama nitamwona ana vigezo basi awe mke wangu.

Awe mzuri sana,awe na shape, awe na uelewa mkubwa wa mambo na elimu pia. Mimi nipo vizuri na sifa zangu hizi hapa.

1. Dereva boda boda mashughuri hasa nina wateja wengi.

2. Hesabu napeleka kwa shemeji yeye amejipata amenunua boda mbili moja kaniajiri mimi so si hapa kipato ninacho.

3. Kwa hizi stress nilizo nazo na kazi nguvu za kiume ni za kawaida sana za kuforce hasa. So sitaki mwanamke ambaye atakuwa anaza tu ngono kila wakati.

4. Nina kibamia sina mashine kubwa ni 2.8 cm

5. Nimepanga room moja Tandale kwa tumbo. So nipo karibu na mjini.

6. Ni black mamba sina rangi ya mtume. Sisi wanaume weusi nasikia tunapendwa hasa tukiwa warefu.

7. Mademu nawapata kwa shida sana maana sina pesa za kuhonga so mke wantu ata enjoi sana

8. Elimu yangu nliishia kidato cha nne hata form four sikufika. Ni kidato cha nne nikapata Formula zote. Fs.

9. Navuta sigra kiasi. si sana. Nakunywa na alc hall kidogo

10. Ukinizingua nakuzingua. So nataka mtu wa kuheshimiana naye sana
 
Screenshot_20261001-234515~2.jpg
 
Mimi ni sijui kijana au mzee nina umri wa miaka 29. Natafuta mwanamke ambaye atakuwa rafiki yangu na kama nitamwona ana vigezo basi awe mke wangu. Awe mzuri sana,awe na shape, awe na uelewa mkubwa wa mambo na elimu pia. Mimi nipo vizuri na sifa zangu hizi hapa.

1. Dereva boda boda mashughuri hasa nina wateja wengi.

2. Hesabu napeleka kwa shemeji yeye amejipata amenunua boda mbili moja kaniajiri mimi so si hapa kipato ninacho.

3. Kwa hizi stress nilizo nazo na kazi nguvu za kiume ni za kawaida sana za kuforce hasa. So sitaki mwanamke ambaye atakuwa anaza tu ngono kila wakati.

4. Nina kibamia sina mashine kubwa ni 2.8 cm

5. Nimepanga room moja Tandale kwa tumbo. So nipo karibu na mjini.

6. Ni black mamba sina rangi ya mtume. Sisi wanaume weusi nasikia tunapendwa hasa tukiwa warefu.

7. Mademu nawapata kwa shida sana maana sina pesa za kuhonga so mke wantu ata enjoi sana

8. Elimu yangu nliishia kidato cha nne hata form four sikufika. Ni kidato cha nne nikapata Formula zote. Fs.

9. Navuta sigra kiasi. si sana. Nakunywa na alc hall kidogo

10. Ukinizingua nakuzingua. So nataka mtu wa kuheshimiana naye sana
Uliishia kidato cha nne hata for form four hukufika
Form ni hizo shule zenu za st marys sisi wa serikali ni kidato si hizo forms zenu.
We matako wewe Ndio umeandika hivyo sasa hizo F Ulipataje kama hukufika kidato cha nne na mtihani ulifanyaje?
 
Back
Top Bottom