Bwana Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 4,401
- 9,555
Tajiri mimi we niletee ganja ile ya shamban zi zawadi kubwa sana
Njoo nikuuzie jogoo mkuuWazo zuri ila kuku wa kienyeji katikati ya jiji unampataje?
Niliwaza kitenge pia ila daah 😁😁 sijui taste za mtu naweza kujita naishia kusengenywa.Angalia kitu ambacho kinaweza kumwachia kumbukumbu, lakini zingatia jinsia yake na umri pia
Haiwezekani unamtembelea Mwanaume Mzee wa umri wangu, then unaniletea zawadi ya jinsi ambayo kuvua hadi uite majirani
Kama ni mwanamke unaweza mpelekea kitenge/khanga, viatu, saa ama ukampelekea debe la mchele n.k
Kama ni Kijana wa Kiume, unaweza mpelekea saa ya kisiasa, mkanda, ama raba n.k kutegemea na uwezo wako
Zawadi ni nzuri kupeana, huonesha jinsi mmavyojaliana
Ndiyo maana huko Duniani wametenga siku ya kupeana zawadi "World Gift's day"
Ngoja na mimi nichekeche kichwa naweza kwenda mikono mitupu 🤣🤣 au nikiona sielewi siendiZawadi Ni Wewe Mgeni Wao Inatosha,,Si Unoana Hadi Zawadi Ya Kwenda Nayo Unaumiza Kichwa Hadi Kuja Kuuliza Humu,,Mimi Kanuni Yangu Nikiwa Naenda Kwa Aliye Nizidi Sibebi Zawadi Kamwe,,Bali Huwaga Nahakikisha Mimi Ndio Natoka Na Zawadi Kwao...
Kama upo Dar unawapata soko la Kisutu hapo wazima kabisa.Wazo zuri ila kuku wa kienyeji katikati ya jiji unampataje?
Asante. Ingawa sipo kote hukoKama upo Dar unawapata soko la Kisutu hapo wazima kabisa.
Kama unatoka Lumumba unaenda soko la Kisutu kabla hujavuka Bibi Titi Road jirani na City Mall.
Ikiwa maeneo karibu na Mwenge au Shekilango masoko ya maeneo hayo wapo kote.
Kama upo Mwanza, Arusha, Dodoma zipo sehemu wadau watakujuza.
Kitenge ni zawadi nzuri pia, anaweza kukishona kwaajili yake ama na watoto zake hasa kama ana vitoto vya kikeNiliwaza kitenge pia ila daah 😁😁 sijui taste za mtu naweza kujita naishia kusengenywa.
Naamini mikoa yote bara na visiwani kuna sehemu wapo hasa masokoni.Asante. Ingawa sipo kote huko
Yule mzungu alipatiwa zawadi ya ngao ya TUZO ya heshima kwa kumfundisha injili,pia alipewa zawadi ya shati la batiki haya ya culture ya kiafrika kama aliyokuwa anavaa mpoto LENYE picha ya bendera ya Africa.
Na keki tukakata keki..kumshukuru kwa kutufundisha injili ya NENO la MUNGU.
Beba kuku hata watatu wa kienyeji, Michele hata kilo 50 na ndizi mzuzu na maparachichi. Kwetu unyakusani hapo umemalizaHabari zenu wakuu.
Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni mgonjwa au ana changamoto yoyyoyote
Mnunulie kitabu cha 48 laws of power.Habari zenu wakuu.
Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni mgonjwa au ana changamoto yoyote.
Ngoja na mimi nichekeche kichwa naweza kwenda mikono mitupu 🤣🤣 au nikiona sielewi siendi
Wapi
[/QUO
Hapa Napa njini mkuu
Gaza strip