Watoto ni matokeo ya ngono, Si zawadi wala baraka kutoka kwa Mungu!

Hapa ume introduce tena neno imagination naku link na imani.

Kama imani inasimama yenyewe kama imani, Imagination inatoka wapi kwenye imani?
Embu sema utofauti wa imagination na faith kwanza kabla hatujaendelea. Maana naona utaintroduce mjadala ndani ya mjadala. Tukubaliane kwanza utofauti tukishindwa tukubali kutokukubaliana.
Wewe sentensi yako ya kwanza si umesema mwenyewe kwamba, imani inasimama yenyewe kama imani?

Kwa nini una link imagination na imani?

Imagination ni imani?
Imagination: It can picture a better future, but it doesn’t demand commitment. It’s like sketching a house plan without ever laying bricks.

Faith: It begins with vision but insists on trust. Faith without works is “dead” meaning it collapses back into mere imagination.

Umeona mwingiliano kwanini nalink faith as faith without action na imagination?

Yaani ukiamini kesho utaamka bila kuwa na logic za kuthibitisha kuamka kwako kesho it means umeimagine kesho utaamka kabla hujaamka.

Huo ni upande wangu wa namna fikra zangu zinavyotafsiri hizo terminologies mbili.
 
Embu sema utofauti wa imagination na faith kwanza kabla hatujaendelea. Maana naona utaintroduce mjadala ndani ya mjadala. Tukubaliane kwanza utofauti tukishindwa tukubali kutokukubaliana.
Faith means complete trust, confidence, or strong belief in someone or something, often without needing physical proof.

Imagination is the mind's power to form mental pictures, new ideas, or sensory experiences of things that are not real, present, or previously experienced.

Imagination inahitaji physical proof ili iwe kweli. Kwa sababu unaweza ku imagine hata uongo.

Imani haihitaji physical proof. Kwa hiyo unaweza kuamini hata uongo.

Unaona utofauti hapa?
Imagination: It can picture a better future, but it doesn’t demand commitment. It’s like sketching a house plan without ever laying bricks.

Faith: It begins with vision but insists on trust. Faith without works is “dead” meaning it collapses back into mere imagination.
Imagination unaweza ku imagine hata uongo. Lakini ili imagination iwe kweli inahitaji physical proof.

Lakini imani yenyewe hata kwenye kitu ambacho ni cha uongo, haihitaji physical proof.
Umeona mwingiliano kwanini nalink faith as faith without action na imagination?

Yaani ukiamini kesho utaamka kabla hujaamka it means umeimagine kesho umeamka kabla hujaamka.
Kinachoanza ni imagination kwanza. Una imagine kesho utaamka. Lakini huna uhakika kwamba kesho utaamka.

Kwa sababu ume imagine tu kesho utaamka. Lakini huna uhakika kwamba kweli utaamka hiyo kesho.

Na ili imagination iwe kweli na ikamilike lazima physical proof iwepo. Ifike hiyo kesho uamke kweli.

Lakini imani unaweza kuamini tu, kesho utaamka Lakini usiamke na wala huitaji proof yeyote kwamba kweli uliamka au hukuamka. Kwa sababu imani haihitaji physical proof.
Huo ni upande wangu wa namna fikra zangu zinavyotafsiri hizo terminologies mbili.
 
Faith means complete trust, confidence, or strong belief in someone or something, often without needing physical proof.

Imagination is the mind's power to form mental pictures, new ideas, or sensory experiences of things that are not real, present, or previously experienced.

Imagination inahitaji physical proof ili iwe kweli. Kwa sababu unaweza ku imagine hata uongo.

Imani haihitaji physical proof. Kwa hiyo unaweza kuamini hata uongo.

Unaona utofauti hapa?

Imagination unaweza ku imagine hata uongo. Lakini ili imagination iwe kweli inahitaji physical proof.

Lakini imani yenyewe hata kwenye kitu ambacho ni cha uongo, haihitaji physical proof.

