Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,666
- 11,789
Injili lazima itembeee😂🔥Imebidi nicheke best halafu kumbe mseminari kama mimi aisehh
Injili lazima itembeee😂🔥Imebidi nicheke best halafu kumbe mseminari kama mimi aisehh
Ndo tunaitwa unwanted babysNa inawezekana wengi wetu tumezaliwa bila mimba zetu kupangiliwa, zimejikuta zimeingia tu wakati wa starehe.
Upo sawa kwa mujibu wa ufaham wako, pia hata wenye ufaham kua ni baraka/zawadi toka kwa Mungu wapo sawa pia, kwa sababu nishati ndo chanzo cha kila kitu, japo imepewa title tofauti tofauti kulingana na tofauti za kiufahamWatoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote.
Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke wa mchungaji anatafuta mtoto kwa muda mrefu. Na mimba haishiki.
I'm out.
Sara alipata mtoto uzeeni na alikuwa mgumba lakini alipataMtu yeyote afanyae ngono huweza kuleta mtoto.
Mke wa mchungaji anaweza kuwa mgumba lakini akawa na imani kwamba atapata mtoto kwa uweza wa Mungu.
Kumbe hakuna Mungu anayetoa uwezo wa kupata mtoto.
Kama mke wa mchungaji ni mgumba, Atabaki mgumba hivyohivyo, Imani yake kwa huyo Mungu haiwezi kumpatia mtoto.
Wana haki ya kula, kuvaa, kwenda shule; hapo lazima mtu aumie.Ndo tunaitwa unwanted babys
Hao watu wa zamani tunaoambiwa waliokuwa wanaishi miaka 900 uzee wao ulikuwa unaanzia wapi?S
Sara alipata mtoto uzeeni na alikuwa mgumba lakini alipata
Watoto ni Baraka: Biblia inasema watoto ni urithi kutoka kwa Bwana (Zaburi 127:3) na wanapaswa kulindwa.Waliopata mtoto kwa kubakwa je ?
🤣🤣🤣best hii ya leo aliokuja nayo anajikana hata yeye mwenyewe anajiona sio baraka ni laana, kashaanza kuchanganyikiwa🤣🤣Injili lazima itembeee😂🔥
😂😂hajaanza za thibitisha?!🤣🤣🤣best hii ya leo aliokuja nayo anajikana hata yeye mwenyewe anajiona sio baraka ni laana, kashaanza kuchanganyikiwa🤣🤣
Ndio ndio.Basi tuseme kupata mtoto hakuangukii kwenye ngono wala imani ya kiMungu ... ni probability tu ya mwili/bahati
Kupatikana kwa mtoto hakutegemei Mungu wala mganga.Kuna wanaofanya ngono wanaenda mpaka kwa waganga hawapati mtoto hilo unazungumziaje?
Kwa unavyoelewa jinsi mimba inapatikana wewe unajua kila siku mwezi mzima mwanamke akimwagiwa ndani anapata mimba si ndiyo?Kama ngono ni burudani, kwa nini unavaa kondomu kuepusha mimba?
Huoni kwamba unakwepa kuleta watoto kupitia ngono ndio maana unatumia kondomu?
Ili ngono iwe burudani lazima mjikinge kwanza msilete watoto. Ili mui enjoy kumwagia kwa ndani.
La sivyo! Ukimwagia ndani, Gudubai.
Mambo yote yapi hayo?Hahahahaaaa
Nayaweza mambo yote katika YEYE anitiaye nguvu!
Utajuaje mwanamke yupo kwenye siku zake bila yeye kuamua kukwambia?Kwa unavyoelewa jinsi mimba inapatikana wewe unajua kila siku mwezi mzima mwanamke akimwagiwa ndani anapata mimba si ndiyo?
Okay umekwepa kujibu. Swali jingine hili hapa.Utajuaje mwanamke yupo kwenye siku zake bila yeye kuamua kukwambia?
Akikuficha ili akutegee mimba, Wewe mwanaume utajuaje ili usimwagie ndani?
Dhana ya kufikirika tu.Ndiyo nini?
Wana option.Okay umekwepa kujibu. Swali jingine hili hapa.
Kwahiyo wewe unachomaanisha binadamu kwenye sex hawan option kama wanataka kuzaa au kuburudika?
Hicho ndicho kinatutofautisha na wanyama. Na hapa siyo wanyama wote wengine hufanya kama burudani pia.Wana option.