Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Subiri waje kusema prida , Mpaji Mungu na Natafuta Ajira ni mtu mmojaZamani nlikuwa sina time na mada zake lakini baada ya kuja kusoma mojawapo nilikuja kumuelewa jamaa ni akili kubwa.
Subiri waje kusema prida , Mpaji Mungu na Natafuta Ajira ni mtu mmojaZamani nlikuwa sina time na mada zake lakini baada ya kuja kusoma mojawapo nilikuja kumuelewa jamaa ni akili kubwa.
Kwangu siyo tatizo.
Kitu chochote ambacho kinakuwa swiped na human adaptation & maendeleo ya sayansi na technology, lazima tukihoji kama kweli kilikuwa cha asili, unajua kwanini hii argument iko hapa? kwasababu kuna vitu wanaume mkitaka kuvitetea huwa mnasingizia “asili”Ahsante sana. Naona brother Elevenn Kuna hoja ameshazitoa
Na Mimi nakazia tuu Ile argument yake kuhusu vitu vya asili Huwa havitoi mwanya wa mabadiliko au interference hii nadharia Inahitaji kutazamwa vizuri na kwa upande wangu Mimi naona sio sahihi.
Utashi wa mwanadamu umebadilisha na unajaribu kubadilisha vitu vingi ambavyo vinaonekana ni asili na ndio mana Mimi naona ni sahihi zaidi kuwarejea wanyama Kwenye hizi issue za Nature,, kwa sababu wanyama kwa Kukosa Utashi Wao wanaishi purely kwa kufuata natural patterns.
Comment ya kwanza mi nilisema napinga kwa 50% so huu ni uonevu wako 😅Kitu kengine mtu akiwa deep Kwenye feminism hataona Chochote kizuri kuhusu patriarchy,, ijapokuwa vipo vingi,, aisee vingi sana!!!!
Mfumo fulani unapokupa favor, lazima upime cost yake au leverage yake, Ni utapeli kudhani hii sacrifice ilikuwa granted bure bure.Under Patriarchy wanaume walikuwa ni watu waku_Sacrifice mambo mengi kwa Ajiri ya Mwanamke... Jambo ambalo under Feminism hatuoni haja ya Sisi kutoa hizo Sacrifices.
Kwasababu upendeleo wowote tunaweza kuupata bila ukandamizaji, huoni ni jambo la ajabu kumkandamiza mtu halafu ukampa mwanya mdogo wa upendeleo, halafu ukajipiga kifua kuwa umefanya jambo la maana sana….Hadi Leo Akionekana hadharani Mwanaume anampiga Mwanamke, Lazima kutatokea wanaume wenzake watajaribu kumtetea Mwanamke hii ni Athari ya Patriarchy,, Under Patriarchy Mwanamke alichukuliwa kwa Namna ya kuhitaji kushikwa, kusimamiwa, kulindwa, na kusaidiwa huku yeye alitakiwa kulipa hayo kwa kutoa heshima na Utii.
Sote tumekulia under Patriarchy Lakini jamii ilitufundisha nafasii ya Mama Ambayo iliwakilishwa kama ni kubwa kuliko ya Baba... Na Wala hakukuwa na Upinzani kuhusu hili Hadi ikawa Laana ya Mama sio sawa na ya Baba(na kukawepo misemo na nahau zenye kulielezea hili),,
Kwanini hili lilikuwepo kama ni kweli patriarchy ilikuwa haimthamini Mwanamke kabisa????
Feminism Haiwezi kuelezea kwa Nini Mwanamke anatakiwa apewe upendeleo huu Ambao anaupata under Patriarchy.
Paragraph ya mwisho, nakubali bila absolutism . Na hiyo theory inaeleza kwanini mwanaume aliwahi/alitangulia mbele akayatawala mazingira yake hapo kale kwasababu ya desire/ego ya yeye kutaka kutawala na si tu kumtawala mwanamke bali kuitawala jamii, na kufanya expansionism (conquering)Kitu Kengine ni kwamba tunakubali kuwa kulikuwa na mila na Tamaduni Katika baadhi ya Jamii under Patriarchy zilikuwa sio za kiungwana na Zilipaswa kukomeshwa under modern civilization lakini Katika hili lazima tujue kwamba hizo mila hazikuwa Katika Jamii zote na ndio mana under extended patriarchy in Africa Bado kulikuwa na matriarchy societies kadhaa.
Na pia Baadhi ya Tamaduni hizo wazee wetu walizifanya sio kwa Sababu Mwanamke alikuwa ni kiumbe Duni.HAPANA.
Bali kwa maarifa Yao waliona wanamsaidia au wanaisaidia jamii kwa Ujumla...
