Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara changa zaidi duniani; hata hivyo, kila mwaka, mamilioni ya vijana wa kike na wa kiume huingia kwenye soko la ajira kutafuta fursa ambazo hazipo, - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
afrika
bara
kutokana
mkubwa
mkuu
muhimu
mustakabali
mwigulu
mwigulu nchemba
pamoja
uwezo
vijana
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu mwigulu
waziri mkuu mwigulu nchemba
Ondoa vitu vitatu kuifanya Tanzania kuwa bora
1. CCM
2. Dini
3. Machawa
4.Ushoga
5. Rushwa
6. Muungano
7. Ukosefu wa ajira
8. Gharama kubwa za maisha
9. Uoga
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu inaendelea kuimarisha uwezo wa nchi katika kujiandaa na kukabiliana na maafa kwa kutoa mafunzo kwa Timu ya Taifa ya Kukabiliana na Dharura, inayolenga kuongeza ufanisi wa uratibu na utekelezaji wa hatua za kukabiliana na matukio ya dharura.
Hayo yameelezwa...
Lema uwezo wake ni mdogo kwenye mambo mengi sana ila leo ntaongelea chapisho lake linalohusu katiba mpya
👇👇👇👇
Kuna chapisho lema amesema katiba mpya haina umuhimu ila fikra moja ya point ya hovyo ni hii piga picha watu kama wakina lema ndo wanapewa nchi mambo siyatakuwa yaleyale
Fikra zetu zipo...
Dalili nyingine ya Upungufu wa nguvu za kiume ni mke wako kurudi ONLINE Baada ya tendo au kuwa na uwezo wa kunyanyuka kitandani yeye mwebila kusaidiwa.
Moods futen na hii mana Ile ya kuwasha feni wakat wa kuchota maji Kwenye kisima mmefuta lalek
Baada ya kusubiri sana, zaidi ya miaka Tisa, hatimaye Tesla wametuletea Roadster 2, ambayo mbali na sifa kibao, Ina uwezo wa Kupaa.
Kwa kutumia compressed air thrusters, kutoka SpaceX technology, gari Ina paa kwenye matuta and inaweza kuperform baadhi ya stunts ikiwa hewani.
Kwenye X...
Niende katika hoja Moja Kwa Moja
Kwa Sasa ukitaka kuomba leseni Kwa baadhi ya biashara unatakiwa kwanza kuomba kibali Basata
Yani ukiingia tu katika mfumo wa kuomba leseni unatakiwa kwanza uingize code ulizopewa basata ndio uweze kuendelea
Sasa Cha kushangaza unaingia katika mfumo wa Basata...
Hapo VIP!
Kitendo cha TFF kuwakataa marefaa kutoka nje kuchezesha Darby,na kulazimisha Arajiga achezeshe Darby,ni kitendo cha kuthibitisha yakwamba mwenye uwezo wa kuifunga Simba ni Arajiga Na sio yanga kama yanga.
SERIKALI; MZAZI ANAYETAKA
NA KUDAI MATUNZO YA MTOTO ASIKAE NA MTOTO. FULL STOP!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Hii iwe kwa Mzazi wa kike au wakiume. Yaani Baba au Mama.
Huruma sio malezi.
Mmeamua kuachana msisumbue watu hapa.
Mmeamua kuzalishana huko msisumbue watu. Watoto ni wenu...
Jiko: VENUS
Uwezo: lina Plate Sita
⏭️2-Umeme
⏭️4 Gas burners
Lina oka mikate
Status: Used like New
Price: 750,000/=
Location:DSM Chanika
Phone: 0716161683
Jiko: PLATE 3 ZA GESI
Uwezo: Linapika chips yai 3 kwa pamoja au sufuria tatu kwa pamoja.
Linakupa urahisi wa kuhudumia wateja wa tatu kwa Pamoja.
⏭️3 Gas burners
Status: Used like New
Bei: 300,000/=
Mob: 0716 161 683/WhatsApp
Hatimaye, dunia inashuhudia mwisho wa enzi kule Amerika Kusini. Lionel Messi ameamua kutundika daruga zake rasmi kwenye ngazi ya timu ya taifa ya Argentina.
Kama wapenzi wa soka wa kweli na wale ambao tunajua vizuri maana ya misuli, mazoezi magumu, na kufanya kazi kiume hatuna budi kusimama na...
Hamjambo!
Leo nimeanza kufanya mazoezi ya kukimbia kama sehemu ya kujitafakari kwa kile kilichonitokea MO29.
Mimi ni moja ya watu nilioamini ninajua kukimbia haswa. Mwili na umbo langu linanisapoti kufanya mijongeo freestyle, na moves za kasi kuliko kawaida.
Shuleni kwetu nilikuwa moja ya...
Habari zenu wakuu.
Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni mgonjwa au ana changamoto yoyote.
Kwa mujibu wa The Road Traffic (Drivers Licence Point System) Regulations, 2014, G.N. No. 109 of 2014, as amended by G.N. No. 420 of 2025, kosa la barabarani linaweza kukupunguzia pointi 1 au 3, kulingana na aina ya kosa.
Yafuatayo ni makosa yanayoweza kukupunguzia points za leseni yako...
Katika jamii ya kabila la Banyankole nchini Uganda, zipo mila na desturi za kipekee zinazohusu maandalizi ya harusi na ndoa. Miongoni mwa mila zinazovutia na kuzua mjadala ni jukumu la shangazi wa bibi harusi katika kuhakikisha uimara na uwezo wa mwanamume anayetaka kumwoa binti yao.
Kwa...
Katika kile kinacho onekana na kinaendelea kuonekana dhahiri kua Majeshi yote ni Mali ya CCM na ndio yaliua watu siku ya maandamano ya October, CCM imesema kua Majeshi hayo ni Mali yao kwa kauli hii HAKUNA jeshi lenye NGUVU ya KUKANUSHA HILI
Habari watu wa humu,
Hebu nipe pendekezo la AI bora kabisa yenye uwezo wa kubadilisha maandishi (text) ya Kiswahili kuwa audio, yenye lafudhi ya kiswahili fasaha na cha Kitanzania.
tf.
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini kwa tiketi ya chama Cha Mapinduzi (CCM),Ibrahim Mohamed Shayo amemuomba Naibu Katibu mkuu ccm Taifa Agrrey Mwanri kuingilia kati ujenzi wa mradi mkubwa wa uboreshaji wa miundpmbinu ya Barbara na miferji ya maji ya mvua kwenye kata nane kati ya 21 za Manispaa ya...
Mtangazaji: ukisikia elimu Bure wew unaelewa nini?
Mtanzania genius: naelewa ni kitanda ambacho wamenitandikia na kukaa na kuongea ongea kikawaida
Lissu kazi anayo , kutukomboa sisi nyumbu yataka moyo wa imani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.