NATAFUTA AJIRA; zawadi na baraka imng'arishayo mwanamke

NATAFUTA AJIRA; zawadi na baraka imng'arishayo mwanamke

Kwanza kabisa prida sijakuona jukwaani for a while... Ila huwa nakubali sana mabandiko yako makini

Unajua nini rafiki, binadamu huwa na ego, sio kwamba hatujui ukweli, huwa wanajizima data...

Binafsi huwa napenda sana mwanamke asiye na nongwa kama wewe... You're so open minded sasa sijui kwa nini huwa unakuwa na mambo ya kiwaki muda mwingine?
. Ukweli ni kuwa kama ulivyosema kama wanawake wangechukua hata nusu ya mentality ya Natafuta Ajira wangekuwa wametueousha with a lot of shiit
 
Long time Prida.

Nakataa kwa asilimia zaidi ya nusu.

Here are my reasons:

-Natafuta ajira ni pure Patriarchy man. Na kama ni pure, basi katika macho yangu anabeba mzigo wote na madhambi ya mfumo dume, na ndio hapo mi namuondolea asilimia zangu 50. (Msije serious kunichamba, mimi sio Rais nikisema nimemdiscredit mtu basi iwe tukio la kitaifa lipewe uzito kiivyo)


-Patriachy sio kitu cha asili, ni mfumo wa kijamii ambao haukusimikwa kwa “kikao” ila ulienziwa kwa “vikao” (mabavu) kama ilivyo mifumo yote kandamizi lazima izalishe migogoro since huwa inakosa balance (Patriarchy haina tofauti na dictatorship)

-Patriachy inaanguka/inameguka sababu sio ASILI, kama mnajua maana ya asili niambieni kitu gani cha asili huwa kinatoa mwanya wa mabadiliko.

-Patriachy inaamini katika trad-woman, trad woman hana tofauti na mtumwa, na kukubalika kwake ni lazima apate validation kutoka kwa mwanaume, hakuna validation ya BURE kutoka kwa mwanaume. Validation zote kutoka kwa mwanaume zina conditions na leverage ambao ni mzigo mzito sana kwa mwanamke.

-Hakuna mwanamke anaye/atakayehold VIP seat mbele ya patriachy/traditional man. Kama yupo nitajie “aina ya mwanamke ambaye anathaminika mbele ya patriachy” tupate cha kujadili. Yaani hata mwanamke uwe vipi, kwenye patriachy society women ni an object, unakuwa ni tatizo sababu tu ni mwanamke. Inahitaji busara ya mwanaume mmoja mmoja kumtreat mwanamke vizuri, lakini entirely mfumo dume haufundishi chochote kizuri juu ya ke, kama kipo niko tayari kujifunza. I dare him aje aniambie katika macho yake/imani ya mfumo wake mwanamke bora ni yupi?

-Patriachy ni mfumo barbaic wa maisha, niambie kwanini ilihitaji sheria zitungwe ili kuwazuia wanaume wasifanye mambo basic tu? mambo ambayo yapo ndani ya human -decency? i mean ilikuwa lazima sheria iwaambie msioe watoto? ilikuwa lazima sheria iwaambie msi-abuse wanawake? So mtu ambaye ni purely patriarchy person binafsi siwezi kumuelewa kama haya ni mambo ambayo aliyakuta akayaamini akayaona kama ni normal practice.

-Patriachy imetutengenezea mgawanyiko baina yetu wanawake, ni ngumu kwasasa na almost impossible kuwaunganisha wanawake
kwasababu ya kitu tunachokiita “Internalized misogyny ambalo ni zao maarufu la patriarchy”. Kauli ya adui ya mwanamke ni mwanamke , haikutokea from no where… ina roots zake ambazo sio “asili vile vile” kuna mambo kwenye jamii ukiyafanya wala hutohitaji wanaume wakushughulikie , watakushughulikia wanawake wenzio kwa niaba ya wanaume”
kama tunaelewa kuwa ili tushinde kitu kama kundi lazima tuwe wamoja, tunashindaje katika mazingira haya? Kuna mifano mingi midogo katika hili lakini sio ya muhimu na inaweza kuwa over-looked. Mf: ikitokea mwanamke amekuwa abused mahali na mwanaume, usishangae wanawake ndio tukawa mbele kutafuta justification ya kwanini amekuwa abused na sio kuungana kutaka sheria ichukue mkondo wake. Kwenye hili champion wa mfumo dume wote low-key nimewaresent.

Hizo ni opinion zangu za kwanini nampinga prida juu ya beshtie yake Natafuta ajira ieleweke nashambulia anachokiamini na sio yeye binafsi, Hamchelewi kunishukia 😂😂 leo kwanza ni katikati ya wiki sina eneji.

Elevenn mbona haujaniita ? Me and me karibu.
 
prida

Biblia inasema nini juu ya equal ya mwanamke wa mithali? Ikiwa mwanamke wa mithali ndio mwanamke bora (kifamilia) Mwanaume bora ni yupi? (kifamilia)

To me: Dini zote tatu (Abrahamic) ni mwiba mkali kwa mwanamke, Mungu aliamua awe mwiba mkali kwa wanawake? Huu mjadala siutaki na sitau-entertain……….
 
Kwanza kabisa prida sijakuona jukwaani for a while... Ila huwa nakubali sana mabandiko yako makini

Unajua nini rafiki, binadamu huwa na ego, sio kwamba hatujui ukweli, huwa wanajizima data...

Binafsi huwa napenda sana mwanamke asiye na nongwa kama wewe... You're so open minded sasa sijui kwa nini huwa unakuwa na mambo ya kiwaki muda mwingine?
. Ukweli ni kuwa kama ulivyosema kama wanawake wangechukua hata nusu ya mentality ya Natafuta Ajira wangekuwa wametueousha with a lot of shiit
🙏🙏🙏
Kweli kabisa sema tukikumbushana inasaidia.
 
Back
Top Bottom