Mfano suala la Ukeketaji,, ukiuliza hekima Yao utagundua haikuwa kumdhalilisha Mwanamke Kuna jambo Wao waliliona,,
Muhimu Kwenye hili walitakiwa wapewe Elimu Juu ya Madhara yake ili waache...
hata ukiangalia suala la wife inheritance pia hivyo hivyo,, Wazee walikuwa na Hekima Zao,,
Na Mengine mengi ukifatilia wazee walikuwa na nia njema kabisa Japo haikuwa Sawa.
Ndio maana Mimi huwa nasema Feminists walishindwa kutumia Busara kuzisema tamaduni na mila Mbaya wakati wa Patriarchy Wao wakaona suluhisho ni kuuondoa mfumo mzima. Hapa walikosea na Ninyi mnaoendelea kuipiga vita patriarchy mnaendeleza Makosa....
Mwisho natoa Challenge kwako,,, Jee Unaikubali Ego ya Mwanaume ya kutawala kuwa ipo by Nature???(Hapa Kuna kitu Cha kujadili baada ya majibu yako)
Taarifa mbaya ni kuwa kati ya vitu vyote hili specifically sijalikubali hata kwa asilimia tano, limekaa kiunjanja ujanja na utapeli 😂Sema nini umemsanua binti kiziwi and hii line inaukubwa sana endapo atarudia kusoma vizuri maandishi yako na yangu.
Kwanza unanijua huwa sinaga mbili mbili ndo maana umekimbilia kumjibu Me and me kwasababu unajua atakupa room ya kuongea uongo na au torelate. 😂 😂Taarifa mbaya ni kuwa kati ya vitu vyote hili specifically sijalikubali hata kwa asilimia tano, limekaa kiunjanja ujanja na utapeli 😂
Hivi aise mna moyo kweli na dhamira . Unawezaje kumpekuwa mtu kiasi hiki. This is mental issue. The same as ID Moja inaandika thread , Ina log out inafungua nyingine kujisifia ..mwanaume anakua pregnant baada ya muda mfupi...🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮tumsikilize.
hivi The Icebreaker hatuwezi kuhitaji VAR hapa
Aisee 🤣Tuache masingizio ya asili ili tuende sawa, ama tuseme ni vitu gani ni vya asili na vitu gani tulivitengeneza.
Dah. Nilikua sijaona hii comment yako. Imenitoa pangoni. Lazima niandike kitu. Patriarchy ni mfumo wa kikatili only ukiuangalia kiitikadi na kiuanaharakati. Ukiuangalia kwa kutumia ushahidi hai (empirical evidence) utaona jinsi ambavyo patriarchy siyo mfumo mbaya kama unavyoelezewa na baadhi ya wanaharakati wa itikadi ya kifeminia.Long time Prida.
Nakataa kwa asilimia zaidi ya nusu.
Here are my reasons:
-Natafuta ajira ni pure Patriarchy man. Na kama ni pure, basi katika macho yangu anabeba mzigo wote na madhambi ya mfumo dume, na ndio hapo mi namuondolea asilimia zangu 50. (Msije serious kunichamba, mimi sio Rais nikisema nimemdiscredit mtu basi iwe tukio la kitaifa lipewe uzito kiivyo)
-Patriachy sio kitu cha asili, ni mfumo wa kijamii ambao haukusimikwa kwa “kikao” ila ulienziwa kwa “vikao” (mabavu) kama ilivyo mifumo yote kandamizi lazima izalishe migogoro since huwa inakosa balance (Patriarchy haina tofauti na dictatorship)
-Patriachy inaanguka/inameguka sababu sio ASILI, kama mnajua maana ya asili niambieni kitu gani cha asili huwa kinatoa mwanya wa mabadiliko.
-Patriachy inaamini katika trad-woman, trad woman hana tofauti na mtumwa, na kukubalika kwake ni lazima apate validation kutoka kwa mwanaume, hakuna validation ya BURE kutoka kwa mwanaume. Validation zote kutoka kwa mwanaume zina conditions na leverage ambao ni mzigo mzito sana kwa mwanamke.
-Hakuna mwanamke anaye/atakayehold VIP seat mbele ya patriachy/traditional man. Kama yupo nitajie “aina ya mwanamke ambaye anathaminika mbele ya patriachy” tupate cha kujadili. Yaani hata mwanamke uwe vipi, kwenye patriachy society women ni an object, unakuwa ni tatizo sababu tu ni mwanamke. Inahitaji busara ya mwanaume mmoja mmoja kumtreat mwanamke vizuri, lakini entirely mfumo dume haufundishi chochote kizuri juu ya ke, kama kipo niko tayari kujifunza. I dare him aje aniambie katika macho yake/imani ya mfumo wake mwanamke bora ni yupi?
