Watoto ni matokeo ya ngono, Si zawadi wala baraka kutoka kwa Mungu!

Watoto ni matokeo ya ngono, Si zawadi wala baraka kutoka kwa Mungu!

Halafu nimesahau kuweka warning. Ndomana huwa na avoid ku quote watu.

"My comment has little to do with your comment"
Unachekesha mkuu🤣🤣 dont take it personal mimi napinga kama hakuna ndoa takatifa yangu mboba ni takatifu mkuu🤣🤣
 
Unachekesha mkuu🤣🤣 dont take it personal mimi napinga kama hakuna ndoa takatifa yangu mboba ni takatifu mkuu🤣🤣
Nimesema pia ndoa takatifu zipo.

Comment yangu iache kama ilivyo wala sikui direct kwako.

Message sent and delivered.
 
Mbona ni mtu yule yule aliyejificha katika Ids zaidi ya mbili tofauti?

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Kwa hiyo watu wakiwa na mitazamo sawa basi inageuka kuwa mtu mmoja yuleyule?

Mbona chawa "TlaahTlaah" hamsemi ni Lucas Mwashambwa?

Maana wote wana mitazamo sawa ya kumsifia Rais Samia.

Kwa nini kwenye siasa mnaona sawa kuwa na watu wenye mitazamo sawa. Ila kwenye suala la Mungu mnaona Jamii forums nzima Atheist ni Kiranga peke yake?

Kina Scars na Demi na wao ni Kiranga?
 
Taaluma inanizuia kutoa sili za wateja ila ningewataja kwa majina maana nafanya Hiphop.
Kumbe ni wateja! Hapo lazima utaona ni wengi, ukiwa muuza kitimoto unaweza kufikiri Waislamu na Wasabato wengi sana wanakula kitimoto. Angalia wanawake wa mtaani kwako, marafiki na ndugu ni wangapi wanataka watoto hawapati ndipo utakua ni wachache sana.
 
Hapo ndo hujatumia akili.
Kuna wasabatho na waislam wengi sana wanakula kitimoto ila hawatembelei mabucha na vibanda vya kitimoto. Wanaotembelea site ni wachache kuliko wahanga.
Hivyo hoja yako ni vice versa.
 
Acha kujisumbua na asikuchoshe

Mara nyingi maisha ya mtu ya wakati huu yanaamuliwa na waliopita

Wazee wa nchi hii hawakutaka udini na ukabila na sisi ni matokeo ya mitazamo yao

So usishangae kuona nyufa zinavunja.!

We sema mwenye kwenye jamii mpika kongoro mama Amina ila mpika vitumbua mama John na kobaz wananunua na kula bila shaka kuwa futa la noah limetumika🤗
 
Bora umenisaidia.
 
Mtu akiweka imani kwamba akiruka kutoka ghorofa ya kumi mpaka chini hatoumia wala kufa, Hii imani yake inakuwa kweli?
Ndiyo, akiruka kiimani hafi as long as hajatoka nje ya mambo ya kiroho.
Maana unasema hakuna uongo ndani ya imani.

Mtu akiweka imani ya kwenda Ulaya bila Passport, bila pesa na bila visa kama wale wasabato wa kipindi kile, inawezekana kweli?
Ndiyo, unless achanganye Imani na logic za sayansi. Mfano aseme anaamini anaenda ulaya kiroho halafu anataka passport, passport ni sayansi sio mambo ya rohoni.

Ushasikia hadithi za wachawi wanaoamini wanapaa na ungo? Umewahi sikia wakikata tiketi stand za mabasi live bila pesa?
Unakumbuka wale wasabato waliotaka kwenda kuhubiri injili ulaya bila visa wala Passport?

Wakaweka imani kwamba Mungu atawavusha.

Hii imani unaona ina ukweli?
Ndiyo, ilikuwa na ukweli ndo maana wakaenda airpot ila imani yao iliingia dosari baada ya kutaka kutumia airport, hapa wakahama kwenye imani wakaja kwenye sayansi. Ndege ni sayansi.
 
Hujaelewa soma tena.
Kama mtoto ni baraka/zawadi basi malaya asingestahili kwa maana haitaki.
Baraka sio universal. Ni kwa anayeamini.
Mke wa mchungaji mtu safi alistahili lakini hana kwa sababu yeye si fertile.
Hoja ni Watu fertile wakigusanisha wakati sahihi lazima kiumane hakuna haja ya baraka, dhambi wala maombi.
Mke wa mchungaji anayeamini halafu hazai basi ana majaribu ya kiroho. Avumilie ataenda mbinguni. Elewa mambo ya imani boss. Siku zote hayakosi jibu, yana njia mbadala na hayafati sheria za logic.
 
Ndiyo, akiruka kiimani hafi as long as hajatoka nje ya mambo ya kiroho.
Ndiyo, unless achanganye Imani na logic za sayansi. Mfano aseme anaamini anaenda ulaya kiroho halafu anataka passport, passport ni sayansi sio mambo ya rohoni.

Ushasikia hadithi za wachawi wanaoamini wanapaa na ungo? Umewahi sikia wakikata tiketi stand za mabasi live bila pesa?

Ndiyo, ilikuwa na ukweli ndo maana wakaenda airpot ila imani yao iliingia dosari baada ya kutaka kutumia airport, hapa wakahama kwenye imani wakaja kwenye sayansi. Ndege ni sayansi.
Sasa hii imani ni hallucinations ambazo in reality haiwezekani na wala hazipo.
 
Sasa hii imani ni hallucinations ambazo in reality haiwezekani na wala hazipo.
Hazipo kwa wasio amini kama wewe. Ila kwa anayeamini anaamini. Reality ni neno Pana sana, halifungwi na mipaka ya logic za wakati husika pekee. Ukumbuke, ni binadamu wanaoweza kugeuza hallucinations kufanya kazi kwa logic na facts ndo huitwa wavumbuzi.
 
Back
Top Bottom