Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Accessories km saa, hereni bracelet, perfume.....
Hahaaa!!Sio wa kishua kihivyo 😁😁 wanaweza wakaweka kwenye banda la kuku
Sawa mwambie akupe connectionNitampigia simu kumuuliza kama yupo. Halafu ninaposema ndugu sio wale wa mjomba wake shangazi alioa binamu yake....they are family 😁
Ujue watu wenye hela wana kiburi sana!Habari zenu wakuu.
Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni mgonjwa au ana changamoto yoyote.
Ni wazo zuri ila muda ni mchacheKama wapo kwenye social media na wanazo picha zao chagua picha peleka fine art kwa wachoraji artist iweke kwenye fremu nzuri uwapelekee zawadi gharama yake inaweza isizidi laki Moja halafu uje ulete mrejesho.
Kuna watu hata hawajafiki level hizo ila wana kiburi balaa 😁😁Ujue watu wenye hela wana kiburi sana!
Kuna ndugu niliwahi mmbebea matunda akaniuliza hayajapigwa sumu ? Nikabaki nna duwaa akaniambia wamezoea kulima matunda yao wenyewe bila kupiga sumu ,nikaishia kurudi na matunda yangu.
Hao nnaokuambia na wale wanakula kila kitu kwa umma na kisu ukila kwa mkono wanakushangaa
Asante mpendwa. Pia nimefurahi kukuonaKitu simple kinachoendana na vitu apendavyo,
Kuna jamaa ana uwezo wa kati tu, ukienda kumtembelea beba wine au whisky anafurahia sana, na kanuni yake haendi kwa mtu mikono mitupu hata km ni kilo ya sukari atambebea,
Jambo zuri sana kumsalimia mtu na kumbebea zawadi hata ikiwa ndogo ila inagusa nafsi ya muhusika na family yake, so do it.
Thank you khantwe, love youAsante mpendwa. Pia nimefurahi kukuona
Nilitoka kusini hadi home kanda ya ziwa nmebebelea korosho kama kilo 2,nmewapelekea wazee cha kushangaza walikula kidogo tu.Korosho.
🤣🤣🤣 Nilikuwa nawaza hivi pia lakini naona kama nitatia aibu