-Patriachy ni mfumo barbaic wa maisha, niambie kwanini ilihitaji sheria zitungwe ili kuwazuia wanaume wasifanye mambo basic tu? mambo ambayo yapo ndani ya human -decency? i mean ilikuwa lazima sheria iwaambie msioe watoto? ilikuwa lazima sheria iwaambie msi-abuse wanawake? So mtu ambaye ni purely patriarchy person binafsi siwezi kumuelewa kama haya ni mambo ambayo aliyakuta akayaamini akayaona kama ni normal practice.
-Patriachy imetutengenezea mgawanyiko baina yetu wanawake, ni ngumu kwasasa na almost impossible kuwaunganisha wanawake
kwasababu ya kitu tunachokiita “Internalized misogyny ambalo ni zao maarufu la patriarchy”. Kauli ya adui ya mwanamke ni mwanamke , haikutokea from no where… ina roots zake ambazo sio “asili vile vile” kuna mambo kwenye jamii ukiyafanya wala hutohitaji wanaume wakushughulikie , watakushughulikia wanawake wenzio kwa niaba ya wanaume”
kama tunaelewa kuwa ili tushinde kitu kama kundi lazima tuwe wamoja, tunashindaje katika mazingira haya? Kuna mifano mingi midogo katika hili lakini sio ya muhimu na inaweza kuwa over-looked. Mf: ikitokea mwanamke amekuwa abused mahali na mwanaume, usishangae wanawake ndio tukawa mbele kutafuta justification ya kwanini amekuwa abused na sio kuungana kutaka sheria ichukue mkondo wake. Kwenye hili champion wa mfumo dume wote low-key nimewaresent.
Hizo ni opinion zangu za kwanini nampinga prida juu ya beshtie yake Natafuta ajira ieleweke nashambulia anachokiamini na sio yeye binafsi, Hamchelewi kunishukia 😂😂 leo kwanza ni katikati ya wiki sina eneji.
Elevenn mbona haujaniita ? Me and me karibu.
Labda ni make things clear!!!Hii kuwa asili haielezi moja kwa moja kuwa mwanaume ni kiongozi mzuri/kiongozi bora na mwanya ulipopatikana wanawake wakawa viongozi wameprove hili.
Ni kweli naamini patriarchy ni bora zaidi ya feminism. Kama patriarchy ilionekana ina shida kwenye baadhi ya mambo basi yalitakiwa kufanyia marekebisho lakini sio kuondoa kabisa. Vilevile ninatambua kwa sasa dunia imesha-adopt feminism na mimi pia hata kama ni muumini wa patriarchy natakiwa kuishi humo humo kwenye dunia ya feminism. Lakini pamoja na kwamba tumeamua kwenda kwenye feminism bado tatizo kubwa lipo upande wenu wanawake Patriarchy mnayoipinga bado mnataka benefits zake, na feminism mnayopigania, hamzitaki disadvantages zake. Mnaonekana kubadilika badilika kimsimamo kwa kuangalia masilahi yapo upande upi kwenye kila moment. Kwahiyo tunaona kikwazo ni mwanamke, sio mwanaume.-Natafuta ajira ni pure Patriarchy man. Na kama ni pure, basi katika macho yangu anabeba mzigo wote na madhambi ya mfumo dume, na ndio hapo mi namuondolea asilimia zangu 50. (Msije serious kunichamba, mimi sio Rais nikisema nimemdiscredit mtu basi iwe tukio la kitaifa lipewe uzito kiivyo)
Sio kweli kabisa. Patriarchy iliibuka kwa kufuata natural pattern, sio ubabe. Ukirudi nyuma kabisa kwenye jamii za kali utafika kwenye point ambayo binadamu alikua mgeni kabisa duniani. Hakuna mfumo wa elimu, uongozi, dini, sayansi, harakati za usawa wa kijinsia n.k. Binadamu anakutana na kila kitu kwa mara ya kwanza kwaiyo anatakiwa kutafsiri mazingira na kupata majibu ya hizo changamoto. Hapa ndipo patriarchy ikaibuka kwa sababu mwanaume alifanya uvumbuzi, ali-step up kwenye kila changamoto n.k. Ndio maana akahodhi hiyo nafasi ya kuwa main character. Pale mwanzo kabisa mwanamke angeweza kum-shine zaidi ya mwanaume au angalao kwa kubaribiana na mwanaume basi patriarchy isingekuwepo from tne first place.-Patriachy sio kitu cha asili, ni mfumo wa kijamii ambao haukusimikwa kwa “kikao” ila ulienziwa kwa “vikao” (mabavu) kama ilivyo mifumo yote kandamizi lazima izalishe migogoro since huwa inakosa balance (Patriarchy haina tofauti na dictatorship)
Patriarchy inameguka kwa sababu ya kupigwa vita. Nguvu na resources nyingi sana zinatumika kuwapa favoritism wanawake huku tukisema huo ni usawa wa kijinsia. Mwanamke akiondolewa upendeleo wote akaachwa aende jino kwa jino na mwanaume kwenye fair playing ground jamii itarudi kwenye default setting ambayo ni patriachy-Patriachy inaanguka/inameguka sababu sio ASILI, kama mnajua maana ya asili niambieni kitu gani cha asili huwa kinatoa mwanya wa mabadiliko.
