Ni kweli CO wengi siku hizi ni watupu na uwezo chalii?

Ni kweli CO wengi siku hizi ni watupu na uwezo chalii?

Top Gun

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2024
Posts
257
Reaction score
860
Screenshot_20260723_073804_Instagram.jpg
 
Udaktari ni kama wine 🍷 jinsi inavyokaa sana ndivyo inavyoiva na kuwa nzuri sana .

Usishangae hata Ward Attendant wenye uzoefu wa muda anaweza kukupa ushauri wa kitabibu mzuri zaidi kuliko daktari.
Uko sahihi mkuu. Tupo na mzee mmoja anakaribia kustaafu miaka miwili ijayo,yeye ni Assistant Medical Officer..ni very competent na ametufundisha kazi.

Anaheshimika sana kwa ufanisi wake wa kazi.unaweza kudhani ni specialist ...wateja wengi wakija humuulizia yeye.
 
Udaktari ni kama wine 🍷 jinsi inavyokaa sana ndivyo inavyoiva na kuwa nzuri sana .

Usishangae hata Ward Attendant wenye uzoefu wa muda anaweza kukupa ushauri wa kitabibu mzuri zaidi kuliko daktari.
Yeah.

In Medical Field experience matters.

With time,nurses,Clinical officers and doctors ndio wanazidi kuwa vizuri kwani wanakutana na cases nyingi tofautitofauti.

Sema madogo wa siku hizi chenga sana.
 
true kuna MD kibao wanazidiwa na CO....Utabibu sio kukariri mavitabu pale MUHAS ,KCMC au Bugando...ila ni experience unayoipata kutokana na kukutana na cases mara kwa mara..!! Kuna "MDs" hata fracture ya kawaida tu hawezi kui-manage.
Udaktari ni kama wine 🍷 jinsi inavyokaa sana ndivyo inavyoiva na kuwa nzuri sana .

Usishangae hata Ward Attendant wenye uzoefu wa muda anaweza kukupa ushauri wa kitabibu mzuri zaidi kuliko daktari.
 
Udaktari ni kama wine 🍷 jinsi inavyokaa sana ndivyo inavyoiva na kuwa nzuri sana .

Usishangae hata Ward Attendant wenye uzoefu wa muda anaweza kukupa ushauri wa kitabibu mzuri zaidi kuliko daktari.
Ni sahihi Udaktari siyo kisomo bali uzoefu. Ndiyo maana ya CBET. Daktari mbobezi siyo kuwa na PhD bali kuwa na uzoefu wa cases nyingi. India wametuzidi katika hilo. Huwezi kukuta Super specialist ni kijana wa miaka 40. Utamkuta anataja kuwa nina uzoefu wa miaka 40 kama Urologist au Cardiologist. Hapa ulimbukeni unatuua.
 
Kwani ni kazi gani inatoa wataalam wenye weledi kwa sasa kibongobongo? Tumedilute elimu kila Kona na tunategemea matokeo tofauti?

Hii ni reflection ya jamii ya sasa kaka Kama unaona CO weupe hebu jaribu MD, engineers, wahasibu, majaji, mahakimu, wanasheria, maafisa wa polisi, magereza kama yule bwana jela, wanajeshi na wengine wote! Huwa najiuliza hizi div 1 kali baada ya chuo huwa wanatumika wapi tusiwaone? Mbona tumeoza kila mahali?
 
Sio hao clinical Officers tu hata hao MD wenyewe sasahivi wengi wao chenga Kabisa haiwezekani mtaalam bingwa kabisa analipwa milioni mbili na nusu wakati huko kwenye mamlaka za serikali hiyohiyo hela yiyo wanalipa madereva na wahudumu. Na lingine wengi walijua huko kuna fursa wakifika huko wanakuja jau, huko bongo daktari anayejiita daktari hana weledi wowote kachanganyikiwa ukifika ukimwelezea masaibu yako yeye anaingia google mchezo umeisha utaskia nenda mabara ama anakuandikia dawa kama AI ilivyomuelekeza .
 
Utabibu na urubani ni fani zinazofanana kidogo kwamba rubani mzoefu ni yule aliyetimiza masaa mengi angani; tabibu mzoefu ni yule aliyekutana na case nyingi za wagonjwa na kuzitatua kwa usahihi wake na mgonjwa kupona.
 
Back
Top Bottom