Watoto ni matokeo ya ngono, Si zawadi wala baraka kutoka kwa Mungu!

Watoto ni matokeo ya ngono, Si zawadi wala baraka kutoka kwa Mungu!

Watoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote.

Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke wa mchungaji anatafuta mtoto kwa muda mrefu. Na mimba haishiki.

I'm out.
Kuna utata ulichoandika

Mchungaji hafanyi ngono ama? Kama anafanya how comes hapati mimba na mke wake wakati umesema mtoto ni matokeo ya ngono ?

Navyojua unaweza kufanya ngono na usipate mimba
 
Maraika wa bwana alimpasha habali maria naye akapata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu
Aisee mkuu umenikumbusha Seminary.

Hii Sala ya Maria inaitwa Angelus (Sala ya Malaika wa Bwana) inasaliwa kila ifikapo saa sita kamili mchana.

Nimeisali sana nilipokuwa seminarini.

Hata kwenye makanisa makubwa, ifikapo saa sita huwa wanapiga kengele kuashiria watu wasali sala hii.
 
Kuna utata ulichoandika

Mchungaji hafanyi ngono ama? Kama anafanya how comes hapati mimba na mke wake wakati umesema mtoto ni matokeo ya ngono ?

Navyojua unaweza kufanya ngono na usipate mimba
Mke wa mchungaji anaweza kuwa mgumba lakini akawa na imani kwamba atapata mtoto kwa uweza wa Mungu.

Kumbe ni uongo tu na imani ya uongo.
 
Waliokua kwenye ndoa wakipata mtoto wamepata mtoto kwa kupitia sakrament ya ndoa yani tendo takatatifu
 
"He has created man from a sperm-drop; and behold this same (man) becomes an open disputer/Opponent"

16:4 Qur'an Surah ya 16, ayah ya 4!

Pia; aya nyingine 👇
Screenshot_20260822_213135_Gallery.jpg
 
Watoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote.

Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke wa mchungaji anatafuta mtoto kwa muda mrefu. Na mimba haishiki.

I'm out.
Kuna wanaofanya ngono wanaenda mpaka kwa waganga hawapati mtoto hilo unazungumziaje?
 
Kwamba mke wa mchungaji hafanyi ngono anaomba tu ndio maana hapati? sijaelewa hapa mkuu
 
Kuna wanaofanya ngono wanaenda mpaka kwa waganga hawapati mtoto hilo unazungumziaje?
Ni asilimia 2% tu ya binadamu duniani hawawezi kupata mtoto kabisa. Kuna ugumba wa muda pia unaoathiri 16% ya watu duniani, huku ni kule mtu kuchelewa kupata mtoto baada ya mwaka mmoja wa ngono lakini atapata tu mwisho wa siku.
80% ya binadamu wanaweza kupata mtoto muda wowote wanaotaka kupata mtoto.
 
Back
Top Bottom