Hivi win-one upo wapi?Naona vichwani tunawaza mifugo tuš
Hivi win-one upo wapi?Naona vichwani tunawaza mifugo tuš
Rejea ya Zanzibar na ZimbabweHabari zenu wakuu.
Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni mgonjwa au ana changamoto yoyote.
Kama ni mtu wa Iringa kama mimiNdio manini
Haya mambo ya wahenga, watoto wa siku hizi hawaelewi hzi harakati.Kitu simple kinachoendana na vitu apendavyo,
Kuna jamaa ana uwezo wa kati tu, ukienda kumtembelea beba wine au whisky anafurahia sana, na kanuni yake haendi kwa mtu mikono mitupu hata km ni kilo ya sukari atambebea,
Jambo zuri sana kumsalimia mtu na kumbebea zawadi hata ikiwa ndogo ila inagusa nafsi ya muhusika na family yake, so do it.
Sijasema lengo lako ni kurudishiwa isipokuwa Yule utakayempelekea zawadi kwa sababu umesema ana uwezo mkubwa wa Kiuchumi kuliko wewe lazima atafanya jambo ambalo litakushangaza maana kumpelekea zawadi ataona kama umemshusha thamaniššLengo langu sio kurudishiwa bwana mbona hivyo šš
Sio kwamba ana uwezo mkubwa, ana uwezo kuliko mimiSijasema lengo lako ni kurudishiwa isipokuwa Yule utakayempelekea zawadi kwa sababu umesema ana uwezo mkubwa wa Kiuchumi kuliko wewe lazima atafanya jambo ambalo litakushangaza maana kumpelekea zawadi ataona kama umemshusha thamanišš
Mbebee jogoo wa kienyeji, safi kabisaHabari zenu wakuu.
Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni mgonjwa au ana changamoto yoyote.
Zawadi ya kitu na siyo fedhaHabari zenu wakuu.
Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni mgonjwa au ana changamoto yoyote.
Aisee binadamu šAisee! Nimetoka zangu Geita naenda DSm. Nikamchukulia ndg dagaa wazuri kabisa.
Bwana wale dagaa wakawa chakula cha mbwa. Niliwaza sana.
Hapo alifurahi kwa sababu alipata moyo ,alijua kumbe na mimi kuna watu wanaweza kunifanyia vitu kabisa.Unaangalia anapenda nini, unanunua tu, uaijipe pressure matajiri wengi hata hawajali.
Nilinunuaga jogoo wa haja, nikampeleka, jamaa alifurahi sana utadhani yeye hana pesa za kununua.