Traditional woman sio mtumwa kwa sababu kuna benefits alikua anazipata mfano provision, protection. Tukisema tumuondolee mwanamke hiyo status ya traditional woman automatically tutatakiwa kumuondolea na privileges zote anazopata huyo traditional woman, na kama kwa namna yoyote unaona traditional woman ni mtumwa kwenye patriarchy basi bila shaka na traditional man nae atakua mtumwa huku kwenye feminism. Bahati mbaya hiyo feminism mnayoipigania inaonkeana bado mnataka sacrifices za huyu traditional man. Ndio maana kule mwanzo nikakwambia anazuia totally establishment ya feminism ni myie wenyewe wanawake. Kwa sababu hamtaki kuchagua kimoja for once and for all. Mnataka benefits za kila mfumo lakini hamtaki roles zake.-Patriachy inaamini katika trad-woman, trad woman hana tofauti na mtumwa, na kukubalika kwake ni lazima apate validation kutoka kwa mwanaume, hakuna validation ya BURE kutoka kwa mwanaume. Validation zote kutoka kwa mwanaume zina conditions na leverage ambao ni mzigo mzito sana kwa mwanamke.
Hata upande wa wanaume pia kwenye patriarchy sio wote wanathaminika kwa viwango vinavyolingana, ili uthaminiwe kuna sifa ambazo unatakiwa uwe nazo mfano provider, protector, visionary, leader, bold, inaccessible, admired n.k. Kazi kubwa unatakiwa kuifanya ili uwe na hizo sifa. Tatizo lenu wanawake mnataka kuthaminiwa just for your existence.-Hakuna mwanamke anaye/atakayehold VIP seat mbele ya patriachy/traditional man. Kama yupo nitajie “aina ya mwanamke ambaye anathaminika mbele ya patriachy” tupate cha kujadili. Yaani hata mwanamke uwe vipi, kwenye patriachy society women ni an object, unakuwa ni tatizo sababu tu ni mwanamke. Inahitaji busara ya mwanaume mmoja mmoja kumtreat mwanamke vizuri, lakini entirely mfumo dume haufundishi chochote kizuri juu ya ke, kama kipo niko tayari kujifunza. I dare him aje aniambie katika macho yake/imani ya mfumo wake mwanamke bora ni yupi?
Sheria haikua invented kumlinda mwanamke dhidi ya mwanaume, lengo lilikua ni kumlinda mnyonge. Hayo uliyoyaongea hata wanaume kwa wanaume wanafanyiana. Hata wanawake kwa wanawake wanafanyiana.-Patriachy ni mfumo barbaic wa maisha, niambie kwanini ilihitaji sheria zitungwe ili kuwazuia wanaume wasifanye mambo basic tu? mambo ambayo yapo ndani ya human -decency? i mean ilikuwa lazima sheria iwaambie msioe watoto? ilikuwa lazima sheria iwaambie msi-abuse wanawake? So mtu ambaye ni purely patriarchy person binafsi siwezi kumuelewa kama haya ni mambo ambayo aliyakuta akayaamini akayaona kama ni normal practice.
Suala la wanawake kuenekana hawawezi kuchangamana wenyewe kwa wenyewe bila wivu, visirani na vimaneno maneno ilo lipo kiasiri zaidi. Naturally nyie wanawake ni chaotic creatures. Wengi wenu hamna emotional intelligence. Embu niambie kwenye shule za bweni za wanawake watupu hawagombani? hawana mabifu?. Ndoa za lesbians hakuna talaka?.-Patriachy imetutengenezea mgawanyiko baina yetu wanawake, ni ngumu kwasasa na almost impossible kuwaunganisha wanawake
kwasababu ya kitu tunachokiita “Internalized misogyny ambalo ni zao maarufu la patriarchy”. Kauli ya adui ya mwanamke ni mwanamke , haikutokea from no where… ina roots zake ambazo sio “asili vile vile” kuna mambo kwenye jamii ukiyafanya wala hutohitaji wanaume wakushughulikie , watakushughulikia wanawake wenzio kwa niaba ya wanaume”
kama tunaelewa kuwa ili tushinde kitu kama kundi lazima tuwe wamoja, tunashindaje katika mazingira haya? Kuna mifano mingi midogo katika hili lakini sio ya muhimu na inaweza kuwa over-looked. Mf: ikitokea mwanamke amekuwa abused mahali na mwanaume, usishangae wanawake ndio tukawa mbele kutafuta justification ya kwanini amekuwa abused na sio kuungana kutaka sheria ichukue mkondo wake. Kwenye hili champion wa mfumo dume wote low-key nimewaresent.