Kinachoanza ni imagination kwanza. Una imagine kesho utaamka. Lakini huna uhakika kwamba kesho utaamka.

Kwa sababu ume imagine tu kesho utaamka. Lakini huna uhakika kwamba kweli utaamka hiyo kesho.

Na ili imagination iwe kweli na ikamilike lazima physical proof iwepo. Ifike hiyo kesho uamke kweli.

Lakini imani unaweza kuamini tu, kesho utaamka Lakini usiamke na wala huitaji proof yeyote kwamba kweli uliamka au hukuamka. Kwa sababu imani haihitaji physical proof.
Sawa sawa mkuu.
 
Hii generation Mungu awasaidie mna traumas nyingi na imani haba
 
Kama ngono ni burudani, kwa nini unavaa kondomu kuepusha mimba?

Huoni kwamba unakwepa kuleta watoto kupitia ngono ndio maana unatumia kondomu?

Ili ngono iwe burudani lazima mjikinge kwanza msilete watoto. Ili mui enjoy kumwagia kwa ndani.

La sivyo! Ukimwagia ndani, Gudubai.
Nini maoni yako juu ya mfumo mzima wa uzazi? Je, inatosha akili yako kuhitimisha kwamba mfumo huo umejiweka tu kwa bahati mbaya?

Engineering ya mfumo mzima wa ngono na kuzaliana unauonaje? umetokea by coincidence? Sawa!!

Huoni kwamba kuna utaalamu umetumika kuweka hiyo mifumo mzee? 🤣 ,....
 
Ikiwa mifumo tata inahitaji muumbaji, basi muumbaji naye anahitaji muumbaji aliye tata zaidi.

Hilo linapelekea msururu mrefu usio na mwisho wa waumbaji, ambapo kila mmoja anakuwa tata zaidi kuliko aliyemtangulia.

If complex systems require a creator then creator requires a more complex creator that imply an infinite chain of creators that get more and more complex.
Engineering ya mfumo mzima wa ngono na kuzaliana unauonaje? umetokea by coincidence? Sawa!!

Huoni kwamba kuna utaalamu umetumika kuweka hiyo mifumo mzee? 🤣 ,....
Hata huo utaalamu hauwezi kuwepo wenyewe by coincidence.

Hapa sasa tunarudi kwenye infinite regress of causes.

An infinite regress of causes is an endless chain of events where every cause has its own prior cause going back forever. There is no first event, no start, and no uncaused beginning.
 
Hii generation Mungu awasaidie mna traumas nyingi na imani haba
Mungu huyo angekuwepo, Traumas na imani haba zisingekuwepo.

Kwa sababu uwepo wa Mungu huyo, ungefuta utata wa imani haba. Kila mtu angejua Mungu huyo yupo kwa uhakika kabisa bila imani haba.

Lakini Mungu hayupo na hakuna anayeweza kuthibitisha yupo, Ndio maana kuna imani haba kuhusu uwepo wa Mungu huyo.

Pia kuna Traumas nyingi kwa sababu watu wamwaminio Mungu huyo, hawapati matokeo ya vile wanavyo muomba Mungu huyo. Kwa sababu Mungu huyo wamwaminio hayupo. Watu wana amini kitu ambacho hakipo.

Sasa ukiamini kitu ambacho hakipo kikuletee matokeo, usipopata matokeo uliyoyatarajia, lazima watu wawe na Traumas.
 
