Mkuu, kuwa timamu ni kufungwa na logic na facts za wakati uliopo kutegemeana na elimu tuliyokuzwa nayo ila faith ni part of nature na ni ufunguo muhimu sana kwa yasiyowezekana yawezekane.
Imagine mlokole nyakati ambazo simu hazipo anawaambia kwenye ibada, kiimani kuwasiliana na mtu aliyepo hata km 1000 bila kumfikia inawezekana halafu wewe na mimi tuliofungwa na logic za nyakati hizo tunamsikiliza.
wakati tunamshangaa mke wa mchungaji anayeamini anaweza kupata mimba bila uterus, imani hiyo hiyo akiwa nayo binadamu sahihi baada ya miaka kadhaa inakuja tech ambayo mwanamke asiye na uterus anashika mimba then tunaikubali na kuiingiza kwenye logic na facts za ubongo wetu.
Faith ni jambo zuri, beautiful kabisa kwa mwanadamu sema ni namna tu anavyoitumia ndo inaleta utofauti, watu weupe wamefanikiwa sana kupitia faith, sababu ya kuunganisha faith na ulimwengu wa logic na fact then ile faith ikaexist kwenye ulimwengu huo.