Sijui Kwanini umekazania kitu Chochote ambacho kinaweza kuwa manipulated na watu, inabidi kitiliwe Shaka ule uasili wake???Kitu chochote ambacho kinakuwa swiped na human adaptation & maendeleo ya sayansi na technology, lazima tukihoji kama kweli kilikuwa cha asili, unajua kwanini hii argument iko hapa? kwasababu kuna vitu wanaume mkitaka kuvitetea huwa mnasingizia “asili”
Kwanini iwe 50%?? Tuambie zaidi hapa.Tuache masingizio ya asili ili tuende sawa, ama tuseme ni vitu gani ni vya asili na vitu gani tulivitengeneza.
Comment ya kwanza mi nilisema napinga kwa 50% so huu ni uonevu wako 😅
Swali msingi hapa tutakuuliza under Feminism Jee Mwanamke anastahili kupata zile favor alizokuwa anapata wakati wa Patriarchy?? And if Yes Why?Mfumo fulani unapokupa favor, lazima upime cost yake au leverage yake, Ni utapeli kudhani hii sacrifice ilikuwa granted bure bure.
Mfumo unaweza kumpa mtu protection huku ukimnyima power. Mfano, kama mwanaume anaamini mwanamke anahitaji kulindwa, lakini kwa sababu hiyo hiyo anaamua mwanamke hatakiwi kumiliki mali, kufanya maamuzi yake mwenyewe, kufanya kazi fulani, au kuamua kuhusu maisha yake, hiyo protection ina cost. Ukitaka kuamini hili kwa urahisi angazia mifumo ya siasa yenye chembechembe za udikteta, angalia tu sisiemu jibu lako liko humo.
Kwasababu upendeleo wowote tunaweza kuupata bila ukandamizaji, huoni ni jambo la ajabu kumkandamiza mtu halafu ukampa mwanya mdogo wa upendeleo, halafu ukajipiga kifua kuwa umefanya jambo la maana sana….
So kama Ego ya mwanaume kutawala ni is according to nature.. so hatuwezi kumlaumu kwa yeye kuonesha desire yakutaka kutawala na kuwa Juu.Paragraph ya mwisho, nakubali bila absolutism . Na hiyo theory inaeleza kwanini mwanaume aliwahi/alitangulia mbele akayatawala mazingira yake hapo kale kwasababu ya desire/ego ya yeye kutaka kutawala na si tu kumtawala mwanamke bali kuitawala jamii, na kufanya expansionism (conquering)
Suala la kuwa kiongozi mzuri au Mbaya it's a very complex topic... Kwa sababu Kuna maswali mengi yanaibuka,,,Hii kuwa asili haielezi moja kwa moja kuwa mwanaume ni kiongozi mzuri/kiongozi bora na mwanya ulipopatikana wanawake wakawa viongozi wameprove hili.
What’s your take, since umesema kuna cha kujadili.
Hii ni zaidi ya 3 some..😂 Maana tuko wa3 vs 1Jamani mmeniqoute wote 😂😂😂 Ntawaweza kweli?
Will try one by one. Uzuri muda wa kula huu.
Unikome we mtoto! 😂💔Hii ni zaidi ya 3 some..😂 Maana tuko wa3 vs 1
Jana ulipotea kwenye ule uzi wa Icebreaker ulienda wapi? ilikuwa mida ya kazi ulipotea kuanzia saa nne hadi usiku saa mbili, nilikuwa kila mara naangalia kama umejibu comment yangu fulani (usijesema nakufatilia sababu nakupenda 😜)Anyways itabidi unifanyie mpango wa kupata kazi kwa kweli... Hii leisure ni mbaya hata kwa kweli😬
Am just being sincere shwarty.. 😬Unikome we mtoto! 😂💔
We acha tu, wanasema wanaume Tumeumbiwa nini vilee?...Jana ulipotea kwenye ule uzi wa Icebreaker ulienda wapi? ilikuwa mida ya kazi ulipotea kuanzia saa nne hadi usiku saa mbili, nilikuwa kila mara naangalia kama umejibu comment yangu fulani (usijesema nakufatilia sababu nakupenda 😜)
We tena lazima utoke pangoni.Dah. Nilikua sijaona hii comment yako. Imenitoa pangoni. Lazima niandike kitu. Patriarchy ni mfumo wa kikatili only ukiuangalia kiitikadi na kiuanaharakati. Ukiuangalia kwa kutumia ushahidi hai (empirical evidence) utaona jinsi ambavyo patriarchy siyo mfumo mbaya kama unavyoelezewa na baadhi ya wanaharakati wa itikadi ya kifeminia.
