Shikamooni,habarini..Mch Mbarikiwa Mwakipesile ni miongoni mwa watu wachache wanaojipambanua kuihubiri INJILI ya kweli (INJILI kwa vitendo) duniani kote na pengine ni mhubiri pekee anayehubiri INJILI ya kweli pekee kwa Tanzania.
Naandika kuwa atakuja kupata zawadi ya Nobel ya amani ambayo...
Shikamooni,habarini..Mch Mbarikiwa Mwakipesile ni miongoni mwa watu wachache wanaojipambanua kuihubiri INJILI ya kweli (INJILI kwa vitendo) duniani kote na pengine ni mhubiri pekee anayehubiri INJILI ya kweli pekee kwa Tanzania.
Naandika kuwa atakuja kupata zawadi ya Nobel ya amani ambayo...
1. Uhuru Kamili wa Maamuzi (Autonomy)
Hakuna masharti: Pesa ya msaada, zawadi, au mkopo mara nyingi huja na "macho ya mtu mwingine." Pesa yako inakupa haki ya kuamua nini cha kufanya bila kuomba ruhusa au kujieleza kwa mtu yeyote au kuhofia watakuonaje.
Hakuna madeni ya fadhila: Unapoishi kwa...
Idara ya Mambo ya Nje ya Marekani (U.S. Department of State) kupitia mpango wa Rewards for Justice imetangaza zawadi ya hadi dola milioni 10 za Marekani kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kumpata Zhang Yu.
Zhang Yu anatuhumiwa kufanya kazi kwa niaba ya Wizara ya Usalama wa Taifa ya...
Habari zenu wakuu.
Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni mgonjwa au ana changamoto yoyote.
Wateja wa Airtel Tanzania wanaendelea kupata fursa za kushinda zawadi mbalimbali kupitia miamala yao ya kawaida ya Airtel Money, chini ya kampeni ya Minyoosho Inaendelea ambayo inawahamasisha wateja kutumia Airtel Money katika shughuli zao za kila siku, huku miamala inayokidhi vigezo ikiwapa...
Watoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote.
Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke mgumba wa mchungaji anatafuta mtoto kwa muda mrefu. Na mimba haishiki.
I'm out.
Mabinti au maswahaba safi waliolindwa ndani ya mahema au mboga wenye umri sawa na walioumbwa upya na bikra zao. Patamu hapo kila shahidi atajinyakulia mabinti vigori bila kujali idadi
Vinywaji vya peponi mvinyo isiyolewesha na kukufanya upoteze fahamu.
Hakika waisalamu mtainjoi sana huko akhera😁
Tungekuwa na Taasisi imara za kupambana na Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha, basi Diamond na Mke wake wangekuwa washahojiwa. Japo waelezee waloleta hela wana uhusiano gani.
Wasanii wa bongo wanashiriki kutakatisha fedha.. Kwenye Kitchen party, Harusi(zinazovunjika baada miezi kadhaa)...
Ndugu zangu Watanzania,
Dunia Ina vituko kwelikweli, watu wakikuchoka wanakuchoka kwelikweli. Watu wakikukataa wanakukataa kwelikweli.
CHADEMA Imechokwaa ni haija pata kutokea kwa chama cha siasa kuchokwa namna hiyo. Yaani Ni aibu aibu aibu na Fedheha kubwa sana . CHADEMA Wameomba Michango na...
Wasukuma tunasema;
MWAMPA(mwamba) huyu hapa.!!!
Maashiiine!!!😅
Kwa vile mwanangu anarusha sana mateke leo huko tumboni hence moyo kunienda mbio nitaandika kwa kifupi sana ujumbe huu ambao roho wa bwana AMENIHUIA kuufikisha kwenu wanawake wenzangu wa jamii forums.
Ladies and gentlewomen,
I...
Heshima ni zawadi kubwa kuliko vitu vyote vya thamani. Mtu anaweza kukununulia kila unachotamani, lakini akakudhalilisha mbele za watu, amepunguza thamani ya zawadi zake. Zawadi huisha, lakini heshima ndiyo msingi wa upendo wa kweli.
Ndo nimetoka kumtuma boda ampelekee shangazi yenu vizawadi vidogo muda huu kuadhimisha siku hii
Wadada wa humu mshapokea zawadi? 👀
Au ndo kila kitu kheri? Natamani nione mchango wa Binti wa zamani hapa 😁
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Hakika CHADEMA Imechokwa na watanzania,Imekatalika kwa watu,Imepuuzwa na wananchi ,Imesuswa na wote wenye akili Timamu na wenye kujitambua . CHADEMA Imepoteza Ushawishi kwa Makundi yote .
Hakuna kundi wala rika wala Eneo utasema ndiko CHADEMA inakubalika ama ngome...
Tulieni watu watu wana pesa acheni na wapo maporini uko wametulia Tanzania ya leo siyo ile ya kuamini wenye nacho wapo mjini tu vijana kaeni mashambani kwenu uko mtengeneze pesa si kukimbilia mjini kuzunguka na reso na visu ukiamini utatoboa
Ndugu zangu wa jamiiforum nimeona nisiwaache bila kuwapatia zawadi nzuri member wa jamiiforum na Leo nahitaji mwenye wazo zuri la biashara atoe hapa jukwaani atumbie nikimpa milioni 500 atafanya uwekezaji gani na kwa muda gani ataweza ku double mtaji.
Mshindi atakayekuja na wazo zuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.