Alitekwa mzazi wako yupiHiki ni kikosi maalumu cha watekaji
Yu wapi Humphrey Polepole?Alitekwa mzazi wako yupi
Polisi umekuja km kawaida yako.Alitekwa mzazi wako yupi
Yuko sehemu salama, kwasababu maalumuYu wapi Humphrey Polepole?
Yu wapi Ally Kibao?Yuko sehemu salama, kwasababu maalumu
Mimi siyo Polisi na sijawahi ila lazima tuzuie upotoshajiPolisi umekuja km kawaida yako.
😂😂😂
Hujui alipo unaniuliza Mimi,muache apumzikeYu wapi Ally Kibao?
Kazi yao ni ipi hasa? Mbona watu wanatekwa hawaendi kuwaokoa?Yes FFU kuna kitengo(unit) kinaitwa crt(CRISIS RESPONSE TEAM) basi hao ni balaa, huwa ni mafunzo yanayokaribia na kikomando kabisa, kazi yao ni kupambana na matukio makubwa haswa ya kigaidi, kuokoa waliotekwa nk ila si unajua kibongo bongo imegeuzwa imekua unit ya FISIEMU
Yes FFU kuna kitengo(unit) kinaitwa crt(CRISIS RESPONSE TEAM) basi hao ni balaa, huwa ni mafunzo yanayokaribia na kikomando kabisa, kazi yao ni kupambana na matukio makubwa haswa ya kigaidi, kuokoa waliotekwa nk ila si unajua kibongo bongo imegeuzwa imekua unit ya FISIEMU
Familia yangu yote ina akili timamu mno.Wewe jifanye huna akili punguani wewe ngoja siku apigwe risasi mumu wako ndio utapata akili
Muache atiririke tuziscreenshot kwanzaModerator huyu mwehu anatukana viongozi wa juu wa kitaifa na mpo humu mnaona tu sheria zetu za jamiiforums zipoje au mnatumika
USSR
Unaheshimu mamlaka inayovunja katiba? Huo ni zaidi ya upunguani. Ni utumwa huo.Familia yangu yote ina akili timamu mno.
Ukiheshimu na kutii mamlaka ya viongozi kwanini upate madhara.
Kwa mfano ukaambiwa hakuna maandamano, hakuna kutoka nje, hakuna kukaa vikundi halafu wewe ukabisha huoni kama wewe ndiyo mwenye matatizo
Huyu jamaa ni poti kila mada ya polisi wenzie lazima atoe pua lake!Polisi umekuja km kawaida yako.
Nipe ushahidi ni vipengele vipi vimevunjwa kwenye katibaUnaheshimu mamlaka inayovunja katiba? Huo ni zaidi ya upunguani. Ni utumwa huo.
Uongooo!!Mimi siyo Polisi na sijawahi ila lazima tuzuie upotoshaji
Ukweli ni upi au kosa kuwa patriotism?Uongooo!!