Naona vichwani tunawaza mifugo tu😁Mnunulie kuku wa kienyeji kwa ajili ya supu
Yeah zawadi ya mifugo naona ipo bomba😅Naona vichwani tunawaza mifugo tu😁
Sana mkuu.Yeah zawadi ya mifugo naona ipo bomba😅
Wapo mkuu, mjini hapawezi kosa, toka downtown , uende uswazi unawapata kibaoWazo zuri ila kuku wa kienyeji katikati ya jiji unampataje?
Imekaa vyema sana hii bwasheeMnunulie kuku wa kienyeji kwa ajili ya supu
YeahImekaa vyema sana hii bwashee
Kama mfuko uko vizuri unanunua.Kamfugo nakatoa wapi ndugu yangu
Angalia chakula ambacho siyo common sana kwao, ndio ubebe.Sijalima, na mahindi pale ndio kwao
Haina shida zawadi huwa inaacha kumbukumbu nzuri , hata kama anafuga kuna ka namna itamshika , pia unaweza mnunulia set ya vikombe au sahani na vijiko vyake kama zawadi tuHalafu hata yeye anafuga