Ukweli ni kwamba maombi mengi hayajibiwi kutokana na matendo yetu.Uzinzi uasherati fitna wivu uwizi na mengineyo.Hauko tayari kubadilika vile Mungu anataka ila upo tayari kupokea.Pia Mungu anataka umpende kutoka moyoni sio sababu ya vitu atoavyo angekuwa anagawa utajiri dhahabu fedha nk kila mtu angejiita ni muanifu kwake na hakuna ambaye angekosa ibada wala kutenda dhambi kwa hofu angekosa hizi faida But it’s your choice kumfuata kumpenda na kufanya anayoamuru au kuishi maisha yako
Kwa maelezo haya ukisema Mungu ni myth,vilevile itapaswa uamini uchawi ni myth kitu ambacho unajaribu kujidanganya
Pia ukiandika hivi kutaka uthibitisho kuwa yupo nachelea kusema hautapata ishara yeyote kutoka kwake.Ila nikukumbushe wapo wanaofanikiwa kwa sala,wapo wanaopona kwa sala na matatizo mengineyo mimi ni mmoja wapo nimeuona wema wa Mungu na pia nimeona ubaya wa nguvu za giza
 
Ukweli ni kwamba maombi mengi hayajibiwi kutokana na matendo yetu.Uzinzi uasherati fitna wivu uwizi na mengineyo.
Mungu ambaye mnadai kwamba ni muweza wa yote, angeweza kuumba binadamu wema tu, watakao mtii na kutenda matendo mema siku zote na wakati wote.

Sasa huyu Mungu wenu alishindwaje kufanya hivyo?
Hauko tayari kubadilika vile Mungu anataka ila upo tayari kupokea.Pia Mungu anataka umpende kutoka moyoni sio sababu ya vitu atoavyo angekuwa anagawa utajiri dhahabu fedha nk kila mtu angejiita ni muanifu kwake na hakuna ambaye angekosa ibada wala kutenda dhambi kwa hofu angekosa hizi faida But it’s your choice kumfuata kumpenda na kufanya anayoamuru au kuishi maisha yako
Kwa maelezo haya ukisema Mungu ni myth,vilevile itapaswa uamini uchawi ni myth kitu ambacho unajaribu kujidanganya
Pia ukiandika hivi kutaka uthibitisho kuwa yupo nachelea kusema hautapata ishara yeyote kutoka kwake.Ila nikukumbushe wapo wanaofanikiwa kwa sala,wapo wanaopona kwa sala na matatizo mengineyo mimi ni mmoja wapo nimeuona wema wa Mungu na pia nimeona ubaya wa nguvu za giza
Hakuna Mungu.

Hakuna nguvu za giza.

Hakuna uchawi.
 
Mungu ambaye mnadai kwamba ni muweza wa yote, angeweza kuumba binadamu wema tu, watakao mtii na kutenda matendo mema siku zote na wakati wote.

Sasa huyu Mungu wenu alishindwaje kufanya hivyo?

Hakuna Mungu.

Hakuna nguvu za giza.

Hakuna uchawi.
Jukumu la kuwa mwema ni la kwako au la Mungu?Umeambiwa usilale na mwanamke asiye mke wako umemchukua mke wake tatizo like kwako au Kwa Mungu?Leo umeamua kula nyama za watu,kubaka watoto wadogo au kulawiti tatizo ni lako au la Mungu
 
Kama unadai Mungu ndiye muumbaji wa binadamu, Kwa nini Mungu aruhusu binadamu awe na uwezo wa kutenda mabaya?

Wakati Mungu huyo alikuwa na uwezo wa kutoruhusu binadamu asifanye mabaya tangu mwanzo?

Huyo Mungu kama kweli yeye ni muumbaji wa binadamu, alikuwa na uwezo tangu mwanzoni wa kuweza kumfanya kiumbe binadamu atende mema tu, Sasa alishindwaje kufanya hivyo?
 
Ni kweli watoto ni zao la ngono
mfano watoto wa fisi au mbuzi utasema ni baraka za nani?
Hapa duniani viumbe vyote vinajamiana na matokeo yake ni watoto!
 
Watoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote.

Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke mgumba wa mchungaji anatafuta mtoto kwa muda mrefu. Na mimba haishiki.

I'm out.
Wewe ni mjinga,mpuuzi na zuzu haswaaaa
 
Back
Top Bottom