Mtu mwenye uwezo kuliko wewe kifedha unaweza kumpa zawadi gani?

Mtu mwenye uwezo kuliko wewe kifedha unaweza kumpa zawadi gani?

mpe zawadi ya muda wako, tafuta kufahamu ratiba yake then mwambie nitakuja kukutembelea tuongee kidogo...au twende tukaangalie kitu fulani pamoja
 
Nadhani zawadi ya mifugo na chakula inapendeza. Mfano kama una usafiri binafsi unabeba jogoo mkubwa au bata ikiwezekana hata mbuzi kwa mifugo. Kwa chakula kuna mchele kilo 25, mahindi hata debe 1 au maharage, mafuta ya kupikia.

Kama mnajuana vyema kuna zawadi kama wine hizi za lita 5, Cake na kadhalika. Hapo hakikisha ni mtumiaji wa hivyo vitu
 
Asante boss
 
Unaangalia anapenda nini, unanunua tu, uaijipe pressure matajiri wengi hata hawajali.

Nilinunuaga jogoo wa haja, nikampeleka, jamaa alifurahi sana utadhani yeye hana pesa za kununua.
Mkuu Jogoo mzuri aliyeshiba kwa Dar Es Salaam anaweza kuwa bei gani? Nami nimeshawishika kumpelekea mtu mmoja wa maana sana zawadi ya Jogoo aliyenona
 
Habari zenu wakuu.
Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni mgonjwa au ana changamoto yoyote.
Unataka kwenda kumpa zawadi sponser sio?

Boxer ,perfumes na mbususu iliyonyolewa vizuri na kuachwa kibwenzi vinatosha
 
Back
Top Bottom