Ingia kisutu hapo sokoni... Au siku hizi hawauzi? Maana kitambo kweli😅Wazo zuri ila kuku wa kienyeji katikati ya jiji unampataje?
wala hujakoseaWewe ni mgonjwa bila shaka
Usikute umeshamtunuku tobo la mlango taka [dawasko]Habari zenu wakuu.
Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni mgonjwa au ana changamoto yoyote.
asante ma mtuGet well soon
Ni yale Yale mkuu ana uwezo kuliko wewe maana yake amekuzidi mara nyingi watu hawapendi kuombwa Sasa ukimpelekea zawadi ataona kama umemshusha atakufanyia Kitu.Sio kwamba ana uwezo mkubwa, ana uwezo kuliko mimi
Mkuu, naona umechanganya madesa.Hivi win-one upo wapi?
Sahihi kabisa, mm zawadi tena kwa demu labda nimpe mimba 😎Mbaga najua wewe hujawahi kumpa mtu zawadi. Hebu kuwa msomaji na wewe upate aidia 😁😁
thermol yenye print ya jina lakeAkiwa mwanamke
KabisaNamaanisha nikiwapa nilichonunua ni sawa?
Niambie uko wapi nikuandalie AnkoAnko haujaniambia upo pendi ipi kwa saa hii nikuje kubeba hizo za watoto
Kwa tanaduni zetu watu wa nyanda za juu kusini,Unaweza kwenda bila chochote pia.
Mbongo kinyago anafanyia nini sasa?Kitabu, Rozari, Vinyago vya wamakonde.
Andika kwa kuchonga kwenye Kibao kizuri cha mbao (au tafuta wa taalamu wa sanaa hiyo) maneno haya 'muda huu utapita'.Habari zenu wakuu.
Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni mgonjwa au ana changamoto yoyote.
Inaweza ikawa sio standard yake. Unampa saa ya Shs 50k wakati anavaa ya shs 2.0m, unafikiri atavaa yako?kama ni mwanaume mpeleke saa.
atakukumbuka daima