Niliona vijijini kanda ya kati: wanaume wanakata magogo/kuni kuwaletea wake zao kupikia. Wanalala mashambani kulinda mazao under very harsh conditions huku wanawake wakiwa majumbani kwenye makazi salama. Mwanaume anaenda shambani alfajiri, mwanamke ana mjoin mumuwe shambani saa tatu saa nne asubuhi baada ya kukamilisha shuhuli ndogo ndogo nyumbani. Kutoka shambani, mwanamke anawahi kurudi nyumbani kwa ajili ya kupika etc. Huku mwanaume akiendelea na shuhuli za shurba shambani.
Shuhuli ngumu zote za hatari zinazohitaji nguvu na kujitoa mhanga kimaisha zilikua zinafanywa na mwanaume. Kwa sehemu kubwa ulikua ni mfumo wa maisha very fair. Kitu pekee niliona sio fair kwa mwanamke ni physical violence akihisiwa kukosea na kubaniwa uhuru wa kuishi ndoto zake. Pia wanaume kuwa na wanawake wengi waziwazi. Kwa ujumla, patriarchy is not inherently bad.
Hauwezi kuamini nilikua nimepanga kuondoka kwenye jukwaa la mahusiano. Next destination ilikua jukwaa la biashara, uchumi na ujasiriamali. Huku niki-base zaidi hapo kwenye uchumi maana ndio proffesional niliyosomea. Thread yako imenifanya nisimame njia panda. Niondoke au nibaki.View attachment 3644454
Wasukuma tunasema;
MWAMPA(mwamba) huyu hapa.!!!
Maashiiine!!!😅
Kwa vile mwanangu anarusha sana mateke leo huko tumboni hence moyo kunienda mbio nitaandika kwa kifupi sana ujumbe huu ambao roho wa bwana AMENIHUIA kuufikisha kwenu wanawake wenzangu wa jamii forums.
Ladies and gentlewomen,
I know,in the ladiesland NATAFUTA AJIRA is a Villain kwa sababu tunaamini anatuchukia hivyo na wengi wetu humu tunamchukia.
Binafsi nilikua namchukia sana huyu memba na kuna siku nilimzingua.Niliku namuona ni pyscho ila baada ya kumuelewa kwa sasa huyu ni moja ya members ninaowaheshinu sana kwa sababu mabandiko yake machungu na yanayoumiza sometimes, yameongeza thamani ktk uanamke wangu.
Beautiful ladies,amiini kwamba wanaume wanaompinga Natafuta Ajira wanafanya hivyo kujipendekeza tu kwa wanawake kwa matumaini ya kutupata kirahisi ila wote wanakubaliana nae sababu nimegundua kuwa mitazamo ya natafuta ajira ndio mitazamo ya asilimia kubwa au mia ya wanaume.
Tofauti ni kwamba Natafuta ajira anawaza kwa sauti/text na wengine wanawaza silently vichwani mwao.Naamini kabisa wanafurahia sana hizi nyundo za pua anazotupiga nazo kwa niaba yao.
Kwa hiyo ladies ukitaka kuwa yule mwanamke wa MITHALI 31,yaani
1)Mwanamke tajiri
2)Mwanamke bora katika fani/hustle zako.
3)Mwanamke bora na mwenye faida kwa jamii yake.
4)Mama bora kwa nyumba yake.
5)Mke mwema na bora kwa mumewe.
Soma mabandiko ya Natafuta ajira ila chuki yako dhidi yake ipe likizo kwanza ndo utamuelewa.
Ladies and gentlewomen ,naomba nimalizie kwa kusema kwamba,iwapo wanawake tutakua hata nusu ya vile Natafuta ajira anatamani tuwe amini nawaambia tutawaepusha wanaume zetu na vifo vya mapema.Huyu sio adui yetu,ni mwalimu wetu mzuri sana.
Pia kabla sijaweka simu chini ili nitumie mikono kumasaji kitoto changu huku tumboni ,niwaombe mnapopitia mabandiko ya huyu bwana msiruke lile bandiko lake la ghostphase.Nililielewa sana coz nilishaishi hiyo phase.Kuna kitu mtaokota mule.
✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
Theoretically speaking nilikuwa najenga hoja ili muone kuwa hoja zenu za vitu mnavyoviita ni asili huwa si vya asili bali huwa ni namna yenu ya kutetea hoja yenu.Sijui Kwanini umekazania kitu Chochote ambacho kinaweza kuwa manipulated na watu, inabidi kitiliwe Shaka ule uasili wake???
Ngoja nikuulize nitajie kitu ambacho kwako wewe ni purely natural na niambie kwa Namna Gani binadamu hawawezi Kuni_manipulate. MIMI NADHANI HIKO KITU HAKIPO!!!
Kwasababu somehow nina acknowledge mitazamo baadhi ya patriachy, unlike you people ambao mnaiweka feminism kwenye dustbin moja kwa moja, either sababu hamuielewi au ego zenu haziruhusu challenge na hazitaki kuona kama patriachy ina mapungufu tena makubwa.Kwanini iwe 50%?? Tuambie zaidi hapa.
Ndio, Shida mnaona feminism inahusu relationship kati ya me na ke tu wakati kuna mambo kibao ndani yake, Why kwasababu sio kila mwanamke katika patriachy alipata hizo favor, kwahiyo ili mfumo uwe accomodative kila kitu kinatakiwa kiwekwe mezani na si kusubiri favor. Jamii ni kitu kikubwa kuna ambao wataambatana na patriarchy men watajitaji hizo favors.Swali msingi hapa tutakuuliza under Feminism Jee Mwanamke anastahili kupata zile favor alizokuwa anapata wakati wa Patriarchy?? And if Yes Why?
Kuna layer/ hatua kwenye hili. Utawala uliotokana na desire ya mwanaume kutawala (ambayo ni nature hatuilaumu) ikianza ku-dictate social arrangements ndio kasheshe inapoanza.So kama Ego ya mwanaume kutawala ni is according to nature.. so hatuwezi kumlaumu kwa yeye kuonesha desire yakutaka kutawala na kuwa Juu.
Sidhani kama imejadiliwa.Swali lengine Jee Hii Ego (Ambayo ni Natural) inakubalika under Feminism doctrines???
Baadae, kwasababu haiwezekani mtu aanza kuongoza leo ukahitimisha kuwa ni kiongozi mbaya.Suala la kuwa kiongozi mzuri au Mbaya it's a very complex topic... Kwa sababu Kuna maswali mengi yanaibuka,,,
jee wakati Gani mwanaume alikuwa mtawala Mbaya jee ni tangu aanze kutawala au Karne nyingi baadae??
Jee huo ubaya tunaupije?? ,,, jee huo utawala mbaya ulikuwa Kwenye jamii zote au baadhi??
Nakubali.Pili kuhusu wanawake kupewa nafasi za uongozi na ku_prove positive pia ni jambo complex Kidogo...
Kuna Namna Mimi natofautisha utawala wa Kijamii na kimazingira na ule utawala wa kitaasisi(wakiofisi ofisi)
Kwa sababu huko Kwenye maofisi tayari kuna mifumo imeshasukwa Karne na Karne pia mambo yanaendeshwa kwa taratibu maalumu kwa Misingi na Miongozo Ambayo tayari ipo structured,,, yaani nowadays watu wanakaa darasani wanasomea Namna ya kuongoza ,, Kwa Hali sishangaii kukuta wanawake Kwenye Taasisi Furani Wakawa wanafanya vizuri. (Ijapokuwa hata Katika Hali hii Kuna mapungufu mengi yanajulikana kwa hao maboss wanawake)
Active anazingua hawezi kuja kuamua mwambie ModeratorIla nyie watu mnakera.
Mkuu Active naomba uwadhibitishie hawa watu mimi sio Natafuta Ajira sbb hizi comments zinamdhalilisha mtu ninayemuheshimu.
Naamini hafurahii kuhisiwi hii Id ya kikeni yake.
Namna hii members tutaogopa kusifiana.
I don’t have much to say on above paragraph.Ni kweli naamini patriarchy ni bora zaidi ya feminism. Kama patriarchy ilionekana ina shida kwenye baadhi ya mambo basi yalitakiwa kufanyia marekebisho lakini sio kuondoa kabisa. Vilevile ninatambua kwa sasa dunia imesha-adopt feminism na mimi pia hata kama ni muumini wa patriarchy natakiwa kuishi humo humo kwenye dunia ya feminism. Lakini pamoja na kwamba tumeamua kwenda kwenye feminism bado tatizo kubwa lipo upande wenu wanawake Patriarchy mnayoipinga bado mnataka benefits zake, na feminism mnayopigania, hamzitaki disadvantages zake. Mnaonekana kubadilika badilika kimsimamo kwa kuangalia masilahi yapo upande upi kwenye kila moment. Kwahiyo tunaona kikwazo ni mwanamke, sio mwanaume.
