Nilichojionea kwa nyakati hizi ni kwamba,mtu unampenda mwanamke,unamuomba appointment akija unampa facts zako na lengo lako,asipokuja,hata ule muda wa kumnyenyekea haupo tena na ndiyo imetoka mazima na kama kulikuwa na kanamba unakafuta kabisa na ku block kabisa...
Labda wale wenye rika la...
Zamsni nilijua ni JWTZ ndio kuna kozi za makomando
Kumbe mpaka polisi wapo. Hii ni baada ya kuona hii picha, FFU ana bawa kifuani kama ya makomando wa JW
"Wengi siku hizi wanajipendekeza ili wachaguliwe kuwa wakuu wa wilaya, administrative officers, ama sijui ma... maofisa watawala. Yaani watu akili zao zote kupata uteuzi... nini kujipendekeza. Na wanahabari wamo!"
"Zamani zetu sisi, unaweza ukakaa mwezi mzima hujaona picha ya Mwalimu front...
Miaka ya nyuma ukiwakuta kwenye uniform zao unapata msisimuko sana.
Ila wao wamekuwa na aibu tokea October 29.
Wengine mpaka wamefikia kuto jionesha kazi zao.
Asubuhi hii tu nimeona bodaboda Tano (zimebeba mishikaki) zote zimewaweka wanawake nyuma, yaani ule mfumo wa mwanaume, mwanaume, mwanamke.
Enzi zetu mwanaume lazima akae nyuma ya mwanamke, siku hizi ku nani wakuu?
Monetary doctor.
Habari za muda huu wakuu.
Kuna jambo limekuwa likinitokea hivi karibuni na ningependa kupata maoni yenu.
Nimegundua kuwa kwa sasa sipendi kabisa mtu kuniita jina langu halisi. Nimezoea sana kuitwa kwa majina ya utani (nicknames) kiasi kwamba mtu akiniita jina langu halisi, najikuta nikichukia...
kuna style mpya ya TikTok Live nimekuwa naiangalia nikipita pita kuperuzi baada ya kuchoka meta lakini mpaka sasa siijajua lengo lake ni nini hasa.
Unakuta mtu mzima kabisa amekaa kwenye live, anapiga kelele kama kondakta wa daladala au yule muuza mitumba Karume.
kamatana! shika box la...
Alpoua watu wetu wasio na hatia alijifanya hakuna kilichotokea. Kwangu, kilichomtokea naona ni kidogo. Heri angeanza yeye au ikiwezekana Mungu afanye haraka tena ajiunge na mwenda zake mwenza wake. RIP mpendwa na mheshimiwa wetu.
Huyu kaka amezungumza ukweli mtupu, tunajiachia sana siku hizi na hapo ndio tunaboronga tunakua manungaiyembe.
Tujitunze kuzuia kunenepeana japo maisha yamebadilika teknolojia imerahisisha maisha lakini tujitafakari.
https://vt.tiktok.com/ZSq2ay9yC/
Mtawala asipokupenda tu kichwa kinawekwa juu ya mkuki iwe fundisho kwa wengine 😂😂🙌
Waliowahi kuiona watanielewa😂
Ni mwendo wa kuwindana na kukaa kimachale machale sana.
Kuna ngoma ya Mulla Obo – Box One, kuna line anasema:
“Mguu wa kutoka haufananishwi na wa kubaki ndani.”
Kwa mazingira ya zamani, hii line ilikuwa na maana kubwa sana. Dunia ilikuwa bado haijawa interconnected kama ilivyo leo. Karibu kila kitu kilihitaji uwe physically present. Kama unataka...
Nini tofauti kati ya AI na nafasi ya Roho Mtakatifu?:
1. Asili ya Kiungu dhidi ya Mashine
Roho Mtakatifu: Ni Mungu hai, mwenye hisia, mapenzi, na uwepo wa milele. Yeye ni Nafsi ya Tatu ya Utatu Mtakatifu.
AI: Ni programu ya kompyuta iliyotengenezwa na binadamu. Haina uhai, haina roho, na haina...
Natumaini japo hatuna machifu rasmi, bado tuna ulewa espesheli vile kuna makabila bado yana heshima ama muendelezo kwa machifu wa zamani na warithi wao.
Binafsi, naona karibu vitu vyote vya kigeni tulivoiga, aidha tumeboronga ama havijafanya kazi ndani ya jamii zetu. Mambo ya siasa, maraisi na...
G.S lilikuwa somo la ajabu sana kwenye ufaulu unaweza kupiga points 3 ila G.S ukawa na S ila madogo wa siku hizi wanapiga mpaka B G.S nimeshangaa sana.
Madogo mliopiga paper mwaka huu la G.S lilikuwa uji sana nini ?
Guyz, nimegundua kuna trend mpya mjini, wanawake wengi hawa wenye manyonyo makubwa a.k.a mtindi na wale wenye manyonyo ya kati a.k.a mabolibo hawavai kabisa bra, yaani mwanamke kavaa dera lake ndani hana chupi wala bra au wengine huvaa tishet oversize ukiangalia kifua mtindi unaning'inia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.