Me and me
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 393
- 730
Hapa kuna vitu Mimi navitofautisha Biological laws/phenomena VS Natural laws/principles au terms sahihi zaidi zenye kujalibu kutofautisha hivyo viwili yaani Fikilia kuhusu Suala la Mtu Kupata Uzito kufanya tendo la Ndoa na Mzazi wake hii ni Natural Law linganisha na Suala la Mtu Kupata njaa au kuhisi Sexual desire Hii ni Biological PhenomenonTheoretically speaking nilikuwa najenga hoja ili muone kuwa hoja zenu za vitu mnavyoviita ni asili huwa si vya asili bali huwa ni namna yenu ya kutetea hoja yenu.
Yes vitu vya asili vipo ambavyo havibadiliki: Binadamu ili asavaivu anahitaji maji, oksijeni na chakula sifikirii kuna mbadala,
Uzazi unajitaji mbegu za like na kiume ili atengenezeke mtoto. Hata tech ikiwa integrated bado factor za muhimu zinabaki zilezile.
Uwepo wa “basic” biology drives, njaa, kiu, sex, ku-belong.
Kifo?
Again; nataka ugundue kuwa hii haikuwa hoja ya msingi bali yatokanayo.
Sasa Mimi nakusudia Natural Laws/Rules Nyingi ukiziangalia zinakubali manipulation. Sasa haya mambo ya Patriarchy, Male dominance nk ni mambo yanaangukia Kwenye Natural Laws sio biological Phenomena.
Ni Habari Njema at least you can say good about patriarchy. Coz maandiko yako ya huko nyuma it seemed like kwako patriarchy ni Zaidi ya kitu hatari na kibaya kabisa kuwahi kutokea.Kwasababu somehow nina acknowledge mitazamo baadhi ya patriachy, unlike you people ambao mnaiweka feminism kwenye dustbin moja kwa moja, either sababu hamuielewi au ego zenu haziruhusu challenge na hazitaki kuona kama patriachy ina mapungufu tena makubwa.
Kuhusu Feminism upande wangu,, Feminism ya Phase one na Angalau phase two mwanzoni ilikuwa ina make sense ila baada ya hapo feminism ikachukua sura mpya ya tofauti kabisa (Kuna mwandishi anasema Lau wale waanzilishi wa Harakati za kifemina watajua ni wapi imefika feminism kwa Sasa hata Wao Wenyewe watashangaa!!!)
Dunia Katika hii feminism Haiwezi Kuwa stable socially,, tutaendelea kushuhudia increment ya divorce,,, na vijana kuogopa kuingia Kwenye Ndoa.
Kwa sababu Mwanaume hataacha kuwa na Ego ya kutawala na kutaka Utii,, na huku feminism inampa kichwa Mwanamke kuwa yeye na mwanaume wote wapo sawa hivyo Kutakosekana familia au zitakuwepo familia zinazopumulia mipira,, watoto watakao zaliwa watakosa Malezi ya wazazi wawili tutatengeneza vijana na Mabinti wenye tabia za ajabu ajabu then cycle itaendelea.
Challenge: Nielezee ni kwa namna Gani jamii inaweza ku_achive stability from where we are with a lot of family dilemmas due to ongoing feminism movements Kwenye Upande Wa familia under Feminism.
binti kiziwi wewe ni mjanja mjanja sana,,, umei_dodge hiyo hoja vizuri.Ndio, Shida mnaona feminism inahusu relationship kati ya me na ke tu wakati kuna mambo kibao ndani yake, Why kwasababu sio kila mwanamke katika patriachy alipata hizo favor, kwahiyo ili mfumo uwe accomodative kila kitu kinatakiwa kiwekwe mezani na si kusubiri favor. Jamii ni kitu kikubwa kuna ambao wataambatana na patriarchy men watajitaji hizo favors.
Ila Mimi nakung'ang'ania hapa hapa ,,,kwanini Mwanamke aendelee kupata favor au tuseme privilege under Feminism inayohubili usawa na kuhubiri umadhubuti na uwezo wa Juu wa Mwanamke kiakili hata kimwili.!!!??
Fikilia upyaKama unaniona point yangu sawa, kama hauioni nitajaribu kufikiria upya.
Nature ndio ilisimika. Nature ndio iliamua unconsciously naweza sema.Kuna layer/ hatua kwenye hili. Utawala uliotokana na desire ya mwanaume kutawala (ambayo ni nature hatuilaumu) ikianza ku-dictate social arrangements ndio kasheshe inapoanza.
Labda we unielezee mifumo ya kijamii ilisimikwaje labda mimi napotoka.
Feminism lazima ituambie tutadeal vipi na natural Ego ya mwanaume Kwenye issue ya dominance. Kwa sababu literally Feminism ipo against na hiyo Ego(Mimi hata nimeshangaa vipi wewe umelikubali kirahisi hili)Sidhani kama imejadiliwa.
Patriarchy haikufeli...Baadae, kwasababu haiwezekani mtu aanza kuongoza leo ukahitimisha kuwa ni kiongozi mbaya.
Failures ni kipimo.
Patriarchy ilitoa ruhusa baadhi ya masuala yarekebishwe ndio zikaanza Harakati za feminism taratibu taratibu Hadi hapa tulipofikia ,,,Kwa sababu hakukuwa na Namna yoyote Feminism ingeweza kurise kama wazee wa Patriarchy wasingetoa nafasi...
Binafsi naamini kama wanaume wataamua kuirudisha fully Patriarchy ni suala la siku kadhaa tuu.
Nakubali.