Hivi siku hizi kuna polisi ambao ni makomando?

Familia yangu yote ina akili timamu mno.
Ukiheshimu na kutii mamlaka ya viongozi kwanini upate madhara.

Kwa mfano ukaambiwa hakuna maandamano, hakuna kutoka nje, hakuna kukaa vikundi halafu wewe ukabisha huoni kama wewe ndiyo mwenye matatizo
Mimi nakubaliana na wewe mkuu.

Lakini wakati wa mauaji ya 29 October wapo watu wengi waliuawa na hawakuwa kwenye maandamano.
Hilo unalionaje
 
Uwe ni pot ama la, kabla hujang'ata shuka utafikiwa tu. Na hapo ndiyo utajua kama wewe ni patriot au familia yako yote ina akili timamu.
 
Mimi nakubaliana na wewe mkuu.

Lakini wakati wa mauaji ya 29 October wapo watu wengi waliuawa na hawakuwa kwenye maandamano.
Hilo unalionaje
Ni sahihi wengi walionewa ndiyo maana hata wengine waliwekwa mahabusu Mh Rais akasema wasamehewe
 
Zamsni nilijua ni JWTZ ndio kuna kozi za makomando

Kumbe mpaka polisi wapo. Hii ni baada ya kuona hii picha, FFU ana bawa kifuani kama ya makomando wa JWView attachment 3698952
Mkuu hadi Leo hujajua tu kuwa unaweza kuwa ni kutoka JWTZ ila ukawa both ama seconded au penetrated Jeshi la Polisi? Hawa huwa ni Wajeda na wakiwa Mafunzoni Morogoro, Mapinga Bagamoyo, Zanzibar na hata Abroad au Overseas kwa Mafunzo ya Ukomandoo wakimaliza huwa deployed katika Majeshi Dada. Tena Magereza na Wanyamapori ndiyo wapo wengi tu na utawajua pale ukiingia katika 18 zao.

Vile vile Kiusalama kuna Faida kubwa sana ya Kuwatawanya hawa Makomandoo katika Majeshi Dada kuliko Kuwalundika tu wote katika Vikosi mbalimbali vya JWTZ kwani kwa sasa kama nchi tunao wengi na wengi pia bado wako trained.

Sasa acha Watu wamuone huyu Jamaa kwakuwa ana bawa la Komando ila yuko Jeshi la Polisi wanalolidharau halafu wajipendekeze Kwake kisha Majumbani mwao kuanze Kutundikwa Maturubai ya Msiba huku Nyimbo za Kuomboleza zikiimbwa na Wanakwaya.
 
😂😂😂😂
Genta chukua beer 20 na kitimoto kilo kisha nipe lipa namba.

Waambie waanze kutunga nyimbo mpya za maombolezo nyingine tushazizoea😂😂😂
 
Back
Top Bottom