Psalm_23
JF-Expert Member
- Aug 18, 2026
- 2,760
- 5,144
Mbona naonaga hadi mapacha... au ni maigizo tu.Hao watu wa Kawe wanapata matumaini hewa tu!
Hakuna chochote!
Maelfu ya wanawake wanajazana hapo kwa Mwamposa miaka nenda rudi na hakuna wanachopata zaidi ya miujiza uchwara na matumaini hewa.
Ndio maana miaka nenda rudi, wapogo tu na huyo mtume wao. Shida zao haziwaishi kamwe.
Kwa sababu shida hazitatuliwi kwa sala au maombi. Na hakuna Mungu wa kusaidia chochote kwa sababu Mungu huyo hayupo.