habari ndio hiyo kwani ni dhambiEeeeh!! Unataka uwe ba mtu wangu
habari ndio hiyo kwani ni dhambiEeeeh!! Unataka uwe ba mtu wangu
No comment...habari ndio hiyo kwani ni dhambi
So asili yetu na hivi vinavyotuzunguka ni Nini mkuu ?Huyo Mungu hayupo na wala hajawahi kuwepo.
Nina uhakika kwamba mifumo imeundwa kwa sababu tunaona ipo kwenye mpangilio unaowezesha miili yetu kufanya kazi tena kwa kutegemeana kati ya mfumo mmoja na mwingine (organization na functional relationship),Una uhakika gani na uthibitisho gani kwamba imeundwa?
Kama hujui tumefikaje hapa, utasemaje mifumo imeundwa?
Una uhakika gani kwamba mifumo imeundwa?
Kuna vitu ni ngumu kuthibitisha , mfano kuthibitisha uwepo wa Mungu ni kitu kigumu kwasababu uwezo wetu na akili zetu sisi viumbe wa damu na nyama una limit, Kuna vitu vipo higher and superior than uwezo wa akili zetu na utashi wetu kuweza kung'amua kama vipo, siyo Kila kitu kinaweza kuthibitishwaKuamini unaweza kuamini hata uongo.
Hatuhitaji kuamini.
Tunahitaji kujua kwa uhakika na uthibitisho.
Sio kuamini.
Ajabu na wote eanangonokaKwanini mke wa mchungaji hapati mimba? ila wengine wanapata!
na slayqueen wanaotoa mimba kama wote hua wanapata¡
Kwa nini mifumo lazima iwe imeundwa?Nina uhakika kwamba mifumo imeundwa kwa sababu tunaona ipo kwenye mpangilio unaowezesha miili yetu kufanya kazi tena kwa kutegemeana kati ya mfumo mmoja na mwingine (organization na functional relationship),
We jiulize kama ukikuta gari lina engine, gearbox, brakes, steering na wheels, halafu kila sehemu imeunganishwa kwa namna inayoliwezesha gari kutembea, Akili yako itakuambia vipi mpangilio huo umetokea?...............
Kwa mfano ukikuta karatasi imetupwa lakini ina herufi A B C D E F... sidhani kama itaingia akilini kuhitimisha kwamba huo mpangilio umetokea bila ujuzi kutumika....
Kwani sisi wenyewe hatuwezi kuwa hiyo asili?So asili yetu na hivi vinavyotuzunguka ni Nini mkuu ?
Ulivojibu ni sawa na kusema Asili ya nyumba yako ni nyumba yenyewe asili ya kitanda Chako ni kitanda chenyewe 😂😂Kwani sisi wenyewe hatuwezi kuwa hiyo asili?
Mbona wewe asili yako ni wazazi wako ambao ndio walikuzaa na ni binadamu kama wewe?
Kwa nini unataka asili nyingine, nje ya sisi wenyewe?
Unaamini katika visivoonekana ?Kwani sisi wenyewe hatuwezi kuwa hiyo asili?
Mbona wewe asili yako ni wazazi wako ambao ndio walikuzaa na ni binadamu kama wewe?
Kwa nini unataka asili nyingine, nje ya sisi wenyewe?
Unaposema haijaundwa inabidi ulete uthibitisho kwamba,. licha ya mifumo kuonekana kwenye mpangilio wa kitaalamu hakuna ujuzi wowote uliotumika kufanya mifumo hiyo iwe hivi tunavyoiona.Kwa nini mifumo lazima iwe imeundwa?
Kwa nini mifumo isiwe haijaundwa?
Wewe unayesema imeundwa una uthibitisho kwamba imeundwa?Unaposema haijaundwa inabidi ulete uthibitisho kwamba,. licha ya mifumo kuonekana kwenye mpangilio wa kitaalamu hakuna ujuzi wowote uliotumika kufanya mifumo hiyo iwe hivi tunavyoiona.
sio unalazimisha kwamba UJUZI haujatumika,. ukiulizwa mifumo imejipangiliaje kitaalamu na kwa usahihi hivyo hujui 😂
Ndiyo uthibitisho wa kimantiki upo,... kwa kuwa hakuna mfumo uliowahi kujiunda wenyewe basi hata mifumo ya Miili yetu haijajiunda...Wewe unayesema imeundwa una uthibitisho kwamba imeundwa?
Mbegu ya mwanaume na yai la mwanamke vinapokutana na kuungana kisha mimba kutungwa mpaka mtoto kuzaliwa.Ndiyo uthibitisho wa kimantiki upo,... kwa kuwa hakuna mfumo uliowahi kujiunda wenyewe basi hata mifumo ya Miili yetu haijajiunda...
Ukikataa nitajie mfumo japo mmoja tu ambao unaweza kuthibitisha kwamba umejiunda wenyewe na unafanya kazi kwa ufanisi..... ukiweza nitakubali unasema kweli 100%,. ukishindwa nitakushauri uwe humble kwa yale ambayo uwezo wako wa kufikiri bado haujafika level ya kuyafaham ikiwemo utaalamu uliotumika mpaka kufanya Viumbe mbalimbali tuwepo kwenye ulimwengu huu.
Hahh duh kwamba huo ndiyo mfano uliopata?Mbegu ya mwanaume na yai la mwanamke vinapokutana na kuungana kisha mimba kutungwa mpaka mtoto kuzaliwa.
Huu ni mfumo unao operate wenyewe kabisa na wala hakuna yoyote aliye uunda.
Vyote vimekuwepo milele.Hahh duh kwamba huo ndiyo mfano uliopata?
Sitaki kukupeleka mbali nakuuliza swali rahisi tu,.. kwenye huo mfumo uliotaja Kipi kilianza?,. Mwanaume/Mwanamke au Mbegu/Yai?
Uthibitisho upo wapi? au umeamua tu iwe hivyoVyote vimekuwepo milele.
Havijaanza.