Yubera wochi yua bakiHabari zenu wakuu.
Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni mgonjwa au ana changamoto yoyote.
Sasa unaenda kufanyaje kama hujaitwa? Usipomkuta.? Subiria krismas wageni wanakuwa wengiKwenda kwa watu mikono mitupu aibu mkuu, ukizingatia hujaitwa 😁😁
Itapendeza sanaAu sio 😁
Asante mkuuZawadi inakiwa iwe simple but thoughtful,wewe ndio unajua huyo mtu ana interests gani,.
Notes ya kuandika kwa mkono,kitabu,music box,.picha ya athlete anae mpenda,
Or ungeuliza wadau humu waseme zawadi gani waliwahi kupewa na wapendwa wao walifurahia and hadi leo wanakumbuka ..
For me it was the food,kuna sister alikua rafiki yangu yeye ni Muslim,mimi Christian,Ramadan moja alisema kwao atapika futari mwezi mzima and siku zote muda wa kufuturu ataniletea futari..
Moja ya zawadi nzuri siwezi sahau but siku moja kapika mihogo na dagaa like girl wtf
😁😁😁 Nimeipenda U-turn yakoAnko niache bwana 😁😁😁 na ulevi wako
Nashukuru Mungu sana ameniona maana sijui hata ningekuwa nawabebea nini watu.Hapo kwenye tuvitu ndio palikuwa patamu sema upishi meyo 😁😁