Sio kweli kabisa. Patriarchy iliibuka kwa kufuata natural pattern, sio ubabe. Ukirudi nyuma kabisa kwenye jamii za kali utafika kwenye point ambayo binadamu alikua mgeni kabisa duniani. Hakuna mfumo wa elimu, uongozi, dini, sayansi, harakati za usawa wa kijinsia n.k. Binadamu anakutana na kila kitu kwa mara ya kwanza kwaiyo anatakiwa kutafsiri mazingira na kupata majibu ya hizo changamoto. Hapa ndipo patriarchy ikaibuka kwa sababu mwanaume alifanya uvumbuzi, ali-step up kwenye kila changamoto n.k. Ndio maana akahodhi hiyo nafasi ya kuwa main character. Pale mwanzo kabisa mwanamke angeweza kum-shine zaidi ya mwanaume au angalao kwa kubaribiana na mwanaume basi patriarchy isingekuwepo from tne first place.
Patriarchy inameguka kwa sababu ya kupigwa vita. Nguvu na resources nyingi sana zinatumika kuwapa favoritism wanawake huku tukisema huo ni usawa wa kijinsia. Mwanamke akiondolewa upendeleo wote akaachwa aende jino kwa jino na mwanaume kwenye fair playing ground jamii itarudi kwenye default setting ambayo ni patriachy
Traditional woman sio mtumwa kwa sababu kuna benefits alikua anazipata mfano provision, protection. Tukisema tumuondolee mwanamke hiyo status ya traditional woman automatically tutatakiwa kumuondolea na privileges zote anazopata huyo traditional woman, na kama kwa namna yoyote unaona traditional woman ni mtumwa kwenye patriarchy basi bila shaka na traditional man nae atakua mtumwa huku kwenye feminism. Bahati mbaya hiyo feminism mnayoipigania inaonkeana bado mnataka sacrifices za huyu traditional man. Ndio maana kule mwanzo nikakwambia anazuia totally establishment ya feminism ni myie wenyewe wanawake. Kwa sababu hamtaki kuchagua kimoja for once and for all. Mnataka benefits za kila mfumo lakini hamtaki roles zake.
Hata upande wa wanaume pia kwenye patriarchy sio wote wanathaminika kwa viwango vinavyolingana, ili uthaminiwe kuna sifa ambazo unatakiwa uwe nazo mfano provider, protector, visionary, leader, bold, inaccessible, admired n.k. Kazi kubwa unatakiwa kuifanya ili uwe na hizo sifa. Tatizo lenu wanawake mnataka kuthaminiwa just for your existence.
Sheria haikua invented kumlinda mwanamke dhidi ya mwanaume, lengo lilikua ni kumlinda mnyonge. Hayo uliyoyaongea hata wanaume kwa wanaume wanafanyiana. Hata wanawake kwa wanawake wanafanyiana.
Hapa nina tatizo napo, either unajaribu kutuokota au kuna vitu unachanganya. Kitakwimu emotional intelligence kwa wanawake iko juu kuliko kwa wanaume. Strategist7 tusaidie mtafiti.Suala la wanawake kuenekana hawawezi kuchangamana wenyewe kwa wenyewe bila wivu, visirani na vimaneno maneno ilo lipo kiasiri zaidi. Naturally nyie wanawake ni chaotic creatures. Wengi wenu hamna emotional intelligence. Embu niambie kwenye shule za bweni za wanawake watupu hawagombani? hawana mabifu?. Ndoa za lesbians hakuna talaka?.
Mimi naweza kuargue tofauti tukiacha suala la emotional intelligence. Nataka kuargue hivi, Wanawake hatuogopani, Hakuna kwensekwense za kuumiza za mwanamke kumkosea mwanamke mwenzie. nikimchokoza Prida, Women calculation iko hivi: Nikimkosea prida now kwani atanifanyaje? atanichamba? and then what? nothing…! Habari inaweza kuwa tofauti nikimkosea bwana Elevenn.Hauwezi kukuta mume ana ugomvi na mashemeji au wakwe zake. Hauwezi kukuta mke ana ubmgomvi na mashemeji au baba mkwe. Mara zote chokochoko ni mke na mawifi au mke na mama mkwe. Unafikiri hiyo inatokea tu by coincidence?
Emotional intelligence ni changamoto yenu, hapa usirushe lawama kwa wanaume.