NATAFUTA AJIRA; zawadi na baraka imng'arishayo mwanamke

NATAFUTA AJIRA; zawadi na baraka imng'arishayo mwanamke

Theoretically speaking nilikuwa najenga hoja ili muone kuwa hoja zenu za vitu mnavyoviita ni asili huwa si vya asili bali huwa ni namna yenu ya kutetea hoja yenu.

Yes vitu vya asili vipo ambavyo havibadiliki: Binadamu ili asavaivu anahitaji maji, oksijeni na chakula sifikirii kuna mbadala,

Uzazi unajitaji mbegu za like na kiume ili atengenezeke mtoto. Hata tech ikiwa integrated bado factor za muhimu zinabaki zilezile.

Uwepo wa “basic” biology drives, njaa, kiu, sex, ku-belong.

Kifo?

Again; nataka ugundue kuwa hii haikuwa hoja ya msingi bali yatokanayo.
Hapa kuna vitu Mimi navitofautisha Biological laws/phenomena VS Natural laws/principles au terms sahihi zaidi zenye kujalibu kutofautisha hivyo viwili yaani Fikilia kuhusu Suala la Mtu Kupata Uzito kufanya tendo la Ndoa na Mzazi wake hii ni Natural Law linganisha na Suala la Mtu Kupata njaa au kuhisi Sexual desire Hii ni Biological Phenomenon

Sasa Mimi nakusudia Natural Laws/Rules Nyingi ukiziangalia zinakubali manipulation. Sasa haya mambo ya Patriarchy, Male dominance nk ni mambo yanaangukia Kwenye Natural Laws sio biological Phenomena.
Kwasababu somehow nina acknowledge mitazamo baadhi ya patriachy, unlike you people ambao mnaiweka feminism kwenye dustbin moja kwa moja, either sababu hamuielewi au ego zenu haziruhusu challenge na hazitaki kuona kama patriachy ina mapungufu tena makubwa.
Ni Habari Njema at least you can say good about patriarchy. Coz maandiko yako ya huko nyuma it seemed like kwako patriarchy ni Zaidi ya kitu hatari na kibaya kabisa kuwahi kutokea.

Kuhusu Feminism upande wangu,, Feminism ya Phase one na Angalau phase two mwanzoni ilikuwa ina make sense ila baada ya hapo feminism ikachukua sura mpya ya tofauti kabisa (Kuna mwandishi anasema Lau wale waanzilishi wa Harakati za kifemina watajua ni wapi imefika feminism kwa Sasa hata Wao Wenyewe watashangaa!!!)

Dunia Katika hii feminism Haiwezi Kuwa stable socially,, tutaendelea kushuhudia increment ya divorce,,, na vijana kuogopa kuingia Kwenye Ndoa.
Kwa sababu Mwanaume hataacha kuwa na Ego ya kutawala na kutaka Utii,, na huku feminism inampa kichwa Mwanamke kuwa yeye na mwanaume wote wapo sawa hivyo Kutakosekana familia au zitakuwepo familia zinazopumulia mipira,, watoto watakao zaliwa watakosa Malezi ya wazazi wawili tutatengeneza vijana na Mabinti wenye tabia za ajabu ajabu then cycle itaendelea.

Challenge: Nielezee ni kwa namna Gani jamii inaweza ku_achive stability from where we are with a lot of family dilemmas due to ongoing feminism movements Kwenye Upande Wa familia under Feminism.
Ndio, Shida mnaona feminism inahusu relationship kati ya me na ke tu wakati kuna mambo kibao ndani yake, Why kwasababu sio kila mwanamke katika patriachy alipata hizo favor, kwahiyo ili mfumo uwe accomodative kila kitu kinatakiwa kiwekwe mezani na si kusubiri favor. Jamii ni kitu kikubwa kuna ambao wataambatana na patriarchy men watajitaji hizo favors.
binti kiziwi wewe ni mjanja mjanja sana,,, umei_dodge hiyo hoja vizuri.

Ila Mimi nakung'ang'ania hapa hapa ,,,kwanini Mwanamke aendelee kupata favor au tuseme privilege under Feminism inayohubili usawa na kuhubiri umadhubuti na uwezo wa Juu wa Mwanamke kiakili hata kimwili.!!!??
Kama unaniona point yangu sawa, kama hauioni nitajaribu kufikiria upya.
Fikilia upya
Kuna layer/ hatua kwenye hili. Utawala uliotokana na desire ya mwanaume kutawala (ambayo ni nature hatuilaumu) ikianza ku-dictate social arrangements ndio kasheshe inapoanza.

Labda we unielezee mifumo ya kijamii ilisimikwaje labda mimi napotoka.
Nature ndio ilisimika. Nature ndio iliamua unconsciously naweza sema.
Sidhani kama imejadiliwa.
Feminism lazima ituambie tutadeal vipi na natural Ego ya mwanaume Kwenye issue ya dominance. Kwa sababu literally Feminism ipo against na hiyo Ego(Mimi hata nimeshangaa vipi wewe umelikubali kirahisi hili)
Baadae, kwasababu haiwezekani mtu aanza kuongoza leo ukahitimisha kuwa ni kiongozi mbaya.

