Watoto ni matokeo ya ngono, Si zawadi wala baraka kutoka kwa Mungu!

MUNGU ni masuala ya kiimani, kumfuta sharti ufute kwanza hizo imani otherwise ni porojo.
Kuamini unaweza kuamini hata uongo.

Kuwa na imani ya uongo hakufuti facts.

Kuamini kwako Mungu anafanya watoto watokee kwamba yeye ndiye muumbaji ni imani ya uongo.

Na majority wana amini uongo.

Na hiyo ni haki yao ya kikatiba kuamini chochote ikiwemo hii imani ya Mungu wa uongo.

Lakini kwenye ukweli wenye logical consistency bila porojo ni kwamba Watoto ni matokeo ya ngono wala sio Mungu.
 
Kama ni matokeo ya ngono kwani mke wa mchungaji hafanyi?
Mtu yeyote afanyae ngono huweza kuleta mtoto.

Mke wa mchungaji anaweza kuwa mgumba lakini akawa na imani kwamba atapata mtoto kwa uweza wa Mungu.

Kumbe hakuna Mungu anayetoa uwezo wa kupata mtoto.

Kama mke wa mchungaji ni mgumba, Atabaki mgumba hivyohivyo, Imani yake kwa huyo Mungu haiwezi kumpatia mtoto.
 
Kuamini unaweza kuamini hata uongo.
Hakuna uongo kwenye imani, uongo upo nje ya imani. Elewa tafsiri ya imani.
Kuwa na imani ya uongo hakufuti facts.
Imani haifuati facts, mambo ya facts, logic siyo element za imani.
Kuamini kwako Mungu anafanya watoto watokee kwamba yeye ndiye muumbaji ni imani ya uongo.
Hakuna uongo kwenye imani, uongo upo nje ya imani. Hata kumbadili mkristo kuwa muislamu inabidi atoke kwanza nje ya imani yake ndipo iwe ya uongo kisha aikubali imani mpya.
Na majority wana amini uongo.

Na hiyo ni haki yao ya kikatiba kuamini chochote ikiwemo hii imani ya Mungu wa uongo.
Hakuna uongo ndani ya imani.
Lakini kwenye ukweli wenye logical consistency bila porojo ni kwamba Watoto ni matokeo ya ngono wala sio Mungu.
Hakuna logical consistency kwenye imani, hizi ni bipolar za tulioenda shule, tukajua kingereza na kufuata mafundisho ya kimagharibi.
 
Mtu yeyote afanyae ngono huweza kuleta mtoto.

Mke wa mchungaji anaweza kuwa mgumba lakini akawa na imani kwamba atapata mtoto kwa uweza wa Mungu.

Kumbe hakuna Mungu anayetoa uwezo wa kupata mtoto.

Kama mke wa mchungaji ni mgumba, Atabaki mgumba hivyohivyo, Imani yake kwa huyo Mungu haiwezi kumpatia mtoto.
Aha nimekupata, unamaana kama huwez kupata ujauzito ni hautapata tuu iwe unaomba Mungu ama lah, iwe kahaba ama mama mchungaji. Kama ipo ipo, kama haipo haipo.
 
Kwanini mke wa mchungaji hapati mimba? ila wengine wanapata!
na slayqueen wanaotoa mimba kama wote hua wanapata¡
Mke wa mchungaji anaweza kuwa mgumba lakini akawa na imani kwamba atapata mtoto kwa uweza wa Mungu.

Kumbe ni uongo tu, na imani ya uongo.

Ndio maana unaona mamia ya wanawake wanajazana makanisani wakiomba wapate watoto, lakini hawapati.

Kwa sababu, Hakuna Mungu anayefanya watoto wapatikane.
 
Mbona pale kawe, watu wanapata?
Au hii imekaaje bro.
 
Mtu yeyote afanyae ngono huweza kuleta mtoto.

Mke wa mchungaji anaweza kuwa mgumba lakini akawa na imani kwamba atapata mtoto kwa uweza wa Mungu.

Kumbe hakuna Mungu anayetoa uwezo wa kupata mtoto.

Kama mke wa mchungaji ni mgumba, Atabaki mgumba hivyohivyo, Imani yake kwa huyo Mungu haiwezi kumpatia mtoto.
“Maana Bwana alikuwa ameyafunga matumbo ya watu wa nyumbani mwa Abimeleki, wasizae, kwa ajili ya Sara mkewe Ibrahimu.
”
— Mwanzo 20:18 (Biblia Takatifu)
 
Hakuna uongo kwenye imani, uongo upo nje ya imani. Elewa tafsiri ya imani.

Imani haifuati facts, mambo ya facts, logic siyo element za imani.

Hakuna uongo kwenye imani, uongo upo nje ya imani. Hata kumbadili mkristo kuwa muislamu inabidi atoke kwanza nje ya imani yake ndipo iwe ya uongo kisha aikubali imani mpya.

Hakuna uongo ndani ya imani.

Hakuna logical consistency kwenye imani, hizi ni bipolar za tulioenda shule, tukajua kingereza na kufuata mafundisho ya kimagharibi.
Mtu akiweka imani kwamba akiruka kutoka ghorofa ya kumi mpaka chini hatoumia wala kufa, Hii imani yake inakuwa kweli?

Maana unasema hakuna uongo ndani ya imani.

Mtu akiweka imani ya kwenda Ulaya bila Passport, bila pesa na bila visa kama wale wasabato wa kipindi kile, inawezekana kweli?

Unakumbuka wale wasabato waliotaka kwenda kuhubiri injili ulaya bila visa wala Passport?

Wakaweka imani kwamba Mungu atawavusha.

Hii imani unaona ina ukweli?
 
Mbona pale kawe, watu wanapata?
Au hii imekaaje bro.
Hao watu wa Kawe wanapata matumaini hewa tu!

Hakuna chochote!

Maelfu ya wanawake wanajazana hapo kwa Mwamposa miaka nenda rudi na hakuna wanachopata zaidi ya miujiza uchwara na matumaini hewa.

Ndio maana miaka nenda rudi, wapogo tu na huyo mtume wao. Shida zao haziwaishi kamwe.

Kwa sababu shida hazitatuliwi kwa sala au maombi. Na hakuna Mungu wa kusaidia chochote kwa sababu Mungu huyo hayupo.
 
Back
Top Bottom