Wanafunzi wa Shule ya msingi Nduweni Kata ya Tarakea motamburu wilaya Rombo wamemshukuru Mbunge wa jimbo la Rombo Prof Adolf Mkenda ambae pia ni Waziri wa elimu sayansi na Teknojia nchini kwa zawadi za fedha kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo kwa mwaka 2024
Akizungumza kwa niaba ya...
Habari za mda huu Wana michezo Kila ukiangalia squad ya yanga akiwa anacheza Champions league kuanzia mechi ya kwanza na Al HILAL naona jina la zawadi MAUYA
Nikajua maybe ni kosa la AZAM TV mechi ya juzi na MC ALGER pia jina Hilo limejitokeza
Je yanga mambo yao yanaendeshwa kihuni tu bila...
Kuna jambo limekuwa linanitatiza muda mrefu. Embu wadau nielewesheni.
Mfano jackpot ya Sportpesa inasema jackpot ni 1.2B, ila kuna zawadi kwa kupata mechi 16/17 hadi 12/17 na zawadi zinatajwa. Cha kushangaza, ukija kuangalia matokeo na zawadi zilizotolewa ni kiduchu sana kulinganisha na ile...
Naibu Kamishna Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA - Zanzibar Bw. Saleh Haji Pandu amesema wataendelea kuvilea vilabu vya kodi mashuleni ili kuwaandaa watoto kuwa walipokodi wazuri wa baadae na kuwa mabalozi kwa jamiii juu ya ulipaji kodi kwa hiyari.
Bw. Pandu ameyasema hayo tarehe 23/11/2024 kabla...
Leo mahsusi kwa wanaume,
Usije kujaribu kuwekeza pesa , akili , muda kwa mwanamke ni kosa kubwa unafanya,
Mwanamke toka anaumbwa Hana roho ya kuridhika na hatokuja kua na roho ya kuridhika,
Kwenye 10 utapata mmoja au asiwepo kabisa , na hii ni mwanamke awe mfanyabiashara, mkulima, Msomi, yaani...
zama za usiombe kukutwa na bwana pepsi tumezimiss..siku hizi hata bia hazikai mwezi kiwandani means watu tunakunywa sana sasa kweli mnashindwa kubuni namna ya kurudisha faida kwa jamii kwa kutuweke ka mchezo cha kusaka bonus..muhindi anatukula kwenye betting ilipaswa kidogo mtufariji kwa...
Wanabodi,
Hili Kampuni kubwa la Mafuta nchini Tanzania kuliko makampuni yote, linaendelea kutandaza wema wake kwa Watanzania, sasa linajenga ukuta kuizunguka shule ya Ubungo Makuburi.
Dar es Salaam, Octoba 30, 2024 Na Mwandishi wetu Shule ya Msingi Ubungo Makuburi, Kujengewa Uzio Na...
Mafundisho ya dini yana favour sana upande wetu wanaume. Vipi kuhusu wanawake? Mbona wao hawaongeleki?
Baada ya kufika mbinguni na bus la Isamilo Express, tutapokelewa na malaika ambao watatulaki na kutufungulia lango la mbingu. Wanaume safi akiwemo mimi ambao tunachakata mbususu kwa staha kwa...
Tumeshuhudia anguko la goodluck gozbert baada ya kupokea zawadi kutoka Kwa nabii mkuu ..tutarajie Nini baada ya dada yetu mpendwa shusho kupokea million kumi kutoka Kwa nabii mkuu pamoja na dada yetu huyo kusemekana kuishi kinyumba Kwa muda na mtume maarufu wa kuuza mafuta ya upako... Jamani...
Tumeshuhudia anguko la goodluck gozbert baada ya kupokea zawadi kutoka Kwa nabii mkuu...je tutarajie Nini kutokea baada ya dada yetu mpendwa shusho kupokea million kumi Kwa nabii mkuu pamojaa na kusemekana kuishi kinyumba na mtume maarufu wa kuuza mafuta ya upako
Ila spiritual life is real ...
Kampuni ya Coca-Cola Tanzania imezindua kampeni maalum inayowalenga wateja wa migahawa ya KFC jijini Dar es Salaam, ambapo wanapata fursa ya kujipatia zawadi mbalimbali lakini pia kushiriki Tamasha la Chakula la Coca-Cola linalotarajiwa kufanyika Novemba.
Kampeni hii, iitwayo ‘Food Pass’...
Kila mwaka tarehe 30/9 dunia inaadhimisha siku ya Tafsiri duniani.
Siku hii ilianzishwa ili kumuenzi Mtakatifu Jerome aliyefariki tarehe 30/9/420. Huyu alifanya kazi kubwa ya kufasiri biblia na hujulikana kama baba wa watafsiri/wafasiri.
Chukua zawadi yako hapo. Usisahau kuinstall app ya...
Epuka kubonyeza 'link' za matangazo ya Zawadi uwapokuwa unapokuwa kwenye tovuti mbalimbali kwani ni njia inayotumika na Wadukuaji kupata taarifa zako binafsi kwa ajili ya utapeli.
Ikiwa umegusa epuka kujaza taarifa zao binafsi kama barua pepe, password, majina kamili, taarifa za Kibenki, mwaka...
Uwapo kwenye Tovuti (website) Usifungue matangazo ya Zawadi wala kujaza taarifa zako kwenye Tovuti usiyoiamini
watu wengi wamekuwa wakirubuniwa na Matangazo ya Zzawadi yanayo onekana kwenye Tovuti.
Wanapoyagusa yanawahitaji kujaza taarifa zao Binafsi kama Email, passowrd, Majina kamili...
Wakuu,
Hawa viumbe mungu kawaumba tofauti,
Hata umfanyie shopping na kumfurahisha kwa gharama yyte ile lakini kama hukumlipa hela anayokudai hata kama ilikua ni elf 1. Hamuelewani
We mpe mnunulie simu, mnunulie gari lakini kama anakudai Bado hujasema.
Chamsingi anza kulipa deni lake ndo...
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya kuuza magari yaliyotumika kutoka Japan ya Kobe Motor,imetoa zawadi mbali mbali kwa wateja wake ikiwa ni sehemu ya kuimarisha uhusiano na wateja pamoja na kusherehekea mafanikio yake.
Ikiwa ni moja kati ya makampuni makubwa ya Kijapan yanayoongoza kwa kuuza magari...
Kwa maono yangu Tanzania tuitakayo kuna baadhi ya vitu vinahitajika kuongezwa na vingine kuondolewa kwenye sekta ya Elimu. Mfano mitaala ya Elimu ya sasa haimuandai mwanafunzi muhitimu, kupata ujuzi ambao anaweza akauhamisha kutoka kwenye maandishi kwenda kwenye vitendo ili kutatua matatizo ya...
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amekabidhiwa jogoo ikiwa ni ishara ya kumpongeza kwa juhudi kubwa za urejeshaji wa mawasiliano ya Barabara katika eneo la Tingi – Kipatimo na Barabara Kuu inayounganisha mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara.
Zawadi hiyo imetolewa leo Mei 29, 2024 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.