Psalm_23
JF-Expert Member
- Aug 18, 2026
- 2,760
- 5,144
Yesu kristo aliye hai.Yupi?
Yesu kristo aliye hai.Yupi?
Kila siku tunaona watu wenye afya njema wanalala na kuamka. kuamini kwamba nikikaa kwenye kiti sitaanguka ni kwa sababu binadamu tayari tuna uzoefu huo na uthibitisho upo. Watu zaidi ya bilioni nane wanalala na kuamka kila siku, huo ni uthibitisho.Mkuu, embu tuache mbwembwe za thibitisha hili, thibitisha lile, hakuna anayeishi nje ya imani mpaka sasa.
Mfano, wewe unavyopanga mipango ya kesho unatumia Logic gani kuwa utaamka? Si unaamini tu kuwa utaamka? Ukiambiwa tumia logic kuthibitisha kuwa utaamka huwezi, sasa ukishindwa kuthibitisha wewe ni kichaa sababu unapanga mipango ya siku ambayo huna hakika kama utakuwepo?
Kama ambavyo unaamini pasipo shaka kuwa utaamka mpaka unapanga mipango na ukiambiwa uthibitishe kuwa utaamka huwezi ndivyo hivyo anayeamini MUNGU anaamini yupo na hawezi thibitisha Kwa kutumia logic kuwa yupo.
Halafu, Imani ile ile aliyokuwa nayo muamini MUNGU na miujiza ya kuwezekana yasiyowezekana ni imani hiyo hiyo aliyonayo mzungu mvumbuzi kabla hajavumbua. Wote wanaona uwezekano wa kitu ambacho wengine wanaona hakiwezekani. Tofauti ni mmoja alitafuta namna ya kuonganisha imani yake katika ulimwengu wa fact na logic na mwingine alikaa tu akitegemea muujiza.
Umeambiwa mgumba, kwani akili hua mnaziweka wapiAya ya kwanza na ya pili vinapingana. Kama ni matokeo ya ngono mke wa mchungaji ingeshika tu maana anafanya ngono.
Suala la MUNGU ni la kiimani, wapo wanaosali kupata mtoto na wanampata baada ya miaka mingi ya kufanya ngono bila mafanikio.
Let's say una kuku 1000 bandani wa kisasa, the fact kuwa wamekuwa wakiishi kila siku kwa wiki tatu wameprove kwamba wataishi wiki ya 4 baada ya wewe kupata soko lao sababu kwa idadi yao wote walikuwa wakiishi?Kila siku tunaona watu wenye afya njema wanalala na kuamka. kuamini kwamba nikikaa kwenye kiti sitaanguka ni kwa sababu binadamu tayari tuna uzoefu huo na uthibitisho upo. Watu zaidi ya bilioni nane wanalala na kuamka kila siku, huo ni uthibitisho.
Hapo sasa umekimbilia weakness za imani fulani. Mimi naongelea imani siyo imani ya dini fulani.Kuhusu mungu(hususani Abrahamic god) sio suala la uthibitisho tu ni pamoja na contradictions zake ndio tatizo lilipo. Mnaomuamini mnasema ana nguvu zote, anaponya magonjwa, anajua kila kitu n.k Ushahidi wa Dunia unapingana na hizi sifa zake.
Labda zako ni nyingi sana kunizidi mkuu. Hakuna namna zaidi ya kuwapuuza wasio na upeo wa level zako.Umeambiwa mgumba, kwani akili hua mnaziweka wapi
Siku hizi watu mpo sensitive sana, inafikirishaLabda zako ni nyingi sana kunizidi mkuu. Hakuna namna zaidi ya kuwapuuza wasio na upeo wa level zako.
Kumbe? Hata hivyo sikuwepo kipindi hiko no commentYesu kristo aliye hai.
Kwani lazima uwepo?Kumbe? Hata hivyo sikuwepo kipindi hiko no comment
Sio lazima ndiomana pia siamini.!!Kwani lazima uwepo?
Ooooh! sikujua hilo!Sio lazima ndiomana pia siamini.!!
Sijawa sensitive, nimerespond.Siku hizi watu mpo sensitive sana, inafikirisha
Hiyo inaitwa "intuition" na ni sehemu ya brain processes, sio faith.Let's say una kuku 1000 bandani wa kisasa, the fact kuwa wamekuwa wakiishi kila siku kwa wiki tatu wameprove kwamba wataishi wiki ya 4 baada ya wewe kupata soko lao sababu kwa idadi yao wote walikuwa wakiishi?
Bado hii sio Logic, ni imani. Watu B 8 wanaamini kuwa wataamka ila wote hawawezi thibitisha kuwa wataamka.
🤔 AiseeeSijawa sensitive, nimerespond.
Kuna namna ambavyo umeielewa hoja kwa kiwango cha kuona uelewa wangu kwenye hoja husika umekuwa mdogo. Katika hayo mazingira nina option mbili,
1. Nikuelezee msingi wa hoja yangu
2. Tukubali kutokukubaliana
Nimeenda na option ya pili, labda ni mtindo tu niliotumia ndo umekufanya uone ni kuwa sensitive.
Sawa.Hiyo inaitwa "intuition" na ni sehemu ya brain processes, sio faith.
2 years old.Umri wako ?
Mungu hayupo.Mungu wa kweli ni yupi ?.
Maraisi wana apa kwa kushika Biblia na msaafu kulingana na imani zao tu.Ni tofauti na yule viongozi kama Raisi kwa mfano wanaemwapia wakiwa wanatawazwa kushika madaraka? Kwanini huwa wanaapa kwa biblia au msaafu?
Ukiweka imani ya kwenda Ulaya bila Passport na bila visa inawezekana kwa imani au in reality haiwezekani?Hazipo kwa wasio amini kama wewe. Ila kwa anayeamini anaamini. Reality ni neno Pana sana, halifungwi na mipaka ya logic za wakati husika pekee. Ukumbuke, ni binadamu wanaoweza kugeuza hallucinations kufanya kazi kwa logic na facts ndo huitwa wavumbuzi.
Sawa tuachane na huyo Mungu kwanza, je unaamini au kukubali kwamba, ulimwengu una creator?Mungu hayupo.
Imani bila matendo ni Bure.Ukiweka imani ya kwenda Ulaya bila Passport na bila visa inawezekana kwa imani au in reality haiwezekani?