Watoto ni matokeo ya ngono, Si zawadi wala baraka kutoka kwa Mungu!

Infropreneur

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2022
Posts
14,578
Reaction score
31,662
Watoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote.

Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke mgumba wa mchungaji anatafuta mtoto kwa muda mrefu. Na mimba haishiki.

I'm out.
 
Watoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote.

Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke wa mchungaji anatafuta mtoto kwa muda mrefu. Na mimba haishiki.

I'm out.
Aya ya kwanza na ya pili vinapingana. Kama ni matokeo ya ngono mke wa mchungaji ingeshika tu maana anafanya ngono.

Suala la MUNGU ni la kiimani, wapo wanaosali kupata mtoto na wanampata baada ya miaka mingi ya kufanya ngono bila mafanikio.
 
Point ni kwamba, Hakuna Mungu yeyote anayeleta watoto duniani.
 
Aya ya kwanza na ya pili vinapingana. Kama ni matokeo ya ngono mke wa mchungaji ingeshika tu maana anafanya ngono.

Suala la MUNGU ni la kiimani, wapo wanaosali kupata mtoto na wanampata baada ya miaka mingi ya kufanya ngono bila mafanikio.
Ni asilimia 2% tu ya watu duniani hawawezi kupata mtoto kabisa.
 
Back
Top Bottom