Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Holo holoKina nani
Holo holoKina nani
😄seensafari ya wapi sasa? Wewe unanizidi nini mpaka uniambie nina safari ndefu? Punguza kujipendekeza
😁 potezea wajinga wajingaHolo holo
Haaaaaaah kaka usicommentie watu hivyo wanajisikia vebaya😄seen
😄tumsikilize.
hivi The Icebreaker hatuwezi kuhitaji VAR hapa
🤣🤣🤣 Nimecheka kwa sauti kubwa sanaUtakuwa unaishi maisha magumu sana kama utakuwa unategemea bandiko la anonymous ili ujue thamani yako .
SawaHaaaaaaah kaka usicommentie watu hivyo wanajisikia vebaya
ngoja nikujibu kwa kina wewe kiazi , onyesha uzi nimejipendekeza kwako , nikuonyeshe uzi umefungua kujipendekeza kwangu wewe papaisafari ya wapi sasa? Wewe unanizidi nini mpaka uniambie nina safari ndefu? Punguza kujipendekeza