Failures ni kipimo.
Patriarchy haikufeli...
Patriarchy ilitoa ruhusa baadhi ya masuala yarekebishwe ndio zikaanza Harakati za feminism taratibu taratibu Hadi hapa tulipofikia ,,,Kwa sababu hakukuwa na Namna yoyote Feminism ingeweza kurise kama wazee wa Patriarchy wasingetoa nafasi...

Binafsi naamini kama wanaume wataamua kuirudisha fully Patriarchy ni suala la siku kadhaa tuu.
Nakubali.
 
View attachment 3644454

Wasukuma tunasema;

MWAMPA(mwamba) huyu hapa.!!!
Maashiiine!!!😅

Kwa vile mwanangu anarusha sana mateke leo huko tumboni hence moyo kunienda mbio nitaandika kwa kifupi sana ujumbe huu ambao roho wa bwana AMENIHUIA kuufikisha kwenu wanawake wenzangu wa jamii forums.

Ladies and gentlewomen,
I know,in the ladiesland NATAFUTA AJIRA is a Villain kwa sababu tunaamini anatuchukia hivyo na wengi wetu humu tunamchukia.

Binafsi nilikua namchukia sana huyu memba na kuna siku nilimzingua.Niliku namuona ni pyscho ila baada ya kumuelewa kwa sasa huyu ni moja ya members ninaowaheshinu sana kwa sababu mabandiko yake machungu na yanayoumiza sometimes, yameongeza thamani ktk uanamke wangu.

Beautiful ladies,amiini kwamba wanaume wanaompinga Natafuta Ajira wanafanya hivyo kujipendekeza tu kwa wanawake kwa matumaini ya kutupata kirahisi ila wote wanakubaliana nae sababu nimegundua kuwa mitazamo ya natafuta ajira ndio mitazamo ya asilimia kubwa au mia ya wanaume.

Tofauti ni kwamba Natafuta ajira anawaza kwa sauti/text na wengine wanawaza silently vichwani mwao.Naamini kabisa wanafurahia sana hizi nyundo za pua anazotupiga nazo kwa niaba yao.

Kwa hiyo ladies ukitaka kuwa yule mwanamke wa MITHALI 31,yaani
1)Mwanamke tajiri
2)Mwanamke bora katika fani/hustle zako.
3)Mwanamke bora na mwenye faida kwa jamii yake.
4)Mama bora kwa nyumba yake.
5)Mke mwema na bora kwa mumewe.

Soma mabandiko ya Natafuta ajira ila chuki yako dhidi yake ipe likizo kwanza ndo utamuelewa.

Ladies and gentlewomen ,naomba nimalizie kwa kusema kwamba,iwapo wanawake tutakua hata nusu ya vile Natafuta ajira anatamani tuwe amini nawaambia tutawaepusha wanaume zetu na vifo vya mapema.Huyu sio adui yetu,ni mwalimu wetu mzuri sana.

Pia kabla sijaweka simu chini ili nitumie mikono kumasaji kitoto changu huku tumboni ,niwaombe mnapopitia mabandiko ya huyu bwana msiruke lile bandiko lake la ghostphase.Nililielewa sana coz nilishaishi hiyo phase.Kuna kitu mtaokota mule.
✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
Kama wewe mwanamke mwenzao umekubali basi hatukupingi.
 
Hauwezi kuamini nilikua nimepanga kuondoka kwenye jukwaa la mahusiano. Next destination ilikua jukwaa la biashara, uchumi na ujasiriamali. Huku niki-base zaidi hapo kwenye uchumi maana ndio proffesional niliyosomea. Thread yako imenifanya nisimame njia panda. Niondoke au nibaki.
Mkuu am all in kwenye business na uchumi..
Ukishusha madini usisahau kuni tag

Achana na hizi drama za watu usio walisha...

Si unaona mpaka wa kina Jadda walisha staafu?
 
Hauwezi kuamini nilikua nimepanga kuondoka kwenye jukwaa la mahusiano. Next destination ilikua jukwaa la biashara, uchumi na ujasiriamali. Huku niki-base zaidi hapo kwenye uchumi maana ndio proffesional niliyosomea. Thread yako imenifanya nisimame njia panda. Niondoke au nibaki.
Hata huko utatufaa mkuu.
Mambo ya ghostphase in deep.
MMU usitokomee kabisa.
 
Yes.
Nimejifunza mengi kupitia JF.
Kuna anonymous mmoja hapa JF anaitwa Malila
alifanya ninunue ardhi somewhere ambayo leo hii naitumia kufanya mishe fulani inayoniingizia tusent tunakonipa jeuri mjini.
hongera sana ndugu yangu
 
Back
Top Bottom