NATAFUTA AJIRA; zawadi na baraka imng'arishayo mwanamke

prida

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2026
Posts
1,297
Reaction score
2,596
Screenshot_20260806_171636_Chrome.jpg

Wasukuma tunasema;

MWAMPA(mwamba) huyu hapa.!!!
Maashiiine!!!😅

Kwa vile mwanangu anarusha sana mateke leo huko tumboni hence moyo kunienda mbio nitaandika kwa kifupi sana ujumbe huu ambao roho wa bwana AMENIHUIA kuufikisha kwenu wanawake wenzangu wa jamii forums.

Ladies and gentlewomen,
I know,in the ladiesland NATAFUTA AJIRA is a Villain kwa sababu tunaamini anatuchukia hivyo na wengi wetu humu tunamchukia.

Binafsi nilikua namchukia sana huyu memba na kuna siku nilimzingua.Niliku namuona ni pyscho ila baada ya kumuelewa kwa sasa huyu ni moja ya members ninaowaheshinu sana kwa sababu mabandiko yake machungu na yanayoumiza sometimes, yameongeza thamani ktk uanamke wangu.

Beautiful ladies,amiini kwamba wanaume wanaompinga Natafuta Ajira wanafanya hivyo kujipendekeza tu kwa wanawake kwa matumaini ya kutupata kirahisi ila wote wanakubaliana nae sababu nimegundua kuwa mitazamo ya natafuta ajira ndio mitazamo ya asilimia kubwa au mia ya wanaume.

Tofauti ni kwamba Natafuta ajira anawaza kwa sauti/text na wengine wanawaza silently vichwani mwao.Naamini kabisa wanafurahia sana hizi nyundo za pua anazotupiga nazo kwa niaba yao.

Kwa hiyo ladies ukitaka kuwa yule mwanamke wa MITHALI 31,yaani
1)Mwanamke tajiri
2)Mwanamke bora katika fani/hustle zako.
3)Mwanamke bora na mwenye faida kwa jamii yake.
4)Mama bora kwa nyumba yake.
5)Mke mwema na bora kwa mumewe.

Soma mabandiko ya Natafuta ajira ila chuki yako dhidi yake ipe likizo kwanza ndo utamuelewa.

Ladies and gentlewomen ,naomba nimalizie kwa kusema kwamba,iwapo wanawake tutakua hata nusu ya vile Natafuta ajira anatamani tuwe amini nawaambia tutawaepusha wanaume zetu na vifo vya mapema.Huyu sio adui yetu,ni mwalimu wetu mzuri sana.

Pia kabla sijaweka simu chini ili nitumie mikono kumasaji kitoto changu huku tumboni ,niwaombe mnapopitia mabandiko ya huyu bwana msiruke lile bandiko lake la ghostphase.Nililielewa sana coz nilishaishi hiyo phase.Kuna kitu mtaokota mule.
✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
 
View attachment 3644454

Wasukuma tunasema;

MWAMPA(mwamba) huyu hapa.!!!
Maashiiine!!!😅

Kwa vile mwanangu anarusha sana mateke leo huko tumboni hence moyo kunienda mbio nitaandika kwa kifupi sana ujumbe huu ambao roho wa bwana AMENIHUIA kuufikisha kwenu wanawake wenzangu wa jamii forums.

Ladies and gentlewomen,
I know,in the ladiesland NATAFUTA AJIRA is a Villain kwa sababu tunaamini anatuchukia hivyo na wengi wetu humu tunamchukia.

Binafsi nilikua namchukia sana huyu memba na kuna siku nilimzingua.Niliku namuona ni pyscho ila baada ya kumuelewa kwa sasa huyu ni moja ya members ninaowaheshinu sana kwa sababu mabandiko yake machungu na yanayoumiza sometimes, yameongeza thamani ktk uanamke wangu.

Beautiful ladies,amiini kwamba wanaume wanaompinga Natafuta Ajira wanafanya hivyo kujipendekeza tu kwa wanawake kwa matumaini ya kutupata kirahisi ila wote wanakubaliana nae sababu nimegundua kuwa mitazamo ya natafuta ajira ndio mitazamo ya asilimia kubwa au mia ya wanaume.

Tofauti ni kwamba Natafuta ajira anawaza kwa sauti/text na wengine wanawaza silently vichwani mwao.

Kwa hiyo ladies ukitaka kuwa yule mwanamke wa MITHALI 31,yaani
1)Mwanamke tajiri
2)Mwanamke bora katika fani/hustle zako.
3)Mwanamke bora na mwenye faida kwa jamii yake.
4)Mama bora kwa nyumba yake.
5)Mke mwema na bora kwa mumewe.

Soma mabandiko ya Natafuta ajira ila chuki yako dhidi yake ipe likizo kwanza ndo utamuelewa.

Ladies and gentlewomen ,naomba nimalizie kwa kusema kwamba,iwapo wanawake tutakua hata nusu ya vile Natafuta ajira anatamani tuwe amini nawaambia tutawaepusha wanaume zetu na vifo vya mapema.Huyu sio adui yetu,ni mwalimu wetu mzuri sana.

Pia kabla sijaweka simu chini ili nitumie mikono kumasaji kitoto changu huku tumboni ,niwaombe mnapopitia mabandiko ya huyu bwana msiruke lile bandiko lake la ghostphase.Nililielewa sana coz nilishaishi hiyo phase.Kuna kitu mtaokota mule.
✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
nimegundua kuwa mitazamo ya natafuta ajira ndio mitazamo ya asilimia kubwa au mia ya wanaume.
Tofauti ni kwamba Natafuta ajira anawaza kwa sauti/text na wengine wanawaza silently vichwani mwao.
 
Utakuwa unaishi maisha magumu sana kama utakuwa unategemea bandiko la anonymous ili ujue thamani yako .
Yes.
Nimejifunza mengi kupitia JF.
Kuna anonymous mmoja hapa JF anaitwa Malila
alifanya ninunue ardhi somewhere ambayo leo hii naitumia kufanya mishe fulani inayoniingizia tusent tunakonipa jeuri mjini.
 
Back
Top Bottom